Search results

  1. M

    Wasifu Wa Marehemu Ditopile

    Naomba wenye michango tuchangie, nimesoma ya kuwa Marehemu hakuwa Fisadi na alikuwa mwiba kwa wasio itakia mema nchi yetu. na kiongozi ambaye alikuwa akitekeleza kwa vitendo falsafa za Mwalimu Nyerere. habari kamili soma kwenye link hii. http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/4/27/makala8.php
  2. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Naomba makada wa Chadema tupeni mwanga juu ya habari ya mzee Halimoja ambaye ni kada wa Chadema. ======= Na Mzee Yusuf Halimoja - Gazeti la Mtanzania KAMA tujuavyo, baada ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Watanzania walikuwa huru kuanzisha vyama vya siasa. Kati ya...
  3. M

    John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

    MTANZANIA ANAYEISHI MAREKANI BWANA JOHN MASHAKA AMEKUWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI HASA BLOGS MBALIMBALI KUWA NI MTU ATAYEWEZA KUISAIDIA NCHI YETU KWA KIASI KIKUBWA AKIWA MBUNGE 2010. IKIWA ATAFANIKIWA KUUKWA UBUNGE BASI WATANZANIA TUTAKUWA NA KICHWA KINGINE TOKA MAREKANI BAADA YA AMANI WALID...
Back
Top Bottom