Search results

  1. E

    Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

    kwa hiyo bajeti yako jiandae kununua gar yenye matatizo mengi ya kuifundi Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
  2. E

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    some one show me just one person who has made fortune from trading forex in Tanzania, please dont show me those who make money by selling the dream to others
  3. E

    Kuna kitu hakipo sawa kwenye Ulinzi wa Rais

    one of the best comments I've read since we started 2021. Ujuaji umezid sana leo, hizi movies zinadanganya sana watu, ndiomana hata kwa mafunzo ya CIA the first day mnaambiwa kabisa "Forget all that crap you on the movie "
  4. E

    Ahadi za Dkt. Philip Mpango ni pigo kwa Mafisadi

    Sasa kuna shida gani akiendeleza yale maono mazuri aliyoacha hayati Magufuli?
  5. E

    Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

    You cant spend over 90% of time reading articles written in swahili, watching news broadcast in swahili, listening to swahili songs, watching swahili movies and programs and expect to become proficient in speaking English, that's never going to happen, never on earth. If you really want to...
  6. E

    Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

    Tune in BBC and CNN you will see the difference. On BBC they speak with British accent, while on CNN they speak American. Personally I did my English course at British council and was taught by the teacher with British roots so that really made my accent change to Britain. But also in class...
  7. E

    Nahitaji kujifunza kuongea Kiingereza kwa mtiririko mzuri

    Hahahaa, pole sana rafik, well, accent has nothing to do with being fluent or not, however, it's the best way to impress those listening. Personally I went to kayumba schools and my English was worse since was in grade 3 to when I was pursuing my masters degree. After I completed my masters...
  8. E

    Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Tusisahau uwezo mkubwa sana wa walimu wa shule za msingi wa kipindi hicho. As far as I can remember there used to be exceptional teachers with an extraordinary ability, they didn't have huge education but they were the best at the subjects they were teaching.
  9. E

    Naomba kujua vigezo vya kuwa Mhadhiri Msaidizi (Assistant Lecturer)

    Kwa mujibu wa NACTE na TCU, the minimum GPA for an Assistant Lecturer is 3.5, however, universities are free to go beyond that as long as it is not below 3.5
  10. E

    Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini

    Nadhani bado watu wengi wana uelewa mdogo sana wa magari. Kwa kifupi ni kwamba used BMW and the like kama Benz, Audi etc sio gharama kununua. Na sio kweli kuwa watanzania wameshindwa kununua hayo magari. Mimi binafsi nimetumia BMW mara tatu ( 3series, 5 series and x3) but now I switched back to...
  11. E

    Tuliowahi kuwa vikojozi tukutane hapa tufarijiane...

    Dah aisee jamaa amenikumbusha mbali mnooo...nikiwa kidato cha tatu boarding nilikuwa nakojoa balaa..nikachukua bukta nikashonea nailon kwa ndani na ile baridi ya makambako iringa but nikiamka asubuh nakuta tatizo lipo pale pale. It was the worst moment in my life aisee....so imbalancing....I...
  12. E

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Now I'm beginning to question your ability to understand things that needs a mere common sense. Anyway ww nawe ni great thinker
  13. E

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    The way you have written kwa msisitizo kwa mtu hasiyejua maana ya foreign exchange market anaweza akadhani umeandika kitu cha msingi sana but ukweli ni kuwa andishi lako limeonesha ni kiasi gani upo kipofu katika mambo ya masoko ya fedha. Labda niseme hivi binafsi nimefanya degree ya uchumi (BA...
  14. E

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Dah...rafiki you need to write a book aisee. You can't believe ninascreen shot comments zako na nazisoma mara nyingi. Unaandika vitu ambavyo for me vina count over 70% ya mafanikio ya trader. Tunashukuru sana rafiki
  15. E

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    I wish every trader could understand you rafiki. You're so informed on the subject matter.
  16. E

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Rafiki unaongea vitu very constructive. Mimi ni scalper but nakubaliana na ww kuwa scalper anatrade kwa kurisk mnoo coz scalpers tuna hunt few pips (short market moves) which are very unpredictable and we usually use huge lot size which is too risky. In my opinion, scalping is good If you have...
  17. E

    Itanichukua muda gani kuhitimu mafunzo ya kuongea kingereza fasaha?

    It's a big lie. I know many folks who went in the UK and US and stayed there for over 5 years but when they came back to Tanzania their English was just like they had never been to English speaking countries. My point is, you don't have to go to UK to become fluent in English, I personally...
  18. E

    Itanichukua muda gani kuhitimu mafunzo ya kuongea kingereza fasaha?

    It's not about time, it's all about how passionate are you about learning English. The key to mastering any language is to open your mouth and speak that language without having to pay much attention on grammar. Otherwise, you will learn English for the rest of your life and still not being fluent.
Back
Top Bottom