Search results

  1. battawi

    Tanzania tunaweza tukalisha Robo ya Dunia kama yatafanyika Mapinduzi kwenye Kilimo

    kwani wangalikuwa wapinzani wasingelifanya hayo? Au CCM wanatumia pesa za chama chao kujenga miundo mbinu? wacheni upoyoyo. Maisha ya kipato cha mtu binafsi mitaani ndiyo muamuzi wa kura. Watu wana njaa, hawana kazi, maisha yamepanda na kila siku vitu vinapanda bei ikiwemo mafuta na sukari...
  2. battawi

    Tanzania tunaweza tukalisha Robo ya Dunia kama yatafanyika Mapinduzi kwenye Kilimo

    Hakuna suala la mashamba ya serikali hapa, Watu binafi wapewe kivutio ili wawekeze kwenye kilimo kama akina Bakhresa, Mo na mabepari wengine ili wazalishe chakula kwa wingi wauze ndani na nje ya nchi. Usisikie Marekani au Ukraini wanalima na kulisha dunia ujuwe si mashamba ya Umma bali watu...
  3. battawi

    Church fund 'not enough' to right slavery wrongs

    WAARABU NI WACHOVU KAMA WAAFRIKA TUU, WASIMAMIAJI WA issue NZIMA NI WAZUNGU. SEMA WAARABU WALISAIDIWA NA UJIO WA NABII MUHAMMAD (SAW) NA KUPATA KUFUNGUKA MACHO LAKINI WAFRIKA UPOYOYO UMETUFIKISHA HAPA TULIPO KWANI SISI HATUNA HISTORIA YA KIELEIMU. MADHILA YOTE YAMETUANGUKIA SISI. HAPO NDIO...
  4. battawi

    Rais Samia akiwa ziara ya kitaifa nchini India, leo Oktoba 9, 2023

    Mapimbi wako wengi duniani Unaambiwa mikataba 15 , imetiwa saini 10 ikiwa ya serikali na mitano ya wafanya bishara. Hivi unaichukuliaje Ziara kama hii kama TZ imekubaliana na India kutumia Sarafu zao katika bashara badala ya US dolla? Mmi nadhani wewe Pimbi usiyejua mambo ya Uchumi na Mahusiano...
  5. battawi

    Units nzima ya jeshi la Israel yaangamizwa na Hamas, Wabunge wa Israel walia

    sasa akili ya uvumbuzi inatokana na dini au akili? Kwahiyo wakiristo wa kiafrika na kiarabu nao vipi mbona wamezidiwa na Mapagani wa kizungu na Mabaniani na wachina ambao hata zao si za kikiristo wala kiislamu?
  6. battawi

    Hamas wamesema lazima tubadilishane mateka na wafungwa wa Kipalestina

    ANAKUWAJE MTU GAIDI NCHINI KWAKE KWA SERIKALI YA KIKOLONI?
  7. battawi

    Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Ndoto hizi za mchana. Hatukuiondoa CCM ilipokuwa taabani bungeni, itakuwa leo? Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  8. battawi

    Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

    [emoji108] Kuna watu wanataka kudictate kila maamuzi ya Serikali. Samia mzanzibari, kuna kosa gani akipromote UTALII Zanzibar? Mbona Mwendazake alipromote Chato na kukenga mpaka ikulu kule kisha kaweka Trafik Light porini kabisa. See Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
  9. battawi

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali achia ngazi haraka sana, ni aibu kwa Serikali

    Unakusudia Raisi Samia, na Mbarawa? Hivi leo si Watanzania tena? Ubaguzi unakutafuna ndugu yangu. Magufuli alipoharibu mulianza kusema Sukuma Gang. Lini yataisha maujinga ujinga haya? Watu wakikosea serikalini wanatajiwa uasilia wao! UJINGA NA UBAGUUZI Sent from my SM-A305F using...
  10. battawi

    Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

    Madudu Matupu , Munadanganyika na Ukubwa wa miili yao na uzuri wa suti zao Watanganyika waliosomeshwa na Nyerere hawajui sheria wala kiengereza
  11. battawi

    Tunazunguka mbuyu hatutaki kusema ukweli

    Mimi nadhani Vunjeni Muungano, ili Zanzibar iende zake na Tanganyika waunde serikali yao. Kwa vile Bunge ndio limepitisha haitawezekana kufanya Impnchment. Kuhusu kuuzwa kwa Sovereghnity ya tanganyika nadhani Zanzibar Tunastahiki zaidi Kupewa Sovereghnity yetu NOW. Nyinyi Bandari mumekuwa...
  12. battawi

    Makubaliano ya ovyo hayawezi kuleta mikataba mizuri

    Yaani unaonesha huna uelewa wa lolote. Mkataba Haukuvuja, uliwekwa hadharani na kupelekwa Bungeni. Bunge limeupitisha. Lakini vichwa maji kama mimi na wewe tunawatukana viongozi. Nashindwa kujua udhubutu huu munaupata wapi? Serikali inawajibu kwa taifa kutafuta njia za kuendesha nchi na...
  13. battawi

    Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

    Kwa kosa hili alilofanya Nyerere, ndiomaana hadi leo Migodi ya Almasi, Dhahabu si mali ya Watanzania, Inaendelea kulipa madeni ya mali zile zilizotaifishwa. Kama Hamjui basi muelewe. Dunia ya leo ukivunja mkataba au kudhulumu maliza watu kwa mintarafu ya kisiasa, utaingiza nchi katika kulipa...
  14. battawi

    Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

    Munapigania nini? Mbona mkataba huu ni halali umeshapitiwa na Bunge ! Hivi hii nchi ikoje , Kwanini Mkutano usifanyike Kiniondoni au masaki, badala yake temeke na Nbagala, Huko ndio mumeona Wachovu wengi wa Uswazi sio? Target Kuwaamsha wachovu? Kaamsheni wasomi na wakubwa kule kinondoni, Masaki...
  15. battawi

    Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Sura ya 2:Aya ya35.'' Na tulisema(kumwambia adam): Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani(Pepo ya Eden), na kuleni humo mtakacho maridhawa popote mpendapo, lakini msiukaribie mti huu tu; mtakuwa katika wale walio dhulumu.''
  16. battawi

    Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    Sura ya 2: aya25.'' Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata mabustani yapitayo mito kati yake; kila watapo pewa matunda humo, watasema: Haya ndiyo kama tuliyo pewa kabla. Na wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na wao humo watadumu.
  17. battawi

    Serikali, mikataba ya DP World haikuwa na ulazima wowote kuitangaza. Msirudie hili kosa kabisa nchi yetu bado ni ya wapiga makelele…

    Mimi naona uko sawa tu. Mama alikosea kupeleka bungeni suala hili akiamini kuwa anafanya demokrasia, kumbe anawaamsha Mazuzu. Watanganyika bado wanaamini Ujamaa, wakati CCM imeelekea Upepari. Uwekezaji wa nje huwa hautumii sheria za Kijamaa za tnzania. na Mabepari wengi wanahofu naMfumow wetu wa...
Back
Top Bottom