Search results

  1. KakaKiiza

    Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Kuna NGO's wana miradi inaitwa School feeding hivyo wanasaidia watoto kupewa chakula cha mchana usisikie kuna mahali njaa ipo,hata WFP walikuwa na mradi kama huu huko dodoma hivyo siyo kitu kigeni sema watu hawajui yanayotendeka nchini mwao!
  2. KakaKiiza

    MPYA Mtu akitikiswa (chekechwa) kwa muda mrefu hupelekea viungo kutengana na kufariki dunia

    Kuna moja anakorogewa sementi ananyweshwa kikombe atoboi!
  3. KakaKiiza

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    tuanza na Aide de camp msaidizi na Usalama pia
  4. KakaKiiza

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kama watu wote wakaribu wote walikufa iweje walinzi wake hakuna aliyekufa mbona hapa kuna swali la kujiuliza?
  5. KakaKiiza

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Ila waovu hawatishiki wanamizizi sana maana waovu wote siku zote wanamifumo ilijengeka kwa rushwa ili kuwatoa yakupasa kwanza kujenga mifumo yako kwanza vinginevyo utakuja juta!
  6. KakaKiiza

    Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  7. KakaKiiza

    Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Mjumbe wa mkutano mkuu kutoka wilaya ya Kinondoni
  8. KakaKiiza

    Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Hivi nani anamtuma? Wanaomtuma wanadhani wanatengeneza kwa Rais Iła ukweli huyu jamaa anadhalilisha Chama, CCM ni nichama kikubwa ambacho kinawatu wakukisemea hata kama ana taasisi yake ya Mama ongea na Mwanae basi azungumzie vitu vinavyohusu taasisi yake, haya mambo yakuongelea vitu vikubwa...
  9. KakaKiiza

    Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

    Sumu nipale unapopigwa mjengo kwa sababu ya Mke wa mtu! Hapo sijaona sumu! Ungekatwa kibao kidogo ingemake sound
  10. KakaKiiza

    M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Mleka mada umetumia Google kutafsiri andiko maana u aż Unguja sana na unarudi palepale na kwa taarifa mali na Burkina Faso hakuna wagner ni propaganda
  11. KakaKiiza

    Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kusitisha vita wote wanaishi nje ya Palestina, wanaoumia ni raia

    Wewe unayeongea upo Buza Netapussy yupo yuda ya galilaya uoni aibu?
  12. KakaKiiza

    All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    WAKATI TUKITAZAMA MUITIKIO ACHA TUFANYE MAZUNGUMZO YA KINA NA UONGOZI TUTAKUJA NA MAJIBU SAHIHI!
  13. KakaKiiza

    Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

    Kesi za viwanja huwa aziishi mahakamani unaweza ukafa ujapata haki alichofanya Jerry ni sahihi maana wamiliki ni Ardhi kama nyaraka zupo sahihi hakuna budi.
  14. KakaKiiza

    Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

    Zile ni movie kwanza fahamu myahudi hakuwa akijua kuwa kuna maandaki gaza nzima hivyo mpaka wanaibukia Israel wanaua watu wanateka wengine wanazama nao gaza myahudi aliishiwa pozi ndiyo maana kisasi nikuua watu hovyo na jamaa nahisi mateka wapo syria au Lebanon au hata Iran au walishauwawa...
  15. KakaKiiza

    Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

    Nakama walikuwepo leo wamewamalizia maana leo Israel kapiga katikati ya kundi la wa Palestine waliokuwa wakikimbilia gari la misaada 128 kawalaza na 700 majeruhi!
  16. KakaKiiza

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Nilivyoona matingatinga yapo busy mkuranga njia ya kuelekea kwao kimoyomoyo nikajua iko namna hawakutaka kuchanganya na tukio la mamvi!
  17. KakaKiiza

    All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Hiyo utokea lakini kwa wale wanaohitaji maana siyo lazima ni ihari
  18. KakaKiiza

    All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

    Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one. Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane...
Back
Top Bottom