Search results

  1. jaxonwaziri

    Senator reveals that the FBI paid $900,000 to hack into the San Bernardino killer's iPhone

    And some nutcase down at Kariakoo would tell you they break into iphone at TZS 300,000/-
  2. jaxonwaziri

    Mchumba mkaka wa kiislam

    Unaelewa maana ya 'Graduate'?
  3. jaxonwaziri

    Baadhi ya wanawake wanadanganya wamefika kileleni

    Hahaha, mkuu yamekukuta yepi?
  4. jaxonwaziri

    Uwekezaji Singida washika kasi

    Hata kama sijui kuhesabu,hilo jengo halina ghorofa tisa, tusidanganyane
  5. jaxonwaziri

    Kutokujua umbali kutoka kibao mpaka shule ilipo

    Kwa jinsi maandishi yalivyo kwenye kibao chenyewe, kukosewa kwa umbali halisi haliwezi kua jambo la kushangaza
  6. jaxonwaziri

    Mashine ya ku-Grill kuku inauzwa

    Umesema haijawahi kutumika? [emoji50] [emoji46] [emoji47]
  7. jaxonwaziri

    Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    Anha....kumbe ni wewe jamaa, nimekupata, ugomvi wetu haujaisha, niliapa kukusaka hata tukikutana tukiwa wazee lazima nikuadhibu, sijasahau!!![emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
  8. jaxonwaziri

    Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. jaxonwaziri

    Kwa mnaohitaji kununua magari - tukutane hapa

    Wakuu nauliza,gari za Japan zina kitu inaitwa 'owners manual' ? Kama zipo mbona sioni watu wakizipata wanapoagiza gari?
  10. jaxonwaziri

    Naweka dhamana vyeti nahitaji msaada wa mkopo

    Msimkatishe mdau tamaa, amesema dhamani ya kile anachokiona cha thamani kwake na bei anayotaka ni 50k, huwezi jua ukimpatia hiyo amount utakua umemkwamua kiasi gani. Mwenye nayo ampatie tu jamaa, unaweza kuifanya kama sadaka tu ama fungu la kumi
  11. jaxonwaziri

    Okoa muda wa kukaa ofisini

    Nikutie moyo mtanzania mwenzangu, keep up the good work!!
  12. jaxonwaziri

    Nini chanzo cha mwanaume ku cheat?

    Excitement/ msisimko is a very basic content ya kumfanya mwanaume apagawe. Wanawake mnatabia ya kujisahau na kuruhusu hiyo kitu ipotee. Ushauri wangu: Katu usikubali hiyo kitu ipotee katika mahusiano yenu. That tiny little thing that captures and holds his attention. Hold onto that!!
  13. jaxonwaziri

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. jaxonwaziri

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Now you are married!!! Hii kitu huwa inashangaza ila ndivyo ilivyo. Mtu anaanza kukudai hela hata salamu hakuna, unajiuliza kwenye akili ana nini? Uji ama mbege?
  15. jaxonwaziri

    Kile kiapo cha damu hiki hapa

    Muwe mnawaambia na namna ya kuvivunja hivyo viapo, maana vikishakolea huko walipoviweka wasije kujilaumu baadae
  16. jaxonwaziri

    "My confession"

    Kazini kuna stress kibao,umri wetu wengine umeeenda sana, vijistori kama hivi vinatupa insight ya maisha ya ujana wa siku hizi. Angalizo: Kijana, kumbuka wazee tunasabiri umalizie kastori, ole wako uzingue!!
  17. jaxonwaziri

    Ushauri namna ya kuwekeza vijisent

    You have my full attention. Msaada na maelezo zaidi kwenye eneo hili tafadhali
  18. jaxonwaziri

    Wither Tanzania Economy 2016 and Beyond?

    My friend,is that all you could gather from the passages?
Back
Top Bottom