Search results

  1. stringerbell

    JK: Ni Marufuku kipengele cha Dini kwenye Sensa

    sensa ya 2011 kule uk waliweka kipengele cha dini lakini tanzania Hawataki kuweka kutokana na CCM (CATHOLIC MOVEMENT CHURCH) kukataa .swala la kujiuliza why not us? angalia sample ya uk census 2011 hapo chini.
  2. stringerbell

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    mimi nahisi bora uendelee na kazi yako ya kukosha vyoo na masufuria badala ya kwenda kwenye maandamano ambayo hayana tija .fanya kazi ili uwasaidie wale ndugu zako ulowaacha kule subawanga wakipiga jembe .
  3. stringerbell

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Nyerere who? are you talking about the dictactor who is burning in hell who gave us a pain for 24 yrs .I can't believe they are still peoples out there worship nyerere .you need to wake up. the guy didn't do **** all in this country .he was the worst president of all time .
  4. stringerbell

    Rising Dictactor in Africa: Jakaya Mrisho Kikwete

    well.the dictactor we had is dead alraedy probably burn in hell.you should be thankfull to have your freedom of speech thats why no one stop you to write huu utumbo hapa jamii forum.mchonga meno kaongoza nchi miaka chungu nzima hakuna moja alofanya zaidi ya udikteta na kutuweka na njaa nakumba...
  5. stringerbell

    Kambi mbili za upizani katika Bunge

    is called divide and rule!!cuf na chadema nyie piganeni wakati ccm wanakata mbuga
  6. stringerbell

    From 82% 2005 to 61% 2010.

    ushindi ni ushindi tu hata kama ni wa goli moja.now shut up and get over it .kikwete ni raisi mkitaka msitake .tatizo lenu nyinyi machedema mlipiga kura kwenye mtandao badala ya kwenda kupiga kura vituoni. na huyo kiongozi wenu dr slaa is too overrated hana lolote mr fat bastard.
  7. stringerbell

    Elections 2010 Namuombea slaa kura

    kura za slaa zitaishia humu humu mitandaoni .hapati urais n'go .jidanganyeni hivyo hivyo .matokeo ni haya kikwete kura 65% and 35 for the losers
  8. stringerbell

    Dr. (PhD) Slaa Akishinda, Kikwete atakubali matokeo?

    nyinyi mnajidanganya kweli .hivo mnafikiri dr slaa atashinda.kikwete atashinda kwa asilimia 65 .now get over it .dr slaa ni mshindi wa urais wa mitandaoni .kazi kujidanganya nafsi zenu .kikwete will be there for the second time .i can bet with anyone
  9. stringerbell

    Commonwealth Games 2010-INDIA

    jamani watz wanashiriki michezo ya aina gani naona sijawaona hata katka mchezo mmoja .hata kwenye athletics siwaoni.
  10. stringerbell

    Kulikoni Mzee wetu Aboud Jumbe

    you are so wrong .jumbe alitaka serikali 3 sio kuvunja muungano.kama mnakumbuka nyerere alimuuliza ramadhan faki 1+1=? ramadhan faki akasema 3 .ambayo maana yake ni serikali ya zanzibar,serikali ya tanganyika na serikali ya muungano.
  11. stringerbell

    Linganisha Picha Hizi: JK Nyerere vs. JM Kikwete

    mimi naona ungemlinganisha nyerere na hitler hebu angalia hizo picha hapo chini . wote walikuwa madictator,moustache zimelingana .tafauti ni moja tu mmoja ni mweusi mmoja ni mtu mweupe.! nyerere was the most over rated president of all time .he done shit
  12. stringerbell

    Ni uhaini - as simple as that!

    kama znz na tz ni nchi moja kwanini sasa kuna serikali 2?ikiwa znz imo ndani ya tanzania kwa maana hiyo unataka kutuambia znz ni mkoa au wilaya sio?ukumbuke kwamba muungano huu sio kama ule wa united states.vile vile tuliungana kwa mambo 11 lakini sasa hivi ni mambo kibao ambayo yamepitishwa...
  13. stringerbell

    Ni uhaini - as simple as that!

    ikiwa muungano utafunjika basi nahisi big looser watakuwa ni wapemba kwasababu hawa watu hawajengi kwao kule kisiwani pemba hakuna watu ni empty land ,siku zote ni watu wa kutapakaa kama gyspy.hawa ambao wapo bara watakimbilia unguja.sasa waunguja nao watasema rudini kwenu yakhe. matokeo yake...
  14. stringerbell

    Ni uhaini - as simple as that!

    bosi junius umesema Mda huu tunahisabu tarehe tu kuifutilia mbali CCM Zanzibar, vipi unataka uturudishe utawala wa chama kimoja?enzi zile zishapitwa na wakati bosi,upinzani lazima uwepo in order challenge the ruling party
  15. stringerbell

    Ni uhaini - as simple as that!

    mzee mwanakijiji naona unapiga kelele lazima znz iwe kwenye muungano ,hebu nipe faida 3 ambazo tanganyika inapata kwenye huu muungano.vile vile naomba unipe hasara 3 ambazo tanganyika itapata ikiwa znz itajitenga . ikiwa kweli tanganyika ina hamu na muungano why not unite with kenya ,uganda or...
  16. stringerbell

    Ni uhaini - as simple as that!

    huo ni mwanzo tuu.by 2011 tutakuwa na serikali 3 .kwanini mnafikiri karume kakubali kuungana na cuf ili kuleta mseto .sababu ni kwamba alijua akianza kuchokonoa katiba na kuanza kuitetea znz ,yangelimkuta yalomfika JUMBE kufukuzwa katika chama.hata salmini alijaribu lakini kashindwa pia .so...
  17. stringerbell

    Cost of living in Tanzania

    ndio nikija natafuta nyumba ya kupanga ,sitaki kukaa kwa ndugu zangu kwasababu mimi very independent. naona jamani badala ya kunijibu maswali yangu mnanishambulia na kunirejeshea maswali mimi instead of giving me the idea hiyo cost of living . sababu ya kuuliza hivyo kwasababu mimi ni mtu wa...
  18. stringerbell

    Cost of living in Tanzania

    wanajamii habari zenu jamani naomba kuwauliza kuhusu cost of living sasahivi hapo bongo,mimi nipo state natarijia kuja hapo kukaa kwa muda wa miezi 4. bei ya vyakula kama mchele ,maharage,vitunguu,mbatata n.k ni kisai gani vinwaji kama bia na soda kiasi gani? petrol kwa litre kiasi gani nyama na...
Back
Top Bottom