Search results

  1. P

    Baada ya utawala wa Kagame: A genocide in mute?

    Kuna mengi yamesemwa kuhusu uhalamia wa PK na genge lake la uhalifu ndani na nje ya Afrika na UN report zimedhibitisha hilo ingawa PK mwenyewe na watu wake wamekuwa wakizipinga kwa jeuri kuwa ni nonsense na uzushi. (May be...or may be not..!). kwa miaka zaidi ya 20 Kagame ameitawala Rwanda kwa...
  2. P

    Kwanini Tanzania haiamini kwenye statue (sanamu) kama Ishara ya ushujaa?

    Aman iwe nanyi wandugu! kama topic inavyojieleza, ni nadra kukuta statue or sanamu ya viongozi mashuhuri ndani ya Bongo except ile ya mwalimu nyerere...sina uhakika kama zipo nyinginezo! hata hivyo hakuna utamaduni wa kutoa trophy kama kumbukumbu kwa washindi or mashujaa kama alama ya kuwaenzi...
  3. P

    The ostrich people( watu wenye miguu ya mbuni)

    wakijulikana kama vaDoma, ni kabila inayoishi kaskazini mwa Zimbabwe, hasa katika wilaya za Urungwe na Sipolilo karibu na bonde la Mto Mwazamutanda, Zambezi. Wao ndio wawindaji wa jadi na wawindaji wa asili nchini Zimbabwe. jamii hii ya vaDoma imetengwa na jamii nyingine kwa sababu ya maumbile...
  4. P

    Help: Natafuta APC(Armored personnel Carrier)

    Wadau, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwenye kujua wapi naweza kupata hicho kifaa al-maarufu kama APC hasa kwa upande wa Tz asaidie na hakika itapendeza sana. kwa kifupi, kuna blacksmith wanachonga hizo tools lakini ni huko libya...na sina uhakika kwingineko. natanguliza shukrani
  5. P

    Media za Burundi zimenena haya juu ya Tundu Lissu kukamatwa-Part II

    TOFASIRI Ujirani kati ya Tanzania na Rwanda umezidi kuingia dosari baada ya duru za kipelelezi za Rwanda kushirikiana na chama cha CHADEMA, chama hasimu dhidi ya serikali inayoongozwa na ndugu Magufuli. Ndani ya week hii, mwanasiasa machachali na maarufu aliyekaririwa akimtukana Rais Magufuli...
  6. P

    Rejoinder: kazi ya ushushu Tanzania vs Matarajio ya jamii...

    wana jamvi, Amani iwe nanyi... Tanzania yetu mwenyezi Mungu ameibariki kuwa na Amani na mshikamano ingawa kuna akina akina bashite and co. wanataka kuigeuza somalia kwa matukio ya utekaji...(washindwe) kama topic inavyojieleza hapo, nimeamua nije na mrejesho kulingana na post ya member mwenzetu...
  7. P

    Natafuta Military Academy for Private Military Training

    Wana board, Heshima kwenu! wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awarehemu na kuwalaza mahala pema peponi. Amen! Pia, kwa kuwa JF ni kisima cha fikra na maarifa...
  8. P

    Ajali baada ya Ajali...

    inasemekana kumetokea ajali huko mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika makunganya kuna eicher imegongwa na lori na hali ya majeruhi ni mbaya....mwenye taarifa zaidi atujuze
  9. P

    watz sasa kama wakongo

    Jarida la Independent wametoa list ya Nchi mbalimbali duniani ikiwa ni pamoja na mambo maarufu yanayofahamika na kuwa kama tamaduni katika nchi husika. Nimeshituka kuona Bongo (Tanzania) ikiwa branded kuwa wafanyakazi wa kike ndo wengi zaidi huenda kuzidi wanaume( hongereni mama/dada zetu)...
  10. P

    Kaptain Komba: wind of Change

    Wandugu, kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye wimbo wa Captain Komba (RIP) wa "The wind of Change". Wimbo huu umeimbwa mwanzoni mwa miaka ya 90's na ulihusu mageuzi na kuanzishwa kwa vyama vingi nchini. Kama msanii, Marehemu alikuwa anajaribu kufikisha ujumbe kwa wananchi kuwa vyama vingi...
  11. P

    Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

    Rais Donald Trump atazungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu Mazungumzo yao yatakuwa ya kwanza tangu rais huyo wa Marekani apate ushinda katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwa jana. Uhuru Kenyatta atakuwa rais wa nne wa Afrika kuzungumza na rais huyo kutoka taifa...
  12. P

    Kuapishwa kwa Rais wa Somalia-Kama kawaida Tanzania haijapeleka mwakilishi

    Juzi tarehe 22 February, Rais mpya wa Somalia ndugu Mohamed Abdullahi Farmajo aliapishwa na kuwa rais Mpya baada ya uchaguzi huru na wa Amani katika historia ya nchi hiyo. Viongozi waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Rai Uhuru Kenyatta-Kenya na marais wengine ikiwemo Ethiopia, Djibouti na...
  13. P

    Bad theory: Tutsi zaeni watoto wengi kulinda kizazi kinachopotea

    Hii ni just bad theory, kumekuwepo na theory nyingi juu ya origin ya Tutsi ethnic na wengine huja na hypothesis zilizovuka mipaka. kuna wengine wanasema origin ni Ethiopia or Somalia...whatever, sitaki kujikita kwenye Historia kwani maandiko yanasema, we're all human being before race and...
  14. P

    Magufuli, what goes around comes around

    Tangia alipo ukwaa ukuu wa Nchi, mtukufu huyu amefanya siasa za nchi hii kuwa "the living hell". Democrasia iko mashakani na upinzani nchini Tanzania uko kwenye hali ngumu kuliko nyakati zozote katika historia ya vyama vingi nchini. Utawala wa sheria: Utawala wa sheria (Rule of Law) umekuwa...
  15. P

    Msaada: Mwenye wimbo wa Che Mundugwao wa Tumetoka kwetu Mahenge

    Wana Janvi, Amani iwe nanyi. Kila nikikumbuka home nakumbuka wimbo wa hayati Che Mundugwao wa "Tumetoka kwetu Mahenge tumekuja Dar es salaam kucheza sindimba" kwa mwenye kuwa na huu wimbo atusaidie wana body humu JF kwani naimani wengi tungependa kuburudika nao. Hata kama ni kulipia, poa tu
  16. P

    Cartoons tata na Hatima ya Tanzania

    Wandugu, siasa za nchi yetu zimeota mapembe na katika Ku peruse nikakutana na cartoons fulani hivi ambazo zinaleta tofasiri na utata mwingi....! Mwenye tafasiri kamili, atusaidie
  17. P

    Mwanasheria mkuu wa serikali na utofasiri wa sheria za Nchi: Maajabu Mengine

    Ndugu wadau, zimepita siku mbili Tangia Mwanasheria Mkuu wa serikali atoe tofasiri ya sheria (Katiba) kuhusu uhuru wa Kuandamana. Kwa mujibu wake (AG) alikuwa ana encounter hatua madhubuti inayosubiriwa kwa hamu na wapenda democrasia Nchini chini ya UKAWA kuandamana na kudai haki yao ya kikatiba...
  18. P

    Mr. President, Ulisema tukuombee lakini Hustahili...(1kor 15:26)

    Hey mr President, ulivyoingia madarakani ulituomba watanzania tukuombee kwa kuwa Kazi ya Urais ni ngumu na inahitaji busara na weledi pia. kweli watz walihamasika kukuombea kwa dua zao na kwa Mungu/miungu wao. Wananchi walijawa na matumaini mapya chini ya serikali yako. Mr. President, Baada ya...
  19. P

    Top 10 Most Peaceful Countries in Africa-Tanzania haimo-Can you believe it?

    Africa is the second most populous continent in the world; more than 1.1 billion people live in this large continent. It hosts a large diversity of ethnicities, languages and cultures. Africa has seen some of the bloodiest conflicts in the world. As per IEP’s Global Peace Index, here are the top...
  20. P

    Top 10 African Countries With The Most Beautiful Women-Kenya yaipiku TZ

    Tanzania ranked No. 10 Kenya ranked No.9 Ghana ranked No. 8 Nigeria ranked No. 7 South Africa Ranked No.6 Angola No.5 Cape verde Island No.4 Ethiopia No.3 Somalia No.3 RWANDA NO. 1 Source: Top 10 African Countries With The Most Beautiful Women – Page 10 – Urban Viral Media My...
Back
Top Bottom