Search results

  1. M

    John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

    Mwanakijiji soma mchango wangu huu hapa juu.
  2. M

    CHADEMA wakataza

    Nimekujibu tizama PM yako.
  3. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Rudia tena swali lako liweke vizuri sijakuelewa.
  4. M

    Wasifu Wa Marehemu Ditopile

    Naomba wenye michango tuchangie, nimesoma ya kuwa Marehemu hakuwa Fisadi na alikuwa mwiba kwa wasio itakia mema nchi yetu. na kiongozi ambaye alikuwa akitekeleza kwa vitendo falsafa za Mwalimu Nyerere. habari kamili soma kwenye link hii. http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/4/27/makala8.php
  5. M

    CHADEMA wakataza

    Ilisemwa hapa hapa Jf jana pitia vizuri thread hizi kuwa ni wewe senti 50 na ukaongezwa na Mwafrika wa Kike yote majina haya ya kike ili michango yako ionekana inatoka kwa wanawake. Kitila nae akasemwa anatumia Asha.
  6. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Kitila na Mnyika ni watu wako wa karibu sana.
  7. M

    Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

    Ama kweli dunia ina mambo hujui Mkapa kama anatuhuma nzito na za kweli, nenda BRELA wasajili wa makapuni liko jina lake kinyume na katiba yetu. vipi ni shemeji yako au umekula ten percent ya kiwira? Hakosheki Mkapa hata kwa dodoki na ananuka kuliko donda ndugu.
  8. M

    Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

    unapokuwa rais mstaafu bado kuna mambo ya Taifa lazima uyafanye hadi unakufa. ni jambo la muhimu na wajibu kwake kuwepo kwenye sherehe kama hizo. Ben ni muovu mkubwa ktk Taifa letu
  9. M

    Mkapa 'Atoroka' Sherehe za muungano.

    PM bwana Mkapa hajakuza uchumi wetu labda tumbo lake tu. kwa kauli yako ina maana mafile ya Mkapa anayeyafungua ni JK? Sio wapinzani. ubadhirifu wa Mkapa ulikuwa wazi na unajulikana kila kona sioni sababu ya kumuhusisha JK kwa ujinga wake Mwenyewe Mkapa.
  10. M

    CHADEMA wakataza

    Siwezi kubishana na wewe, mwenzetu una uwezo wa kumfungia mwanachama na kufuta mchango wake, ni sawa na kupigana ngumi na mwenzio huku mkono mmoja umefungwa kamba kwa nyuma, na mwenzio yuko na mikono miwili, zaidi ya yote refarii kila dakika anapiga filimbi ya kukubana mwenye mkono mmoja. kama...
  11. M

    CHADEMA wakataza

    Asante kwakuliona hili.
  12. M

    CHADEMA wakataza

    Sana tunatishwa ili manyampara waendelee kutesa. mie si mtu wa siasa na wala sijawahi kuishupalia Chadema lakini nimevamiwa na kuwa subject na Nyapara wa JF. hawajapewa nchi tayari madikteta.
  13. M

    CHADEMA wakataza

    Nina posts 211 hujasema mara ngapi nimekutaja zaidi ya kuendeleza majungu tu.lete ushahidi wa kunizulia mambo ya uongo? nikuafute fuate ili iwe nini? kwani wewe umemtaja Ro mara ngapi kwenye mjadala wako? au nawe unamfuatafuta au unalialia? umemtaja Ro kwenye klhnews yako, JF na kulikoni
  14. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Mimi ndiye niliyeanzisha thread hii naomba kujua kwanini umelitoa jina langu? au kuna matusi kwenye yale maandiko yangu.
  15. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Nimekujibu kule Chadema na Asha, unasema nakutaja nina posts kama 210 naomba ushahidi kuwa kila post nakutaja ktk hizo ngapi nimekutaja? kwani wewe ni nani hapa JF? au kuna classes?
  16. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Senti 50 ana kinga kama ya Mkapa? hakuna tabu fanya utakavyo.
  17. M

    CHADEMA wakataza

    Mie nina posts 208 humu Jambo Forums unasema kila mara nakutajataja naomba niambie katika hizo nimekutaja mara ngapi? Toa ushahidi naomba na wewe kama una bifu na Chinga usituingize wengine,sie wengine hapa JF tunaona ni baraza la kutoa soga tu, wenzetu hapa ni mahala ambapo hamukosekani...
  18. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Asha Umesema kuwa wewe ni Mzanzibar lakini unaonesha kukerwa na CUF na udini wao. swali ni kama wewe ni mtu wahuko na majority ni Cuf,usingeweza kuusema Udini kwa ile wewe ni dini moja na hao Cuf wa Zanzibar. ni sawa na Mbowe alalamikie uchaga ndani ya TLP, jambo lisilowezekana. kwa hili...
  19. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Kitila,Mnyika, Mbowe na Mwanakijiji Tunaomba jibu kwa hii hoja.
  20. M

    CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

    Kama wanaiba na thread yangu wakipewa nchi migodi itapona? Kitila kumbe Moderator walishaulizwa kuwa wako usingizini kwa thread yangu kuibiwa na wana Chadema. Kitila Mkumbo naomba sana unijibu nilikuwa nakuona mtu makini lakini mchango wako wa leo umeniweka katika hali ngumu.
Back
Top Bottom