Hata mimi Tigo wananichosha kabisa. Kutwa nzima ni meseji au simu kutoka kwenye automated system. This is chaos. TCRA wanajaza tu matumbo yao hakuna control yoyote wanayo-exercise hapa. They are simply foolish.
Hawa regulators wanashibia huku huko hawawezi kuwadhibiti kwani kuna asilimia fulani hutoka kwenye haya makampuni kwa ajili ya kuendeshea shughuli za regulators. So the more the companies fetch from us, the higher the commission given to the regulators. Same applies to sumatra, ewura and others.
Mama Lwakatare kwa kutumia ulaghai na kofia ya kuwasaidia watoto yatima aliuziwa nyumba za shirika la bima pale tabata Bima.
Alidanganya kuwa anataka kufungua kituo cha watoto yatima ili auziwe kwa bei bwerere. Alichofanya baada ya kuuziwa ni kuchukua watoto kumi wa ndugu zake na kuwaweka...
Wengi hawawezi kwenda bungeni na waume zao kwa kuwa wengi wao wameingia bungeni kwa kutumia rushwa ya ngono sasa wanaogopa kugonganisha magari huko dodoma
Naandika tena kuyataka makampuni ya simu kuweka wazi gharama zao za kupiga simu badala ilivyo sasa ya kuibiwa kwa kukatwa gharama kubwa bila taarifa. Kwa mfano Tigo wanadanganya kuwa gharama ya kupiga simu eti ni sh 1 kwa sekunde wakati ni uongo mtupu. Wadau jaribuni kufuatilia mtagundua gharama...
Tibaijuka nae kafanya nini hadi umsifie? Au kwa sababu alivunja ukuta wa mwarabu pale palm beach? Baada ya hapo nini kiliendelea kama si kuufyata mkia.
Ninaandika hoja hii kwa masikitiko makubwa hasa baada ya kushuhudia viwango vya gharama ya kupiga simu vikipanda kinyemela bila kutangazwa. Kwa mfano Tigo wanajinadi kila siku kuwa gharama ni sh 1 kwa sekunde ilihali si kweli hata kidogo. Hebu wadau jaribuni kutia elfu 1 kwenye simu yako ya tigo...
Nchi haiwezi kuwa na zero balance banaaa. Wewe umesomea wapi? Economics ya sekondary tu inatosha kukufanya uelewe kuwa nchi haiwezi kuwa na zero balance kwani central bank huwa haiondoki na serikali iliyoondolewa madarakani. Likewise TRA wataendelea kukusanya kodi and so forth. Wewe sio great...
Sikubaliani na hoja yako. Chadema iendelee kusimama kama Cdm. CUF ni mwali wa mtu tukijiunga nae ni sawa na kujiunga na Magamba. Untaka tuwe wake wenza? Kamwe hatupikiki chungu kimoja na CUF. Waliyotufanyia ni mengi na mabaya ysiyosahaulika. Mara ngapi wametutukana bungeni hadi kutoa tafsiri ya...
Wadau nimeshindwa kuamua. Kati ya hawa wamama wawili ni nani mwenye mvuto kwenye jamii? Namaanisha ni nane ambaye anaweza akasimama mbele yako akakushawishi kuwa yeye ana mchango katika maendeleo ya nchi hii? Nimekuja na jambo hili hasa baada ya kuwaza sababu hasa ya watu hawa kustahili...
1. Jambo la kwanza kabisa ni kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wale wote waliohusika na kashfa ya Radar, EPA, Richmond, IPTL, meremeta, kiwira, TRL na nyinginezo ndani ya kipindi cha siku mia moja.
2. Kuhakikisha mchakato wa katiba mpya unakwenda kwa spidi inayotakiwa na sio kusua sua kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.