Swali:
1. Kwanini bunge lilisitishwa jana?
2. Katika hali ya dharura "Vichwa" hukaa pamoja na ku tafakari au huenda mapumzikoni? Bunge lilipositisha vikao vyake jana lilifanya nini kusaidia tukio la Gongs?
3. Wabunge walilipwa posho kwa siku ya jana? Kama ndiyo, na nani? Walipakodi?
4...
Tuna tatizo ya kutojua tatizo na kulitafutia mzizi (root course) kabla ya kutoa solution. vijana kweli wanahitaji ajira lakini kuweka wizara moja yenye maneno Vijana na Ajira au michezo haujatatua shida.
Ajira million moja hazitengenezwi na wizara bali mkakati wa kweli wa kutengeneza ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.