Search results

  1. Aza

    Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

    paka mzuri sana anaonekana anapata kweli raha ndomana yuko ivo miguu juu...love cat
  2. Aza

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    tuwatag hapa DAWASA @mwauwasa pia wanabambika bill za maji sijui wanazitoa wapi...hatuzilipi asee
  3. Aza

    Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    #NAKUBALIANA niliumwa sana pia nov 2019 hadi 20 dec 2019 nilipimwa maabara magonjwa mengi tu lakini haikusaidia dr aliniandikia dawa nyingi tu,ilibidi nirudi kwa dr tena nikapimwa maabara tena na dawa zingine na uku home nanywa asali na tangawizi.nilikuaja pona kabla ya christmas...
  4. Aza

    Kwa mliotembelea dunia: Hivi kuna nchi yenye traffic police wengi barabarani kama Tanzania?

    na hawatatoka si wanakusanya mapato? kwengine hakuna
  5. Aza

    Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

    ukienda izo ofisi utasikilizwa?litatatuliwa na hautaambiwa lazima ulipe?
  6. Aza

    Serikali lazima ifanye jambo kwa hawa traffic police hawatendi haki

    ndivo walivo baadhi yao pole sana shemeji yangu yalimkuta hayo tumo wote na taa ya green ilikua haijazima akapita mbele kuna kibanda traffic kama 3 ivi akasimamishwa akaambiwa tupe leseni (hii tabia ni mbovu sana) anaambiwa kwann umepita na red right? uku anakata risitia shem kajibu tu ni...
  7. Aza

    TUNDUMA: Matrafiki wapigana na Dereva wa Fuso

    wana ushahidi gani kwamba aliwakashifu na maana yake nini kukashifiwa,mahakama kama ina haki ndo itaamua mana bila ushahidi no case,awa viumbe huwa wababe na hawafati sheria na miongozo ilivoandikwa kuna makosa ya onyo na fine na kukamatwa kufikishwa mahakaman
  8. Aza

    Police brutality sayansi traffic lights

    shemeji yangu yalimkuta hayo tumo wote na taa ya green ilikua haijazima akapita mbele kuna kibanda traffic kama 3 ivi akasimamishwa akaambiwa tupe leseni (hii tabia ni mbovu sana) anaambiwa kwann umepita na red right? uku anakata risitia shem kajibu tu ni green light siwezi kuvuka ikiwa red na...
  9. Aza

    Madereva wa malori, na police traffic acheni tabia hii..

    tunakuelewa bro,tulipofikia ni at the edge of the cliff
  10. Aza

    Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine?

    hakuna muelekeo wala muongozo kila kitu ni mihemko tu tupambane tu hakuna wa kumsaidia raia
  11. Aza

    Traffic police: Kosa la taa moja ya gari

    traffic wanakera sana na naona maelezo ya maboss wao na waziri wao ni tofauti kabisa na utendaji kazi wao,hilo ni kosa la kuelezwa na wala sio tatizo ukisoma risiti zao zile utaona kuna mjumuisho na sio one bulb au one tyre deffects.tuna malalamiko nao sana ila simu za maboss wao tunazo...
  12. Aza

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    miss naire, dada una akili sana nimekupenda bure hauna uchoyo wa ufafanuzi ulivolima kila la heri tena na tena ufanikiwe sana sana
  13. Aza

    Ufugaji samaki wa maji ya chumvi

    wazo zuri ila watafute watalaam zaidi utapata tu ujuzi
  14. Aza

    Vitu vitano(5) vya kuweka kwenye chakula cha kuku wako

    safi sana pia ungenifafanulia na ratio ya kuweka kwa chakula na idadi kuku wangapi, vipi kuhusu chakula cha bata na bata mzinga?
  15. Aza

    Mkoa gani kuna wafugaji wa ng'ombe wengi, ambapo nitaweza kununua maziwa kwa wingi kuanzia lita 500 nakuendelea?

    nashangaa tanzania mashule mengi hawapewi maziwa kabisa hasa za serikali nizosoma wakati tuna mabwawa ya maziwa na nyama zakutosha, ivi kwanini?
  16. Aza

    Mkoa gani kuna wafugaji wa ng'ombe wengi, ambapo nitaweza kununua maziwa kwa wingi kuanzia lita 500 nakuendelea?

    tumebarikiwa vitu vingi sana yan tuna mifugo na maziwa yakutosha ivi ila ndo ivo jaman,ilibidi wafugaji wawe matajiri wakubwa kwa soko la ndani na nje ya tz
  17. Aza

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    mada ya mtoa mada ilikua nzuri sana kwa wote wasio wakristo na wakristo mana mada haikusema dhehebu, wanaoingia umu kuelewa mana wengine uwa tunafunga na kusali kwa imani zetu kwa mifungo ya dini mbalimbali ilmradi tu nasali kwa imani yangu, ila naona wengine wamekuja na mihemko ya dharau...
Back
Top Bottom