Search results

  1. C

    wauguzi tanzania muda wa masomo na mavazi

    Tanzania ya leo inahitaj wauguz walosoma mambo ya dah! mwanangu amefel ....mpeleke akasome unesi/uuguzi(nukuuu kutoka mtaani) yakome! tuwe na restrictions ilikupunguza wauguz wavamizi(wasofaa) katka hosp....make mda mwingine unaona ata aibu kusema wewe ni muuuguz coz of the current...
  2. C

    wauguzi tanzania muda wa masomo na mavazi

    kweli nimesikitishwa na ninaendelea kusikitishwa na uamuzi huu unaofanywa na watu ambao sijui wanatumia nini katika kufikiria!... jaman navoelewa mimi muuguzi ni mtu ambae anatakiwa kuwa na elimu bora just like any orther professiions!..tatizo letu tunamuona muuguz kama chombo ambacho ni cha...
Back
Top Bottom