Search results

  1. R

    Wakandarasi wa kihaya njooni huku

    A cha ushamba hizo no french window kasome
  2. R

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Kweli wewe ni Mwana mtoka pabaya Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  3. R

    BBC: Jumuia ya Afrika Mashariki mashakani, Marais wa Kenya, Uganda na Rwanda waunda umoja wao!

    Huyu uhuru hawajui hawa watusi Museven na Kagame wakimtenda asije kulialia hapa! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  4. R

    Ukweli wa mambo kuhusu mama aliyeamua kuishi uchi juu ya paa la nyumba huko mbezi beach

    Opulukwa labda amuombe mdogo wake fedha mbunge wa chadema Meatu amsaidie kufa kufaana naye si aliwabeba sana tu! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  5. R

    Enock Maganga of BoT is no more

    Yes is no more kazikwa jana.RIP Maganga Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  6. R

    Linza Concrete Designs-that collapse!!!!!

    Linza hawajawahi kudondosha jengo hapa TZ, hata wakati ule bodi ya wahandisi(ERB)ilipowasimamisha ilikuwa ni majungu tu eti kwanini ana kazi nyingi na anaziendeshaje na ile issue ikaisha na mpaka leo anaendelea na kazi,nadhani mtuma habari hii ana chuki binafsi na inabidi afanye utafiti kabla ya...
  7. R

    Bumbuli Development Corporation announces new board of directors

    Huyo mwingine Dr Najim ni tapeli tu kwanza ana kesi ya wizi wa kontena la shaba na jana katishia waandishi hapamfai hapo na huo uDR hapo kasema uongo huyo ni mganga wa kienyeji labda anataka hela zake
  8. R

    Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

    Acha uoga,singo wa kawaida,we kama hujui SOIL useme usaidiwe.hata hiyo foundation eng utasaidiwa usitishe watu kwa ukilaza wako
  9. R

    Pambano la cheka na kaseba

    Ni utapeli tu wa waandaaji kula pesa zetu kwani walijua mapema toka jana kuwa cheka hatapigana leo,aliwambia waweke mkanda sio pambano la bonanza kama hilo,angekuwa kakimbia asingekuja pale kavaa suruali jinzi na tshirt tu kwa hiyo waandaji walijua hamna kitu,na Shigongo kazidi utapeli kuanzia...
  10. R

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    Ni kabila moja na slaa na wanaishi mtaa mmoja na dr slaa huku mbweni,kwenye kota zilizouzwa na national housing
  11. R

    Novel writer gani ni best kwako?

    Robert ludlum na eric van lusterbeder kwa bongo ben mtobwa na kitabu chake cha pesa zako zinanuka kama hivi sasa
  12. R

    Kwa walioikimbia Kagera/Bukoba na kuwa wanyamahanga......mmekosa hii kitu!!

    Du kyoma! umenikumbusha mbali nimemiss vitu hvyo
  13. R

    Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

    Gone too soon!
  14. R

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    hongera Cdm kilichobaki ni kulinda ushindi
  15. R

    CUF hali mbaya, wakutana makao makuu kujadili athari za kumfukuza Hamad Rashid

    Wamechelewa sana,kwanza wakiri hamad kawatikisa ndo baada ya hapo wajadili ujanja hautawasaidia
  16. R

    Majirani wa Sumari waapa kumpigia kura Nassari

    Du basi kazi ipo!
Back
Top Bottom