Search results

  1. ypointer4

    Ugonjwa wa kutetemeka mikono na maumivu ya mifupa

    Wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu, naomba msaada wakujua tiba ya magonjwa hayo mawilii. Maelezo;- Kutetemeka mikono, hii hutokea mara kwa mara na zaidi zaidi pale nipofanya kazi za kutumia nguvu au hata mazoezi na mara nyingine pindi nipokasirika au kuwa na wasiwasi najikuta vidole vyote...
  2. ypointer4

    Test!!

    Still 90% will fail.
  3. ypointer4

    Msaada juu ya mgawanyo wa uchochoro unaokuwepo kati ya nyumba mbili!

    Poleni na majukumu wakuu! kama mada inavyo onesha hapo juu naomba mwenye ujuzi anisaidie. Make kuna utata umempata mtu wangu wa karibu yeye yupo jirani na nyumba ya starehe sasa kati ya nyumba yake na nyumba hiyo kuna uchochoro na mmiliki wa hiyo nyumba ya starehe aliweka sakafu kumaliza...
  4. ypointer4

    Naomba ushauri wenu

    habari wana jf Ningependa kufahamishwa nikozi gani nzuri ya computer ambayo ni rahisi kupata ajira
  5. ypointer4

    habari za mchana huu wa JF

    mh hivi ndo naanza nahaswa pale nnapo pata wasiwasi juu ya wanasiasa wa TANZANIA juu ya siasa zao au ndo kama ule msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao???? HOJA ZA MSINGI NIKUONA 1, TUMESAHAU KABISA MAANDAMANO YA CHADEMA. 2, TUMESAHAU KABISA SUALA LA DOWANSI. NA MGAO WA UMEME...
  6. ypointer4

    naomba ushauri wenu wadau

    kuna ndugu yangu sasa anamiaka 20 na anadai kwamba hajawahi kufanya zinaa je?kuna madhara yoyote anayo weza kupata / jinsia ni MVULANA
Back
Top Bottom