Search results

  1. Crimea

    PICHA: Nchi kama hii hata magonjwa utayasikia redioni tu

    Kuishi sehemu kama hii lazima utakuwa vizuri kichwani na afya ya mwili pia. Hapo kuishi miaka 120 kawaida tu. Switzerland [emoji1237]
  2. Crimea

    Urusi washambuliana wao kwa wao. Wegner wamshikilia mwanajeshi wa jeshi la Urusi

    Putin atakuwa chizi hivi karibuni. Kundi la mamluki la Wagner linasema kuwa linamshikilia mwanajeshi wa jeshi la Urusi, ambaye anadaiwa kulifyatulia risasi gari la Wagner nchini Ukraine. Katika video, afisa huyo anasema kuwa tukio hilo limetokea akiwa amelewa, kwa sababu ya kutompenda Wagner...
  3. Crimea

    Kwanini Dubai magari ni bei rahisi kushinda kwingine?

    Nmefuatilia site nyingi za kuuza magari, nmegundua magari ya Dubai ni mazuri, yana kilometa chache, body safi ila bei ni ndogo kulinganisha na sehemu kama be foward. Shida inakuwa nini?
  4. Crimea

    Hivi Lissu yupo?

    Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana! Hamna kero kabisa, Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
  5. Crimea

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Kwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae. Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu, Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa kunyoosha. Ila kama unajielewa tumia mlingoti kwa sababu 2. 1. Utapunguza gharama kubwa sana ya mbao...
  6. Crimea

    Januari Makamba, tulijua utakwama tu. Muda ni mwalimu mzuri!

    Wakati ndio unaingia hapo wizarani umeme ukaanza kukatika hovyo ukawa unajitetea kwamba unafanyia marekebisho mitambo maana Magufuli alikuwa anawasha tu bila service. Chawa wako hapa walikutetea sana walifikiri wanamkomoa marehemu, umeona sasa jinsi ilivyo ngumu kupingana na muda? Ulifikiri...
  7. Crimea

    Nitapataje cheti cha form four?

    Cheti changu cha form four sijawahi kukichukua, hivi nikitaka sasa hivi ntakipataje?
  8. Crimea

    Samsung note 10+ duka gani nitaipata ambayo haijachakachuliwa?

    Nipo dar nataka note 10+, ila nawaza haya maduka yetu ya kariakoo ntapata iliyonyooka kweli? Pia nafikiria kuagiza kutoka south korea kupitia ebay kuke nimeona zinauzwa dola 380, ila wasiwasi wangu mpaka ije ifike au inaweza isije kabisa?
  9. Crimea

    Serikali njooni msaidie kuondoa hii foleni barabara ya Morogoro

    Halo ni mbaya wakuu hakuna kinachoendelea watu wapo hapa tangu jana.
  10. Crimea

    Kilimanjaro vijana wanaisha kwa pombe

    Wakuu juzi na jana nilikuwa Marangu eneo la Sembeti kwenye msiba wa Mwinjlisiti wa KKKT. Kilichonishangaza ni kwamba kila kijana unaekutana nae kachakaa kwa pombe na muda wote kalewa na ananuka moshi wa sigara. Wakati wa kuhitimisha shughuli za msiba, mkuu wa jimbo wa huko ameongea kwa uchungu...
  11. Crimea

    Mabeyo kazawadiwa hii ndinga. Tafakari!

    Ni landcruiser mpyaa, 0km 300 series Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani?
  12. Crimea

    Utafiti: Matumizi ya simu za TECNO yamepungua sana

    Katika utafiti wangu nmegundua watu wanaomiliki simu za tecno wamezidi kupungua siku hadi siku. Japo kuna wale wanaotumia tecno zilizochangamka kama ifinix nk. Hii imeenda sambamba na kuongezeka kwa matumizi ya simu ya samsung hasa toleo la "a series" Uzi tayari.
  13. Crimea

    Rais Samia: Tuzo hii ya Babacar Ndiaye alistahili Hayati Dkt. Magufuli

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati akipokea tuzo ya Babacar Ndiaye kutokana na mafanikio kwenye ujenzi wa barabara na kusema anayepaswa kupewa sifa ya tuzo hiyo ni mtangulizi wake, Hayati John Magufuli. "Kama tuzo hii [ya Babacar Ndiaye] ilipaswa kuwa ya mtu binafsi, mtu...
  14. Crimea

    Hivi afisa habari wa CHADEMA kwa sasa ni nani?

    Maana naona kama Makene anawaacha Bavicha solemba?
  15. Crimea

    Afghanistan kuingia gizani muda wowote

    Hawa taliban walifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuvaa kanzu, vilemba, kubeba bunduki na kupiga hovyo? Unambiwa sasa wanadaiwa mabilioni yanayotokana na malipo ya bill ya kununu umeme toka kwa majirani. Unaambiwa pia ilikuwa ni tabia yaa ya kuhujumu miundombinu ya umeme kabla hawajashika...
  16. Crimea

    Malasusa unachoifanyia Dayosisi yako Mungu atakulipa

    Leo tuliitwa sehemu tukaambiwa Dayosisi ya mashariki na pwani ina deni la bilion 1.6 Haijulikani ni deni limetokana na nini. Hatukupewa kabisa nafasi ya kuhoji,. Yani imepigwa blaa blaa tu na kuambiwa tuchangie kulipa hilo deni. Deni limegawanywa kila kituo yani sharika na mitaa, na inatakiwa...
  17. Crimea

    Kamati ya Maadili ya wabunge wa CCM kufikisha mapendekezo dhidi ya Gwajima, Silaa na Polepole mbele ya Waziri Mkuu

    Hahhaha.. Hizi dana dana tu! Kuna kitu kimoja watu hawajui, Ni hivi, Kina Gwajima wangefukuzwa chamani kwa utovu wa nidhamu ila sasa haiwezekani ndio maana unaona wanarushiana mpira. Unajua kwa nini? Kufukuzwa kwao chamani kuna wakosesha uhalali wa kuwa wabunge, na hiki kitu kinawapa ccm...
  18. Crimea

    Mliomtukana Mwigulu kuhusu tozo mna lipi la kusema?

    Namnukuu Rais Samia: "Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu" NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna kundi limemzunguka mama ili kumharibia. Na kama kawaida wajinga walikuwa wanapeleka hizo lawama kwa...
  19. Crimea

    Zoezi la uvaaji barakoa kwenye vyombo vya usafiri linazingatiwa huko ulipo?

    Wakuu kufuatia tangazo la Serikali kwamba marufuku mtu kupanda kwenye chombo cha usafiri bila barakoa, vipi linazingatiwa huko ulipo? Mimi huku daladala za Gongo la Mboto hamna kitu, maisha ni kama zamani tu.
Back
Top Bottom