Search results

  1. Matendo Andrew

    Je, kuna madhara yoyote kwa kuchanganya pombe na energy?

    Unaweza kugundua kinywaji muruaaa ambacho wewe ndio ukawa founder wa kinywaji may be kikaitwa bineg yaani bia na energy au kikaitwa B&G AU BE. HUJAPIGA HELA HAPO ILA UACHE TAMAA USIUZE BEI GHALI SASAA [emoji3]
  2. Matendo Andrew

    Natafuta kijana wa kazi ya chips

    Nina TAWI makumbusho nahitaji kijana mwenye kuweza kushirikiana nami kuiendea ndoto yangu mpaka nije kumpa share kwenye kampuni ninayoiota... Akiwa na elimu ya darasa lasaba lakini ana ugenius ndani yake namtaka sana sana 0764708888
  3. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Only you need to focus na uwe kweli crea you know what you need na lazima ujipe MDa wa kua expart kwenye hicho kitu..Sasa jitu linasema linahitaji mtaji ukiuliza ufanye Nini linaseMa biashara yyte tu umeonA biashara fulan aaaah inalipa blaa stupid
  4. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Wale speakers huwezi kuwaelewa mpaka siku ukianza kuyaishi wanayoongea
  5. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Wewe Sasa ndio unaelewa maana ya kilichoandikwa twenzetu man ya kuyaajir mengi sana kumbee [emoji3][emoji3]
  6. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Lakin mwisho wasiku ukweli ni.....
  7. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Hahahaha mpaka uijue value yako na Nini Mungu ameweka ndani yako atherwais huwezi kuelewa
  8. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Nakwanin uwe mtaa huna mbele Wala nyuma
  9. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Tafuta boss mzuri sio kampuni nzuri
  10. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Huo ushauri mzuri toa wewe Kuna watu watakuelewa na Mimi nawapa ambazo utawafaa wewe huwezi kuelewa
  11. Matendo Andrew

    Vijana wa kariakoo leo mmeniweza, nimewanyooshea mikono juu

    SSA hyo ni akili au matumizi mabaya y akili
  12. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Wasomi mnashida sana ya kuyaangalia mambo
  13. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Yule hamhudumii mtu mmoja... Anauza bidhaa yake Kwa billions of people anauza furaha kutokana na kipaji chake..achana na kuwaza kua manager wa bank ...na vitu kama hvyo ...yule Hana tofaut na anachofanya davido au mond ...wanabidhaa inaitwa burudan wanawauzia watu weeeengiiiii ila team...
  14. Matendo Andrew

    Usitafute kampuni nzuri tafuta boss mzuri

    Boss mzuri atakufanya ujitafute
  15. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Ondoa kwanza wazo la kua na fedha nyingi waza unaweza kua msaada mkubwa kw watu wangapi ili wao wkupe fedha? Achana na huyo mmoja wakukupa Hela ajira ..waliofanikiwa na kua na pesa mingi walicho tuzidi nikwamba wanaletewa Hela na watu wengi
  16. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Mtaji namba Moja ni wazo lililo crea fedha ni kitu tu au nyenzo tu na nirahisi saaaaana kuipata niamini ...endelea kupambana utakuja kujua kwmba kumbe chenye thamani kubwa sio hii mikaratasi ni mawazo yakinifu yenye uwezo wa kuleta idadi yyte ya fedha
  17. Matendo Andrew

    Mshahara ni dawa ya kulevya

    Mshahara wowote unaolipa hua ni cocaine iliyowekwa na wajanja kuua ndoto zako...kwahyo kadili unavyo tafuta kampuni ya kukulipa Hela nyingi maanayake unapambana mwenyewe kutumia hii DAWA ya KULEVYA (mshahara) kuua kipaji au ndoto ..tafuta boss mzuri
  18. Matendo Andrew

    Usitafute kampuni nzuri tafuta boss mzuri

    Mkitafuta kazi zingatieni ushaur huu msipambane kupata kampuni kubwa au nzuri Pambania kupata boss mzuri kampuni kubwa itaenda kukutumia kama kitendea kazi lakin boss mzuri atakusaidia ku stemlate kipaji au ndoto yako
  19. Matendo Andrew

    Natafuta kazi ya Houseboy

    Ungekua hujakata tamaa ningesema unichek
Back
Top Bottom