Search results

  1. M

    Nachechemea

    akiseam kuwa"KISHERIA HARUHUSIWI MTU YEYOTE KUFANYA BIASHARA HUMU NDANI YA SEHUMU YA KIVUKO" hapo ndipo na mie jaziba yangu ilipo panda na kumfata yule askari na kumwuliza kama haruhusiwi kufanya humu ndani "HAYA MATANGAZO YA AIRTEL YANA FANYA NINI HUMU NDANI". Kunatofauti kati ya kuafanya...
  2. M

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Mimi ngeni sana janvini labda hii ndo post yangu ya kwanza.....!lkn hili limeneuma sana na siamini kama inawezekana kutokea. For [neno baya] [neno baya]hivi nikweli kuna ofisi ya spika imejengwa jimboni kwake...!?sihoji yeye kuendelea kuwa spika lkn suala la kujenga ofisini ya spika jimboni...
  3. M

    Makamba atamba, mtoto wake lazima awe waziri....

    Kama kawaida yake, katibu mkuu wa CCM mzee Yusuf Makamba amewaacha hoi viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho baada ya kusema kwamba yeye hazai wala halei mtoto asiye na akili. Akatoa mfano wa kijana wake January ambaye hakuwa na mpinzani. Mzee huyo aliendela kusema kwamba, atashangaa...
  4. M

    Tamko la TCRA kuhusu ujumbe wa simu unaomchafua Dr. Slaa

    +35 doesnt exist. However countries use the following: +350 – Gibraltar +351 – Portugal +352 – Luxembourg +353 – Ireland +354 – Iceland +355 – Albania +356 – Malta +357 – Cyprus +358 – Finland +359 – Bulgaria
  5. M

    Elections 2010 Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya!

    12.Raisi wa kwanza nawa Mwisho Mkwere.
  6. M

    JK....Ngoma anazimudu!!!!

    Hiyo ni Profoma invoice ambayo mwenyekiti wa kampeni za kikwete (A. Kinana) ame-present kwa waandishi wa habari kama ushahidi kwamba ndege ya serikali ambayo Dr. slaa amemtishia mama kikwete kuitumia kwa matumizi ya kumkampenia mumewe. Kinana anadai CCM iliikodi hiyo ndege ya serikali kihalali...
  7. M

    PICHA: Inauma, wanahitaji msaada

    Inaniuma na inasikitisha sana.Ona wanampokea kama mfalme. Tuache kuandika humu ndani twendeni huko vijijini tukawaeleze ukweli halisi watanzania wenzetu.Muda wa mabadiliko umewadia.
  8. M

    The phone bill

    House girl huwa anampigia baba mwenye nyumba akiwa kazini.
  9. M

    Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

    Hotuba ilikuwa inaboa.
Back
Top Bottom