hivi wewe badili tabia,huyo kwenye avatar ni wewe mwenyewe???? :tonguez: ... Shift+R improves the quality of this image. CTRL+F5 reloads the whole page.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hizo jezi za cameroon mbavu sina:becky::becky::becky:sijui ni ubunifu au kubana matumizi mpaka wavae kanyela humo humo:becky::becky:
kuna juhudi za mambwiga humu kutaka kupaint picture kama huyo kaka amejiua kutokana na wivu wa mapenzi...get it straight,amejiua baada ya kugundua/kudhani ameua!!!.....sio kama aliwaona hao wagoni wake na kujipiga risasi hapo ndio mngeleta blah blah zenu kuwa ni wivu wa mapenzi.......
mnh kuna watu wanajiona wana haki ya kuwachagulia watu wengine maisha ya kuishi this is soo wrong....tubadilike,ifike wakati mtu akitoka na bikini iwe sawa so long hajaiba/hajavunja sheria yoyote........
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.