Search results

  1. Abu_yazid

    Mzalendo Pombe Magufuli asingempa VISA Mzambia kuwa CEO Yanga

    Mambo ya Yanga yanawatesa na kuwakereketa sana wanaSimba kuliko ya Simba... Ni sawa na kusema harufu ya biriani nyumba ya jirani inamkera sana jirani kuliko mwenye nyumba ambapo biriani inapikwa... Shida ni nini..?? Maana ni nadra sana kukuta watu wa Yanga kuongelea Mambo ya Simba... Lakini...
  2. Abu_yazid

    Hawajui kinachoendelea Tanzania!

    Kwani wenye nchi ni CC??
  3. Abu_yazid

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Asante sana Kiongozi... Mungu atubariki sote
  4. Abu_yazid

    Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Ni bora utoe kitabu mtu akapambane mwenyewe
  5. Abu_yazid

    Msaada, napataje hiki kitabu?

    Hiki cha birds of east africa... Kuna kile ambacho ni app, kina hadi sounds of birds.. ukiwa nacho una enjoy sana field
  6. Abu_yazid

    Msaada, napataje hiki kitabu?

    Habari za mihangaiko ndugu. Kuna kitabu cha "Birds of East Africa" kwa yeyote mwenye nacho ama anajua naweza kukipataje (kiwe soft copy).
  7. Abu_yazid

    Dark days 17/03/20...

    itakuwa vipi kama Y.O.G.A ni mwanaume
  8. Abu_yazid

    Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    mechi ya tarehe 6 hakumuachia... alikuwa akimrusha rusha tu
  9. Abu_yazid

    Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Kama kisa cha kufukuzwa ni hicho sawa... lakini mamlaka imkanye pia yule shabiki wetu wa YANGA anayeingia na njiwa uwanjani... ule ni unyanyasaji na utesaji wa wanyama, haufai hata kidogo
  10. Abu_yazid

    Draw ya Klabu Bingwa Afrika: Yanga yapangiwa kucheza na Zalan ya South Sudan; Simba kucheza na Nyasa Big Bullets ya Malawi

    ninachowapendea mashabiki wa yanga si watu wa maneno mengi.. endeleeni kupiga kelele
  11. Abu_yazid

    Mapato Simba Day vs Yanga Day

    hii inaonyesha jinsi mashabiki wa YANGA wanavyoipenda na kuitakia mafanikio timu yao
  12. Abu_yazid

    Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    sidhani kama atamaliza muda wake vizuri... labda ahurumiwe, anakera mno... anawaza kupambana na watu badala ya maendeleo ya soka na miondominu yake, ligi inazidi kukuwa ila miundombinu bado ipo hovyo
  13. Abu_yazid

    Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    watu wanamchukulia poa kwasababu ya aina aliyoichagua ya kuwa mropokaji na rangi ya ngozi yake
  14. Abu_yazid

    Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    ni mwenye akili tu... ambaye hana mambo ya ushabiki ndio atakuelewa na kujua kwamba unaongea ukweli 100%
  15. Abu_yazid

    Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    honestly kilichofanyika kwa yanga ni ubunifu wa nini kikae kwenye jezi.. hasa jezi ya kijani na nyeusi.. lakini kwa simba huo si ubunifu, wamefanya kupachika rangi tu... hao VS ni online designer wa football kit.. unafanya tu kupachika rangi kwenye designing... YANGA ni pure design.. so yanga...
  16. Abu_yazid

    Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

    Kama una akiba ya eneo ambalo unaweza kuweka bustani.. ni vyema ukalima kwaajili ya kuku... ukianza na hizohizo za gharama wakati za bustani zipo kwenye ukuaji
  17. Abu_yazid

    Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

    hii nchi tayari ipo gizani.. muda si mrefu haitotawalika.. dini hazifai
Back
Top Bottom