Search results

  1. battawi

    Mfumo wa Muungano ni JANGA LA KITAIFA ?

    Mimi nadhani ni Mfumo wa MUUNGANO waliojiwekea hauruhusu mabadiliko, kwahiyo CCM wamekwama. Nadhani sasa ni wakati muafaka kabla ya kuandika kwa katiba mpya Pajadiliwe mfumo muafaka wa Muungano kwanza . Kuna hatari kuwa endapo chama kingine kisichokuwa CCM kukamata upande mmoja wa Muungano na...
  2. battawi

    Rais Putin amekosea hatua?

    Ndugu wana ukumbi na wafuatiliaji mada za vita vya Russia na Ukrain. Mimi siiangalii Vita vya Ukrain katika mtazamo wa kivita ,bali mtazamo wa kiuchumi na mgeuko wa mfumo wa uchumi Dunuani. Nasikitika sana na maamuzi aliyofanya Raisi wa Russia kwa kuivamia Ukrain. Nahisi ali under estimate...
  3. battawi

    Nyerere akiwa na John Rupia na Suleiman Takadiri, picha ya enzi za kupigania uhuru

    Namuona Mwl akiwa mtu wa kawaida kabisa Huku Shk Suleima Takadiri na weziwe (SHEIKH SULEIMAN TAKADIR, JOHN RUPIA AND NYERERE 1955) wakionesha kuwa na lengo moja tuu. Kuikomboa Tanganyika. Lakini Huku nyuma kuna mabodi Gurd wa kijadi, Wanachekesha kidogo. mtu kabeba Shoka begani , Mkuki...
  4. battawi

    Tukio la Mtanzania kufariki Ethiopia: Kama kungekuwa na ubalozi wa Zanzibar huko labda ingesaidia

    Wengi watashangazwa na na mada ya hapo juu. Taratibu fuatilia Tare 21/04/2021 siku ya juma tano, Dada yangu Fatma Said alifariki dunia Nchini Ethiopia akitokea Dubai kuja Zanzibar (Tanzania). Akiwa ndani ya ndege 'Fly Dubai' aliumwa ghafla na kuilazimisha ndege hiyo kutua kwa dharura nchini...
  5. battawi

    Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

    Ilikuw kawaida tokea Mzee Mwinyi alipomaliza muda wake wa Urais, hatukuwa na namna ya kumpata Rais mwingine toka Zanzibar. Wazanzibar tulibakia na Umakamu tu na mpaka ikawa ndio majaliwa yetu. Lakini kifo cha Magufuli kimeleta jambo lisilozoweleka. Kazi za Makamu wa Rais ni kufungua makongamano...
  6. battawi

    Bila Katiba mpya, Upigaji kura hauna maana yeyote

    Ni miaka 27 tokea mfumo wa vyama vingi urudishwe tena Tanzania. Ulikuwepo kablaya Uhuru na mara tuu baada ya Uhuru waTanganyika Dec.9.1961/Zanzibar Dec.10. 1963. Lakin CCM walirudisha neno vyama vingi tuu huku wakiendelea na katiba ile ile y chama kimoja iliyorekebishwa kwenye vipengele vichache...
  7. battawi

    Tanzania inahitaji UKAWA sasa kuliko miaka ile ya nyuma

    Huenda CCM ikadhani kuwa mchezo walioufanya mwaka huu katika uchaguzi ni kwa manufaa kwao tuu. Laa mimi sioni hivyo,bali ni wa manufaa kwa vyama vya upinzani vyote nchini. CCM imejipambanua kuwa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, ni nani alitarajia kuwa Mdee ange bebwa na CCM kutumika...
  8. battawi

    Kupita bila kupingwa ni kwa CCM tu Na huku kutekwa ni kufunguliwa kesi kwa wapinzania tu?

    Habari za 2020 wana Bodi. Tanzania inavituko vingi mno. Kila nikipita kwenye vyanzo vya habari nakutana na KUPITA BILA KUPINGWA kwa wagombea wa CCM tuu, Hiiimekaaje? Hivi wapinzani bado hatujajuwa kujaza fomu? Hivi bado tunanunuliwa siku ya kurudisha fomu? Nini hasa kilichojiri kwa wagombea...
  9. battawi

    Magufuli: Zanzibar bila ya CCM hakuna muungano

    Amenukuliwa leo Dodoma Hivi maneno haya yanaashiria nini? Hivi Muungano si suala la kikatiba? Inamanisha kuwa CCM inaufanya muungano kama ndege wa kufuga? na hili la uchumi na maendeleo je?
  10. battawi

    Uchaguzi 2020 Rais wa Zanzibar 2020 aweje?

    Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona. Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu mbili ndani ya Jamuhuri ya Muungano umefika. Ila jioni ya leo nitajihusisha upandewa Zanzibar. na...
  11. battawi

    Rais wetu ana kitu moyoni, mimi nadhani yuko sawa

    Ndugu wana jamvi, Halii inavyo endelea kuhusu hii vita ya corona Raisi wangu ana siri kubwa moyoni mwake. Nadhani huenda ameshatambua dunia ya leo ilivyo ndumila kuwili, Watu unawez kuwaona wako Bar wanastarehe ,kumbe kuna biashara fulani pale inaendelea. Hii ni dunia ya ''Biological...
  12. battawi

    Muungano wetu na ugonjwa wa Corona utapona?

    Nawatakia Watanzania wote heri za siku ya leo ya Muungano. Nilitamani Muungano huu usingelikuwa tena na kasoro wala changamoto baada ya kutimiza miaka 55. lakini kwa umri huu, ikiwa ni binadamu na anugua maradhi hatarishi basi akikumbana na corona huwa haponi, nina wasiwasi mkubwa kuwa Muungano...
  13. battawi

    Vidonda vya mdomo mara kwa mara husababishwa na nini?

    Nina shida ya kupatwa na vidonda vya mdomo mara kwa mara, na sasa hata mtoto wangu wa miaka 10 namuona ameanza kuwa na tatizo la aina hii. Nini hasa tatizo? Naomba msaada wenu
  14. battawi

    Tumshauri Msajili wa Vyama vya Siasa suala la dini nalo liwe 50/50 Tanzania

    Wakati taifa letu linazidi kusonga mbele kidemokrasia,kuna kila dalili za kuvunjika kwa umoja wakitaifa ambao ndio msingi na tunu kuu ya Tanzania. Aidha kuna dalili za ukabila na ukanda nazo zinajitokeza kwenye siasa zetu ,na kuna mawakala wanazipalilia humu nchini. Kwa kuepuka mivutano...
  15. battawi

    Thamani ya kura yangu Tanzania na Zanzibar haipo tena ?

    Mimi kama mzanzibari niliyeshiriki chaguzi kadhaa hapa Zanzibar za kuchagua viongozi wa nchi. Lakini mwaka 2015 umenivunja moyo kabisa baada ya kuona kura yangu ikipeperuka bila kujaliwa shida iliyonipata kwa kutumia muda wangu mwingi kujiandikisha,kuhakikiwa taarifa zanzzgu na mwisho kujipanga...
  16. battawi

    Viongozi wa Kiafrika kujilimbikizia mali za wizi, nani wa kulaumiwa?

    Imekuwa ni jambo la kawaida kutoka habari za ubadhirifu kwa viongozi wa Kiafrika. Kila kiongozi anapotolewa madarakani kwa nguvu ya umma au mapiduzi ya kijeshi au kushindwa kwenye uchaguzi halali katika ballot boxa basi siri hufichuka jinsi gani viongozi wetu walivyokuwa malimbukeni wa...
  17. battawi

    Uchaguzi 2020 Maridhiano ya kitaifa, chachu ya maendeleo, hongera Kenyata na Odinga kwa kufuta tofauti zenu

    Jana tarehe 27/11/2019 Taifa la Kenya limezindua riporti ya tume maalumu inayoitaka serikali ya Kenya kuleta maridhiano ya kitaifa. Kwa sikio langu nimemsikia Rais Uhuru Kenya akisema kuwa Yeye yuko tayari na ameshakubaliana na Odinga kuhusu hilo. Kwa pamoja walipeana mikono na Kukumbatiana...
  18. battawi

    Natamani vyama vya upinzani viunde UKAWA mpya sasa mpaka katiba ipatikane

    Hayati mchungaji Mtikila wa DP aliwahi kuwahimiza sana wapinzani kupigania katiba mpya kwanza kabla ya kukimbilia kushiriki chaguzi mbali mbali kwa katiba iliyopo ambayo imeipa CCM meno ya kufinyanga matokeo ya uchaguzi na ama kuweka wasimamizi wa tume ya uchaguzi makada. Aliwahimiza wenzake...
  19. battawi

    Kwanini Marekani inawasaka Waislamu waliowaita ISIS na kuwaua?

    Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu. Tumepandikiziwa makundi na misimamo ya ajabu halafu tumehalalishiwa kuuwawa. Hapa kwetu tanzania,Ukiunga mkono Muamsho...
  20. battawi

    Hongera Rais Trump wa US na Rouhan wa Iran, Rais Magufuli anaweza kuiga mwenendo uliopita kwa hili

    Baada ya miaka kadhaa tangu Rais Trump wa Marekai kuingia madrakani,na kufuta mkataba wa maelewano wa US na Iran ulio sainiwa na Obama, sasa amekubali kuwa panaweza kuwepo mazungumzo na Iran na kuruhusu diplomasia ichukue mkondo wake. Hii ni dalili nzuri sana ya kuondosha kiwingu cha vita...
Back
Top Bottom