Search results

  1. S

    Matatizo ya ini

    Aisee Shukrani sana, ndugu yangu nimeku "PM"
  2. S

    Matatizo ya ini

    nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo ambalo linakuwa kama linawaka hivi baada ya kufanya Liver Function Test majibu yamekuwa kama yanavyoonekana. LIVER FUNCTION TEST SERUM ALBUMIN HIGH 51g/l kawaida 35-50 SERUM TOTAL PROTEIN HIGH 83g/l...
  3. S

    Low wbc

    YEGOSHIKA, nashukuru sana kwa majibu yako mazuri, hizo components nyingine kwa kweli sijauliza, Actually hii ndio mara yangu ya kwanza kupima kwa sababu hawa jamaa, kila kitu lazima upime, huwezi pewa dawa, mpaka upime. KUSEMA kweli hata mimi nimeshangaa lakini inaonekana hizi measurement za...
  4. S

    Low wbc

    HISTORIA MDOMO WANGU KWA ASILI NI MWEKUNDU. MWAKA 1998 NILIANZA KUWA NA VIDONDA KWENYE ULIMI AMBAVYO KUNA WAKATI VINAKUWA VINGI SANA NA KUNA WAKATI VINAKUWA KIDOGO AU KUPOTEA (MPAKA SASA NAVYOANDIKA) ILA KWA SASA KUNA TOKEA KAMA VIDONDA NA VITU VYEUPE(UTANDO) KWENYE MAKUTNO YA MENO YA CHI NA...
  5. S

    Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

    lete update ya yaliyojili
  6. S

    NSSF na MANJI

    Vile viwanja vilikuwa Mali ya NAFCO (HEKA 700) kipindi kile cha mashirika ya umma. KATIBU MKUU wa CCM FISADI Makamba ndie akampatia pande mr MANJI (ila na makamba yumo) kipindi kile akiwa mkuu wa mkoa wa DSM. Ndoa ya manji na Makamba haikuanza leo imeanza siku nyingi na ndio kipindi kile manji...
  7. S

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    Hayo mambo yako mengi serikalini kuliko tunavyojua. Habari zaidi iko https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/53042-ufisadi-uliokithiri-hazina.html
Back
Top Bottom