Hawa viumbe Mungu ndio anawajua, kwenye urafiki anaficha kila kitu.......ngoja NDOA...
Ndio maana kwenye Harusi watu wengine wana sherekea saaana, kumbe wameondokewa na Tatizo na kulikabidhi wewe😅
Sasa wewe mja tu, umekuta Bwana na nduguze wanaishi vizuri, unakuja kuleta fingonyingo!!!, huo ni ushetani na uroho mbaya. Hata wazazi wake Bwana huna haja nao!!!!
Mkuu Umesema....................Kijana unae kua kwa sasa, Umezaliwa Africa, Jua Uko Tano Bila....Umezaliwa Mbongo uko Tatu Bila, anza kukaza Buti Ukomae, Usawazishe na Ukomboe ama utoke Ligi!!!!
Ni wakati sasa, kuanzisha Kumbukumbu za wasanii wetu kwa jumla (Hall Of Fame)!......kwani vizazi vya sasa hawana habari wala historia kabisa juu ya Magwiji waliotangulia mbele za haki na walioleta Sifa na fahari nchini.
Mfano, ni wangapi wanajua Historia ya Mwamba; Mzee Morris na Ngoma zake...
Kiukamilifu ni kua mfumo huu mpya wanauita AI yaani Artificial Intelligence, ishafika wakati sasa Technologia inaweza tawala kila kitu. kwa mfano, kufunga pazia ikiwa jua lishatua, kupika chakula unachokipenda yaani ilimradi, kuna Software inajua unawaza nini na kukufanyia..................!
Kuajiriwa ni Utumwa mambo leo(Modern Day Slavery), kwa sababu miaka nenda miaka rudi, utakua unamtajirisha alie kupa kibarua...hapo hapo kama kuna hasara pia wewe utapata chako bila kutathmini hasara.
Mfanya kazi siku zote atakua mlia hoi kwa sababu hata kazini anapofanya kuwe bora yeye pato...
The Kenyan military officer had told the media at their outpost in Goma, eastern DRC, “only after diplomacy and the disarmament process have failed will military force be used.”
Shabash.....................Mambo ya kutumia nguvu na ubabe yamepitwa na wakati, ona mambo yalivyo...
Samahani wakuu, tungeanzia hapa.....hawa M23 ni kina nani???
Sijui kama kuna ukweli, nasikia hawa ni Banyamulenge!, ..kama ni kweli, hawa ni wajukuu na vitukuu wa watusi waliokimbilia DRC kitambo na ni vizalia wa Congo, sasa basi kama mtu amezaliwa hapo, babake kazaliwa hapo na hata babu...
VITA sio mchezo jamani..........hususan kwenye hivi viji nchi duni vya omba omba vya Africa!!!
Huyu kijana amefura kichwa, ameshindwa na cha kufanya, kafika mwisho wa vyeo jeshini, sasa nini tena!
Mimi naona kijana ndie atafyatua huyo babake.........ana uchu sana!!!!
Aisee hii inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo, kuna Toto la mtaani pisi kali sana, shepu usiseme rangi ya kuvutia, mchanganyiko wa Mwanyamwezi na Muarabu......ilinichukua takriban miezi sita nikimtongoza. Nilipigwa mizinga pale alipojua namkamia.
Baada ya miezi yoote ya kutafutana na kuliwa...
Ndivyo ilivyo..............Maisha ndivyo yalivyo, wakati wewe unapanga kwa juhudi sana utakavyo mpata, mwenzako anapewa kiulaini bila jasho popote hata vichakani!!!!!!!!
Ni shawahi kutongozwa na Binti masiku kitambo kidogo...........alikua na wenzake, ndipo alipata ujasiri wa ajabu, Laah nakwambia nili 'blush', sikuweza kumjibu hapo hapo nikamwambia, nimesikia yoote na nitakujibu tukiwa mimi nawe pekee . Hakuniona tena!!!
Ukiona Manyoya.................Jua Kaliwa!!!!! tena bila Condom, kweupe pekupeku.
Najua Hasira ya mtoa Mada ni kwanini Kirauni cha Jamhuri ya Muungano kilivuliwa Suruali bila mkataba, hio ni jinai..........Afande!, Kamata hii habusu!!!!:confused:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.