Search results

  1. tru rasta

    Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

    na wakiruhusu tu busara ya kumuuzia mvamizi kwa bei ya soko ndio itafungulia mlango wa uvamizi wa viwanja vya watu kwa makusudi kabisa.dawa ni kukubaliana na bei ya mwenye kiwanja au ubebe mzigo wako uhamishie kwenye kiwanja chako halali.
  2. tru rasta

    Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati (Michael Songora Mjinja)

    tuanze kwa kujiuliza alirudije hapo baada ya kuwekwa benchi muda mrefu?
  3. tru rasta

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    sio malaya tu bali malaya of the lowest class,sababu hata ma pro sasa hivi atakuja na kwa hela yake na hata ya kujihudumia kama akiwahi yeye.
  4. tru rasta

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    usitume nauli,kama ni msafiri wa kuja kweli mkatie ticket online umtumie ticket number tu. #kataautapeli#
  5. tru rasta

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    [emoji23] kwanini uhisi mtego na kazi umetangaza wewe ila hizo taarifa hukuwa umeweka na wala picha ulizoweka hazioneshi hiki ulichonijibu? Kama tangazo lako na hiki ulichonijibu havipishani,nitakutafuta kwa ajili ya kazi. Pole kwa maswali mkuu
  6. tru rasta

    INAUZWA Bei za CCTV cameras kwa mfumo wa seti

    1.set zako unatumia camera brand gani? 2.DVR ni brand gani? 3.specs za camera unazotumia ni zipi? 4.Hard drive unaweka ya ukubwa gani kwa set ya camera 8? Tuanzie hapo then mengine yatafata
  7. tru rasta

    Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

    May Her Soul Rest Easy.ile curly ilikuwa sio ya dunia hii,always shining
  8. tru rasta

    Unamkumbuka Mwalimu wako aliyekufundisha Elimu ya Awali?

    hahahaa,sema Sir.Mkude.huyu jamaa kataabisha sana watoto watundu. Siku zote namkumbuka Mama Chiku Mzee na ule mwendo wake wa madaha
  9. tru rasta

    Wanaume tuache tabia ya kuwahukumu wanawake kwa makabila yao

    tumezaliwa tumekuta wazee wanatoa hizo tahadhari,lazima kuna walichoona na kuwakuta.usijaribu kushindana na nature,kuna watu wako hivyo tu hata wawe wamesoma na kupata exposure ya dunia nzima.lazima wawe hivyo tu sababu ndivyo walivyo.sasa wewe nenda kajichanganye kwa warangi,wamburu au wahaya...
  10. tru rasta

    Gambling and betting addiction

    from your writing i can tell,you were a very good and strategic player.ulisahau tu one of the basic principles of gambling ya "do not run after the losses" na hapo ndio wengi wanapopotea. this game like any other,is associated with luck.one must accept siku haziwezi fanana.u loose your first bet...
  11. tru rasta

    Unavaa saa mkono gani?

    Kwa Tanzania itakuwa ni ngumu tu kuzipata sababu hata uelewa wa sababu ya mkono wa kuzivalia watu hawana.kama una mtu yuko nje ya Tanzania muagizie zipo nyingi tu
  12. tru rasta

    Unavaa saa mkono gani?

    hii ndio kanuni sahihi ya uvaaji saa na kwa kuongozea tu,saa zinatengenezwa kutokana na mkono unaoivaa.saa ya kuvaliwa na mtu wa mashoto(lefty) ambae ataivaa mkono wa kulia,ile knob yake ya kubadili majira huwa inawekwa tofauti na saa ya kuvaa mtu wa right.
  13. tru rasta

    Wanaume muwe waaminifu na ndoa sio kombolela. Angalieni mtaachwa uzeeni na Wamama hatuzeeki

    Unaandika kishabiki,wapi umeelezwa mgawanyo huo wa mali?hukumu ya divorce na maamuzi yake yamefanywa siri kwasababu walikuwa na makubaliano kabla ya ndoa.
  14. tru rasta

    Nearly all men can stand adversity, but if you want to test a man's character, give him power

    thread has an hour,with no single comment.wacha tusubiri jirani zetu wakenya watujibie
  15. tru rasta

    Nani kamdanganya huyu mwana wa mfalme? Anatia huruma

    Mbona inaonekana kabisa kuwa ni mazoezi(drill) mkuu
  16. tru rasta

    Nimetengeneza 15,632,000/= kwenye betting ndani ya miezi minne

    Usiwaogopeshe watu kwasababu wewe ilikushinda.people make fortunes out of gambling duniani kote na hii ni proffession kama nyingine tu,it takes alot of hours and patiency to master.wengi wanafeli sababu wanataka kutengeneza hela ya haraka kwa mtaji mdogo lakini pia hawataki kuinvest muda kwenye...
  17. tru rasta

    Musukuma: Wasanii wa Bongo Movie hawana kitu, wanategemea michango ya misiba

    Sawa hata kama ni mhanga wa hicho ulichokisema lakini hakiondoi ukweli wa kauli yake.hawa wasanii ni wauzaji maarufu wa viungo vyao
  18. tru rasta

    Saudi Arabia yaitekenya Marekani,yatishia kuacha kutumia dola katika biashara ya mafuta

    nice move by Saudis,lazima US arudi nyuma kwanza and restategise.
Back
Top Bottom