Search results

  1. Watu8

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Sasa single mama wengi ni wale pisi kali...
  2. Watu8

    Hivi pisi "za kawaida" zanaliwa na akina nani? Wengi wanajisifia kupita na pisi kali tu

    Cha mgema siku zote huliwa na mlevi...kila mbunye ina rungu la kuisuuza
  3. Watu8

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Kiutawala Rais ni Amri jeshi mkuu hivyo CDF na majeshi yote ni inner circle ya kwanza ya Rais...
  4. Watu8

    Nukuu 10 za Jenerali Mabeyo

    Oooh...kumbe zile tetesi ilikuwa ni kweli
  5. Watu8

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Mods weka 2 hapo...au basi 😆
  6. Watu8

    Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Mwanaume unahitaji kugangamala sio unalia lia... Mwanamke anakushindaje?
  7. Watu8

    Yuko wapi JF member Naanto Mushi

    Kwa sababu swali lako lishapata jibu na umelikubali...
  8. Watu8

    Yuko wapi JF member Naanto Mushi

    Thread closed
  9. Watu8

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    Acha upumbavu...Yes, acha upumbavu wa kulazimisha mtu mwingine alambe maungo yako ya siri... Unamuweka mkeo kwenye risk ya kupata maambukizi ya kinywa na koo ambayo yanaweza pelekea hata kansa...
  10. Watu8

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    1. Mtoto ana umri gani? 2. Kuna mabadiliko yeyote wewe uliyonayo kwa sasa tofauti na wakati wa uchumba wenu? 3. Je, nje ya sex ninyi ni marafiki mlioshibana ambao mnaweza mkakaa na kupiga stori, kupanga mipango pamoja n.k? Hapa itakusaidia kujua kama mna connect au mpo pamoja kwa sababu...
  11. Watu8

    Mnaomiliki gari za kimarekani zina changamoto gani?

    Si lazima iwe changamoto... Fikiria tu katika kuendesha, then ukagongwa kitu kidogo tu kama front or rear bumper kiasi kwamba haliwezi tengenezeka tena, unahisi utalipata wapi bumper jipya au hata used kama sio kuanza kuagiza nje na kupark gari maskani?
  12. Watu8

    Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

    Azam wamalizane na dude walilolitengeneza wao wenyewe...
  13. Watu8

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Hahah... Ni Vágner Love, jamaa mmoja Mbrazil
  14. Watu8

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Gabriel Agbonlahor, ni muingereza mwenye asili ya Nigeria alikuwa anakiwasha Aston Villa...
  15. Watu8

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Victor Costa Nampoka "Nyumba"
Back
Top Bottom