Search results

  1. MANI

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Duuh kifo ni kitu kigumu sana. Namkumbuka sana huyu bwana kwenye events za Jf .
  2. MANI

    IMF yawapongeza Rais Samia na Waziri Mwigulu Nchemba

    anajfagilia mwenyewe
  3. MANI

    Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    Hapana mpwa hivi sasa hakuna content tena kama mwazo
  4. MANI

    Leo nimetimiza miaka 15 ndani ya JF

    old is gold. those days won't come back
  5. MANI

    TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    Kuna Moja tulishuka nalo Kabuku tulikaa kwenye mashine karibu madereva wanne tunamwangalia dereva kama atatoa mguu kwenye accelerator lakini wapi ndio kamwe anakandamiza Huku alarm inawaka.
  6. MANI

    Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Muheza mwaka karibu wa ishirini sasa maji toka milima ya magoroto hayafiki mjini
  7. MANI

    Tozo Tsh. bil. 117, Vituo vya afya 234

    Uongo unahitaji kumbukumbu nzuri sana vinginevyo ni majanga.
  8. MANI

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ukiwa muongo use na kumbukumbu
  9. MANI

    Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Huu ni wizi wa serekali kwa raia wake. Unawezaje kukata kodi kwenye pato lilokatwa kodi tayari?
  10. MANI

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Duuh sina cha kuchangia tena
  11. MANI

    Bei ya mbolea: Waziri Bashe amepotosha Bunge na kushangiliwa kwa kelele tu

    Nafikiri hii ndio sababu kuu ya vitu kupanda bei Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
  12. MANI

    Bajeti ya Kilimo yamkuna Mbunge Ditopile, ampongeza Rais Samia

    Pesa inayo pangwa ndio inayopelekwa?
  13. MANI

    Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

    Swali zuri sana Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
  14. MANI

    Wabunge 19 wa CHADEMA- Matokeo ya kughushi uchaguzi wa 2020

    Umesema kweli mkuu. Watu wanachukulia haya mambo kirahisi rahisi Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
  15. MANI

    TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    Sio wami ni kibanda muheza huo mto sio mkubwa ila basi ilizama na kukotwa mpaka machakani na maji. Mpaka Leo Pana mnara wa kumbukumbu ingawaje Ile sehemu iliondikwa majina watu wamechukua lile bango
Back
Top Bottom