Search results

  1. Felixonfellix

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ya ngorongoro yanakuja mwanza. Mioyo ijiandae tu kuyapokea
  2. Felixonfellix

    Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Hata taahira hawezi kukubaliana na huu ujinga wa huyu kijana
  3. Felixonfellix

    Umiliki na mamlaka ya Zanzibar juu ya kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka)

    UMILIKI NA MAMLAKA YA ZANZIBAR JUU YA KISIWA CHA LATHAM (FUNGU MBARAKA) Imetayarishwa na OTHMAN MASOUD OTHMAN Nimefarajika sana kuona kwamba Wazanzibari wengi wamepata muamko mkubwa kuhusiana na maslahi ya Zanzibar katika suala la kisiwa cha Latham (Fungu Mbaraka). Hii ni faraja kwa vile...
  4. Felixonfellix

    Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Kwani uteuzi hufanywa na nani? Majina hupelekwa na nani tume? Vigezo gani huzingatiwa! Why kulalamika?
  5. Felixonfellix

    Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Kwenye siasa wanasemaga hakuna adui wa kudumu
  6. Felixonfellix

    CHADEMA Hakuna Mhandisi wala Mwanasayansi!

    Swali kwa mtoa mada!! Unataka wanasayansi wa aina gani?? Unataka wahandisi wa aina gani? Unataka wana mahesabu wa aina gani??? Maana kama unataka uwaone kama walioko CCM hutawapata.
  7. Felixonfellix

    Mwanza yazizima mapokezi ya Magufuli

    Siyo kweli kabisaaa, mie niko Mwanza. Cha mno sana walifunga barabara yetu ya Makongoro!!! Alikuwa na ratiba ya kusimama kidogo Pasiansi, na baadae aendelee na safari yake kuelekea Geita akishamaliza kutembelea ofisi za mkoa kichama.
  8. Felixonfellix

    Jamiiforums' EXCLUSIVE interview: Ana kwa ana na Balozi Khamis Kagasheki (Shiriki kwa kutoa Maswali)

    Inakuwaje wizara ya maliasili na utalii wanatoa vibali vya kufanya utafiti wa madini ya aina mbalimbali katika mbuga za wanyama na hifadhi za wanyama? Je, ni kwanini wizara inaruhusu migodi ifunguliwe katika hifadhi hizo wakati wizara hiyo hiyo huwazuia au kuwakatalia wananchi wanaohitaji...
  9. Felixonfellix

    Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Kazi ipo. Ushauri wa baraza la wazee ungefaa sana
  10. Felixonfellix

    Nafanya biashara lakini sijamwambia mume wangu, ushauri tafadhali

    Mhhhhhhhh Tengeneza mazingira mazuri ambayo unaweza kumwambia.
  11. Felixonfellix

    Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

    Je watapewa kibali na polisi?
  12. Felixonfellix

    Ninalaani vikali udhaifu wa Kiti cha Spika na aibu ya Taifa letu

    Inakatisha tamaakuwa na viongozi aina ya makinda na ndugai kwenye taasisi kubwa kama ya bunge
  13. Felixonfellix

    Nimeamua kujiunga na wapigania ukombozi wa CHADEMA baada ya kutafakari kwa kina!

    Hongera kwa kuwa wazi Ni haki yako ya msingi pia
  14. Felixonfellix

    Malecela: Spika anawaonea wabunge wa upinzani

    Hivi mnakumbuka G55?
Back
Top Bottom