UMILIKI NA MAMLAKA YA ZANZIBAR JUU YA KISIWA CHA LATHAM (FUNGU MBARAKA)
Imetayarishwa na OTHMAN MASOUD OTHMAN
Nimefarajika sana kuona kwamba Wazanzibari wengi wamepata muamko mkubwa kuhusiana na maslahi ya Zanzibar katika suala la kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka). Hii ni faraja kwa vile...
DEMOKRASIA NA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA
MAONI KUHUSU KATIBA MPYA
Kutoka kwa: M.M. Mulokozi [Januari 2013]
Profesa Mstaafu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, S.L.P. 35110, Dar es Salaam: [tamulokozi50@yahoo.co.uk]
Wakati tunajadili utungaji wa Katiba mpya ya Tanzania, ni...
Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila mmoja ana mtazamo wake tofauti, hebu angalia maoni ya wanawake hawa wa Nigeria wanavyojibu swali la nani ni mmiliki halali wa...
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye:
1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba ataondoa kasoro zake akiwa ndani ya ndoa. Hili ni kosa kubwa. Kama huna furaha sasa na mtu kabla...
NA, GORDON KALULUNGA
NIWEKE wazi kuwa huu si uchochezi bali nataka niweke ukweli ambao ni sawa na juisi ya Mwarobaini ambayo ni chungu lakini inaponya homa kali.
Hivi karibuni viongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) katika mikoa na wilaya wameunga mkono kile kilichoitwa mgomo wa walimu...
Waheshimiwa Wananchi wenzangu,
Amani iwe kwenu,
Kwa kipindi cha wiki nzima kumekuwepo na mjadala mkali bungeni, kwenye vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na katika taifa kwa ujumla juu ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2012/13 sanjari na yaliyojiri kutokana na kauli niliyotoa...
Spika Anne Makinda
ZIKIWA zimepita siku chache toka mbunge wa jimbo la Njombe kusini Anne Makinda ambaye ni spika wa bunge kutangaza kutogombea ubunge tena katika uchaguzi mkuu mwaka 2015,mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima waibuka na siri nzito za...
MAONI YA MH. DAVID KAFULILA
Habari Watanzania,
Nina maoni tofauti kuhusu hiki kinachoendelea kuhusu marekebisho ya sheria ya kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Nimejaribu kuomba kuchangia ili niweke maoni yangu wazi lakini imeshindikana, Spika amesema NCCR amepewa mtu mmoja tu Mh. Machali...
Luka 16:1 8 "Kila amwachaye mkewe na kumuoa mke mwingine azini naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini." Wapendwa katika Bwana, nawasalimu wote katika Jina la Yesu Kristo Mwokozi wetu, atakayewahukumu walio hai na waliokufa. Nimesukumwa leo kulizungumzia suala hili zito: Suala la...
Wadau tusaidiane
Toka jana mtandao wa Gazeti la Raia Mwema unagoma.
Je mwenye taarifa yoyote kuhusu jambo hili?
Forbidden You don't have permission to access /vigogo-wa-richmond-wamhujumu-kikwete on this server.
Forbidden You don't have permission to access / on this server.
Additionally, a...
Habari za asubuhi wadau
Asubuhi ya leo nimepigiwa simu na rafiki akaniambia jambo la kushangaza sana.
Katika baadhi ya maeneo ndani ya jiji la Dar, kila wakati umeme unapokatika utasikia makelele mengi ya washangiliaji.
Wote kwa lugha moja wanasema C C M C C M SI SI EMU SI SI EMU SI SI EMUUUU...
Tunalalamika? Tunapinga? Tunahoji? Tunakataa?
Watanzania wanapojadili mapungufu ya nchi(national deficiencies), na kuyarudia na kuyarudia, tunaambiwa eti "tunalalamika tu bila kutoa suluhu ya matatizo hayo".
Suluhu? Nani anasikiliza? Tuitolee wapi hiyo suluhu?
Wabunge ndio wawakilishi wetu...
Tanzania tunahitaji dictator, mwenye nia ya maendeleo, ili wote tuingie kazini tuache malumbano na hoja ambazo kwa ujumla ni za kupoteza muda.
Tumpate wapi kiongozi dictator asiye na huruma hata kidogo kwa kiumbe yeyote wa Tanzania mwenye uwezo wa kufanya kazi anazembea. Asiye fanya kazi...
Kama kubaka ni hali ya mwanaume au mwanamke kulazimisha kufanya tendo la ndoa bila hiyari ya mwingine, basi wanawake wengi sana walioko kwenye ndoa hubakwa na waume zao kila siku.
Kubakwa huku kunatokana na ukweli kwamba wanawake wengi hulazimika kukubali kufanya tendo la ndoa na...
Malezi huweza kuwaathiri!
Mwanamke ambaye ana tabia a kujilaumu yeye kama mwanamke na kulaani kuwa kwake mwanamke, yuko kwenye nafasi kubwa ya kumuuwa mtoto wake wa kike kisaikolojia. Kuna wanawake ambao kwa kuudhiwa na waume zao au hata na wanawake wenzao huwa wanapenda sana kuropoka...
Dear Friends,
There is a significant difference in wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
My query is how these categories are defined ?
If Mr. A is a semi skilled worker in a factory; what are the criteria for...
Jamani maofisini kuna mambo ambayo yanasikitisha sana.
Tuna wataalamu wengi tu ambao utaalamu wao wameupata kimashaka hasa kwa rushwa ya ngono.
Mbaya zaidi wanaendeleza tabia hii hata wanapokuwa maofisini au katika sehemu zao za kazi.
Utashangaa wanapanda vyeo kila kukicha. Kisa tu kamridhisha...
Jamani kama kuna shimo la kufukia vipaji, na uwezo wa kufikiri kwa wanafunzi wetu ni TUITION. Sijui wazo hili lilitoka kwa nani. Tution ilizaliwa miaka ya 1990s na mbaya zaidi baada ya mwaka 2000.
Tuition inafanya wanafunzi wasijiamini kabisa. Wanaona mwalimu wake darasani hawezi...
Jamani kama kuna shimo la kufukia vipaji, na uwezo wa kufikiri kwa wanafunzi wetu ni TUITION. Sijui wazo hili lilitoka kwa nani. Tution ilizaliwa miaka ya 1990s na mbaya zaidi baada ya mwaka 2000.
Tuition inafanya wanafunzi wasijiamini kabisa. Wanaona mwalimu wake darasani hawezi...
Dear Friends,
There is significant variations of wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
Mt query is how these categories are defined ?
If Mr. X is a semi skilled worker in a factory what is the criteria for keeping him...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.