Search results

  1. Granta

    Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Kwa hizi ndoto kuna siku utajinyea
  2. Granta

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    Kuanzia Leo Anza Kula usiku. Si unaona waislam wanafaidi Kula usiku?
  3. Granta

    Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

    Nguvu zenyewe za kiume huna
  4. Granta

    Kigwangalla: Rafiki yangu aliyempinga sana hayati Magufuli sasa amkubali, aelekea Chato kuomba radhi kaburini na kuweka maua!

    Kigwangala ashajua hatoboi kura za Maoni kwenye uchaguzi ujao, anatumia njia kujiweka karibu na Mwendazake kama kitisho kwa CCM ya Mama kizimkazi lakini kama kuungwa Mkono na wasukuma.
  5. Granta

    Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

    Vita ya Gaza imeonesha unafiki Mkubwa kwa mataifa ya Magharibi
  6. Granta

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Huyu Mlinzi ni Fala kama yalivyo mafala mengine tu, amepata wapi mafunzo huyu mwehu
  7. Granta

    Mpira unapogeuka mchezo wa maigizo

    Umeumia sana Mkuu, next ni vs Azam. Mpaka ligi ikiisha utakuwa umesema
  8. Granta

    Hivi kula nguruwe ndiyo dhambi kuu?

    Kwamba mtu asipokula kitimoto wewe unaumia?
  9. Granta

    Siasa si uadui: Dk. Tulia amtembelea mama wa Halima Mdee aliyelazwa hospitali

    Kwamba Kwamba CCM na kila Halima ni watu tofauti? Hizi siasa majitaka sizipendagi hasa zikinasibishwa na Afya za watu
  10. Granta

    IDF yagundua handaki na ofisi ya kijeshi chini ya makaburi

    Na hizi taarifa umezipata kutoka vyanzo vya Israel bhasi sawa
  11. Granta

    Kwenye makabila haya yote ya Tanzania, umeshazionja za makabila mangapi mpaka sasa?

    Hahahahahah umenichekesha. Sauti kutoka kizimkazi
  12. Granta

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Na hufanya hivyo tu pale ambapo Raia namba moja akiwa ni mvaa kobasi
  13. Granta

    Hawa ndio watakaochukua nishani za juu baada ya vita vya Gaza kumalizika kwa ushindi

    2006 ndio Israel aliiachia GAZA, ndugu sijui hata unazungumzia vitu gani
  14. Granta

    Hawa ndio watakaochukua nishani za juu baada ya vita vya Gaza kumalizika kwa ushindi

    Israel imeikalia Gaza tangu 1948, Hamas imeundwa 2007
Back
Top Bottom