Search results

  1. The Evil Genius

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Samia hana chochote cha kumzidi Magufuli. Ukiweka uchawa pembeni na ukatumia common sense Samia ni hakuna kitu.
  2. The Evil Genius

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kutoridhishwa na sera za Uchumi za Rais Samia

    Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%. Baada ya matokeo hayo...
  3. The Evil Genius

    IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

    Afrika ni masikini sana. GDP yetu Tanzania ni hela ya bilionea mmoja tu wa Marekani. Mfano Elon Musk alitoa Cash USD Bilioni 44, yaani zaidi ya nusu ya GDP yetu kununua twitter na bado ana utajiti wa kutosha. Yaani mtu atoe nusu ya utajiri wa Tanzania kama vile ananunua pipi na bado hatetereki.
  4. The Evil Genius

    Upendo wa Mama ni muhimu lakini Upendo wa Baba muhimu sana pia

    Mimi kama mwanaume natambua vizuri kabisa wajibu wa watoto kutambua upendo wa baba kwenye familia lakini pia natambua ukweli ulio wazi kwamba hakuna namna ukatenganisha watoto na mama yao ama upendo wa watoto kwa mama yao. Wanaume tutimize tu wajibu wetu kama wanaume hayo mengine tuyaache tu...
  5. The Evil Genius

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Mwanaume huwezi kwenda kwenu likizo ama kusalimia ukaingia nyumba ya mwanamume mwingine mfano kaka yako ama baba yako ambae amejenga huko. Mwanaume lazima uweke alama ya kudumu kwenye ardhi ya kwenu. Unadhani kwa nini wahindi wanaishi hapa Dar na kufia hapa hapa Bongo lakini maendeleo wanafanya...
  6. The Evil Genius

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Mtoto wa kike sio wa kumuwekea dhamana, atakuaibisha. Wewe hope for the best from her ila ukiweka 100% expectation utaishia kupata sifuri. Marehemu hakua na hela yoyote jana ndugu yake mmoja alikua anamponda kwamba hata kwao hakujenga. Mwanaume yoyote unaejielewa ukipata pesa cha kwanza ni...
  7. The Evil Genius

    Arusha: Nabii Mkuu Geordabie Atoa Shilingi Milioni 100 za Ujenzi wa Barabara ya Likamba-Kisongo

    David Kasambala a.k.a His Excellence Geo Davie The Prophet Ngurumo ya Upako.
  8. The Evil Genius

    Msomi wa degree mbili kagongwa na gari hii inawezekanaje ?

    Mada kama hizi mtu akaziandika huku amekalia mashine ni za kua makini nazo sana kabla hujajibu chochote.
  9. The Evil Genius

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Hizo picha za uchi za watu maarufu anazipiga wapi, anawafuata kwao anawapiga ama anawapigaje?
  10. The Evil Genius

    Siasa za Makonda ni kama za Trump wa USA sema tu Watanzania ni Washamba

    Makonda ni Anti Establishment, establishment ndani ya chama hawataki kugusa ndio maana unaona anapata ugumu sana kuendana na establishment.
  11. The Evil Genius

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Mwanaume hua hajitangazi na wala hana sababu ya kusema yeye ni mwanaume. Toka lini mwanaume akasema yeye ni mwanaume, uanaume unaonekana tu by default. Nitakuja leo pia mama nikukaange mtoto mzuri.
  12. The Evil Genius

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Ningekua sina akili nisingekua nakushikisha ukuta kila siku.
  13. The Evil Genius

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Nisingekua na akili nisingekuzalisha watoto 2 mama. Sina akili nakuvua chupi Mrs. Junior?
  14. The Evil Genius

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    Huwezi kutengeneza ukoo wako from nothing. Wewe ni product ya ukoo wenu huko nyuma. There are men who brought you here so you have to respect your ancestry DNA.
  15. The Evil Genius

    Mkuu wa Mkoa Arusha Paul Makonda: Kiongozi Mzima Kujieleza Hujui, Mnapataje Hizi Nafasi TARURA?

    Hii nchi vyeo vinapatikana kwa kujuana sio kwa unachokijua. Bongo ukionekana unajua sana unahamishiwa vijijini. So bongo wanaopewa nafasi ni wasiojua hata kujieleza ila wanaojuana na wakubwa na machawa wa wakubwa.
  16. The Evil Genius

    Kuna ugumu gani wa kuacha unywaji wa Pombe?

    Acha Watu wanywe mkuu
  17. The Evil Genius

    Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

    I am glad hata unaulizia jina la kiafrika. Mpumbavu mwingine angeenda Google kutafta majina ya kizungu ampe mtoto wake. Jina lolote ni zuri hakuna jina la kiafrika wala la kizungu zuri. Mpe jina la ukoo wako achana na kutafta majina ya ukoo wa watu na jamii nyingine. Jina la ukoo wako ndio...
  18. The Evil Genius

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Mimi nilishaapa mafigo yafe yenyewe kwa sababu zake lakini sio kwa mimi mwenyewe kuyaua kwa kuyajaza sumu na mipombe. Hilo hapana.
  19. The Evil Genius

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Si mlimsema humu kwamba gambe ndio imeua figo? Niliona mada humu akituhumiwa kwa ulevi uliokithiri wako na profesa J. Apumzike kwa amani.
Back
Top Bottom