Search results

  1. skidemount

    Anahitaji kazi yoyote

    Mkuu jimek akapige ualimu wa shule za msing kaka.after one year atokutegemea then atajiendesha mwenyewe
  2. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Chukua like mkuu.kama hivyo kila taasis iwe equal.
  3. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    No no no hana sifa
  4. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Tutaangalia uwezo na sio din yake.but akiwa muislam itapendeza zaid.tusubirin kidogo.usilete ukabila mkuu.kwan akiongiza muislam ww utapungukiwa na damu?
  5. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Mkuu zamu ya wazazbar ili kudumusha muungano mkuu
  6. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Mm nasema hiv rais zamu sasa ya Zanzibar
  7. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Take five mkuu.
  8. skidemount

    Rais ajaye ni lazima awe mkristo?

    Rais anayekuja lazima awe mzanzibar no discussion. ss bara tumepewa akuna tulichofanya.hasa hasa Husein mwinyi yuko fit .
  9. skidemount

    Shilingi yetu aibu tupu

    Ur correct kaka.but watu wanspigana vita kila siku.kodi awalip but saraf yao iko juu.hapa siasa tu ndo zimejaa
  10. skidemount

    Leo ni sikukuu hakuna vipimo

    Nakuunga mkono kabisa.we unahitaji kipimo cha mimba leo.mtu an a force.au mtu anamapunye anataka kipimo cha damu leo.wauguz hata ss tunapenda bata bwana
  11. skidemount

    Maisha mazuri ni yapi?

    Chukua tano za nguvu
  12. skidemount

    mtoto halali usiku

    Kawaida but jatibu kumbadilishia ratiba za kulala.
  13. skidemount

    Joti alamba matapishi karudi kwa Mengi?

    Mtoa maada kakurupuka
  14. skidemount

    Simplicity nimerudi

    Simplicity sikamoo
  15. skidemount

    kupendwa na kutokupenda

    Naangalia mpira
  16. skidemount

    Waziri wa ulinzi wa China Gen Chang Wanquan azuru Tanzania

    Msaada ss wann.mbona kuna watanzania wanamal nying ina maana awana huruma na watanzania wenzao.au wanzetu wanahuruma sana nas.mbona kuna watanzania wanaish maisha mazur kuliko wagen na wanatembelea gar ambazo uwezi kusema hii nch ndo haina uwezo
  17. skidemount

    Waziri wa ulinzi wa China Gen Chang Wanquan azuru Tanzania

    Mbona sion adhar zake kila siku bora ya jana.hali inazid kuwa ngumu
Back
Top Bottom