Search results

  1. K

    Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  2. K

    Ngeli za nomino kidato cha tatu

    Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
  3. K

    Ngeli za nomino kidato cha tatu

    Naomba kuuliza ,TEI wamechambua NGELI Kwa MSINGi WA kisintakisia NGELI 12.!! Vitabu vingine wamechambua Tisa!! Sasa sahihi?
  4. K

    Upungufu wa damu

    Nina mtoto wangu. anashida ya sikoseli. Jana kapimwa anadamu 6.3 he hiyo damu IPO sawa au anahitaji kuongezewa?
  5. K

    Kwanini kuwaongezea gharama waombaji wa ajira bila sababu za msingi

    UMUOFIA KWENU WAUNGWANA! Kwanza niwapongeze waliopata ajira nasema Hongereni! Na mliokosa ajira poleni sana lakini tambueni kuwa Mungu yupo pamoja na nyinyi!! MSIKATE TAMAA. WITO WANGU KWA SERIKALI ,Nafasi nyingi zimehamishiwa Halmashauri ambapo watu wanaomba moja kwa moja. Kumejitokeza...
  6. K

    #COVID19 Ifike muda Mwenge wa Uhuru uhifadhiwe Makumbusho ili kupambana na COVID-19

    Leo ulikuwa maeneo ya Chalinze. Tumesimama tangu asubuhi hadi muda huu gari haziendi kisa Mwenge! Wanafunzi wamekatishwa masomo yao wapo wamejipanga mistari hapo kushuhudia Mwenge! Tunaanzaje kupona na hii Corona? Wagonjwa wangapi wameathirika kutokana na kucheleweshwa na misafara ya Mwenge...
  7. K

    Kuunga kwa Soko la Kariakoo, kuna la kujifunza?

    Majanga mengi yamekuwa yakijitokeza ya moto.Sasa hivi kuna janga la moto Soko la KARIAKOO, Shule moja huko Morogoro. Je kutokana na majanga haya na mengine ambayo yalishawahi kutokea huko nyuma na chanzo chake kusemekana ni hitilafu ya umeme, JE KUNA CHA KUJIFUNZA KUHUSU MAJANGA HAYA YA...
  8. K

    NI kazi zipi ambazo Profesa Musa Asadi anaweza kushirikiana na Bunge Kama mtu TU bila kuambatana na cheo chake

    Bunge liliazimia kutokushirikiana na Profesa Musa Asadi pekee kama mtu, Swali, Kwani NI kazi zipi ambazo Profesa Musa Asadi anaweza kushirikiana na Bunge Kama mtu TU bila kuambatana na cheo chake na Ni zipi hizo? Na NI wakati GANI Profesa Musa Asadi anaweza kushirikiana na Bunge Kama CAG ?
  9. K

    Natafuta pikipiki Boksa used

    Umuofia kwenu Wakuu, Kwa MWENYE pikipiki used Aina ya boksa aweke picha hapa Kisha tuongee nahitaji. Kwa MWENYE pikipiki Aina nyingine tofauti na boksa pia anaweza kuniwekea picha HUENDA nikavuyiwa nayo nikainunua. Katibuni
  10. K

    Kilichokibovu kilipokelewaje na sasa kinarudishwaje?

    UMUOFIA KWENU WAUNGWANA WA JF. Ninaomba kuuliza kwa yeyote anayeweza kunielekeza nikaelewa kuhusu sakata la KOROSHO. Nimesikia tetesi kuwa Serikali inasema Korosho za wakulima hao NI mbovu na wanapaswa kwenda kuzichukua na warudishe hela walizokuwa wamelipwa tayari!!! kwanza hizo habari NI za...
  11. K

    Naomba kufahamu kuhusu kampuni ya GODTEC

    Ndugu Wanajamiiforum, Salamu sana. Kwa ufupi yupo ndugu yangu ndo ameanza kuhudhuria mafunzo ya biashara na anatakiwa awe na smartphone, Kisha kazi Yake ITAKUWA kuwasajili wajasiliamali. mwisho was mwezi anapata laki Saba Hadi milioni moja. Sasa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa wa utapeli...
  12. K

    Natafuta kiwanja cha makazi

    Nahitaji Kiwanja cha makazi kiwe kikubwa cha kujenga nyumba kubwa hata mbili na kuzungusha fensi, bara bara ifike kwenye eneo, Kisiwe karibu na Msikiti. Maeneo Mbezi ya kimara, Makabe yatapewa kipaumbele, Maeneo mengine hadi nije nione
  13. K

    Kumbe kupiga picha ukiwa stend ya mwendokasi hairuhusiwi?

    Muda huu kituo cha kimara ,Abiria wa kiume akiwa na mwanae aliamua kumpiga picha binti yake akiwa ameketi kwenye Yale mabenchi ya kusubiria Gari, Ghafla akatokea mgambo wanaolinda na kumwambia yule bwana afute zile picha. Walizozana na kutaka kupigana hadi aliitwa Polisi, Nimeacha kesi...
  14. K

    Huu ni ugonjwa gani?

    Ugonjwa huu upo sehemu za siri huwa unawasha ukijikuna baada ya muda kidogo unapata naumivu makali, Ngozi ya korodani kuna wakati inakakamaa na kutoa magamba yaani kama nyoka anavyojitoa gamba na yenyewe inakuwa hivyo hivyo. Nimezunguka hospitality Dawa nyingi nimetumia bila kupona, Dawa...
  15. K

    Nauza viwanja maeneo ya Nzega Mjini

    NAKATA VIWANJA VYA UKUBWA TOFAUTI TOFAUTI KUTEGEMEANA NA HELA YAKO, VIPO VYA KUANZIA LAKI SITA NA KUENDELEA, VIPO BARABARA MPYA HAPA KASHISHI. HAKUNA DALALI NA DALALI HARUHUSIWI. SIMU 0755570231 Uje Nikakuoneshe
  16. K

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita kanishangaza sana!

    Taari Ya Habari Ya Jana Saa Moja Usiku Ya Chanel Ten Kama Sijakosea, Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Geita Amekiri Kuwa Pesa Za Madai Mbali Mbali Za Waalimu Wa Halmashauri Hy Kiasi Cha Sh. BILIONI MOJA ZIMETUMIKA KATIKA MATUMIZI MENGINE YA HALMASHAURI HIYO. KAZI HZ HAKUZITAJA NI...
  17. K

    Mh. Lowasa anaaminika, anaeleweka na anafaa kuwa rais wa tanzania.

    Watanzania Wote Wa Vyama Vyote Ikiwemo C.C.M Tupige Kura Tumchague Baba Wa Pili Wa Taifa Letu La Tanzania Ili Tupate Kasi Ya Maendeleo. Mfano, Ndani Ya Miaka Miwili Au Mitatu Ya Uwaziri Mkuu Alijenga Shule Elfu Mbili Na Mia Sita.Je Angekuwepo Hadi Leo Ingekuwaje? WATANZANIA MSIKOSEE MKALAGAIWA...
  18. K

    Magufuli ukifika Nzega usisahau kujibu mapunjo ya fidia yaliofanywa na TANROAD

    Mimi Mwenyewe Ni Mhanga Wa Upunjwaji Wa Fidia Hy Ya Ardhi Katika Kata Ya Itilo Kijiji Cha Silimka. Tumelipwa Fidia Ya Mita Skwea Moja Ya Ardhi Kwa Sh,mia Moja Na Hamsini Badala Ya Sh. Elfu Tano. Mimi Mwenyewe Nililalamika Nikamwandikia Barua Waziri Magufuli, Hakujibu Hadi Leo, Nikaenda Kumuona...
  19. K

    Karibu tutabiri vichwa vya magazeti kesho

    Gazeti La Uhuru Linaandika, HATIMAE SUMAYE AMFUATA FISADI MWENZAKE LOWASA. NAPE,ASEMA AENDE SALAMA C.C.M HAINA SHIDA NA MIZOGA. Nalo Gazeti La Tanzania Daima Sauti Ya Watu Linaandika UKAWA NJIA NYEUPEE, MBOWE ASEMA NA BADO, MWAKA HUU C.C.M IJIANDAE KUWA CHAMA PINZANI. Nalo Gazeti La Mwananchi...
  20. K

    Tatizo la walimu

    Tatizo la waalimu ni usawa katika mishahara.Daktari akilipwa milion moja mwalimu nae alipwe milion moja, posho apokee, siyo kumpa laptop.
Back
Top Bottom