Search results

  1. sinafungu

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    suala la MAHARI si la utashi wa wazazi ni suala la kisheria kama alivyowasilisha mleta mada. hivyo ukiona kuna mambo meengi , angalia je hapo ulipoenda kuoa DINI IKO.........? kama hilo haliko basi lazima utakutana na hayo lkn UISLAMU ni mfumo kamili wa maisha.
  2. sinafungu

    Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    hakuna shart la kisheria ktk kufunga ndoa kwenye UISLAMU linalosema hivyo. UISLAMU NI DINI NYEPEESI KTK KILA JAMBO. KWANI KILA JAMBO LINA MAELEKEZO YAKE HIVYO UKIKUTA UKAKASI KAMA HUO, TAMBUA NI UZUSHI.
  3. sinafungu

    Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    NASIKIA MKOA WA DSM kule Kigamboni serilaki ktk tafiti zake iligundua chanzo kikubwa cha maji baridi kule KIGAMBONI chenye maji mengi yasiyo mithirika. ....lkn cha kushangaza makaratasi yakawekwa kwenye makabati eneo lile wakauziwa WATU BINAFSI NA LEO WAMEJENGA KIWANDA CHA MAJI...
  4. sinafungu

    Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    ASALAAM ALAYKUM, mm sio mwanasayansi ,bali nataka nikurejeshe ktk hiyo AYA. ni tofauti nawewe ulvyoandika. aya inasema KISHA TUKA TUKAIUMBA TONE KUWA DAMU ILIYOGANDA. WEWE UNASEMA UNASEMA MTOTO ANAUMBWA BAADA YA MBEGU KUINGIA KWENYE DAMU ILIYOGANDA......(UNAPOTOSHA HIYO AYA.) kwa...
  5. sinafungu

    Sahihi kuvuta Sigara baada ya kufuturu?

    sigara ni MAKURUHU, unaweza kuvuta baada ya kupata futari, lkn si kabla ya hapo ndani ya mwezi wa RAMADHANI. bali UISLAMU unakataza kutumia kitu chenye kudhuru afya yako, sigara ikiwemo.
  6. sinafungu

    Kanisa Katoliki lazidi kukumbwa na kashfa za unyanyasaji wa watoto

    WARUHUSIWE KUOA HAWA VIUMBE , NI NGUMU KUPINGANA NA MAUMBILE ALIYOKUUMBA NAYO MUNGU , KWA KUDAI ETI DINI IMEKATAZA ....................!!! UISLAMU NI DINI YA HAKI...
  7. sinafungu

    Kadinali wa Ujerumani ashauri mapadri wa Katoliki waruhusiwe kuoa

    tatizo hamsomi kitabu vzr, hakuna mahala MUNGU anazuia mtu kuoa mke halali, ndio maana inakuwa vigumu kuthibiti jambo hili kwani ni maumbile yetu aliyotuumba nayo MUNGU.
  8. sinafungu

    Wajue Wagombea 9 watakaoshiriki Uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania

    hivyo vyama CCM-B vinaonekanaga muda wakuhadaa DUNIA
  9. sinafungu

    Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    hawa wanasiasa muda wote wanafikiria watanzania bado ni wale wale wa 1977 february tarehe 5, na kuna baaadhi yao huenda wana kazi maalum , huyu makala alipokuwa mbeya soko la chimala kila mara likiungua, kaja dsm ni yaleyale ...................!!!!
  10. sinafungu

    Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    KAMA sijasahau BUNGE cchini ya BW NDUGAI lilitunga sheria kwa kada maalum kuongezewa muda wa kufanya kazi hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu kwa lazima , mfano madaktari .
  11. sinafungu

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    muundo mzima wa jeshi hili umepitwa na wakati. LINGEFUMULIWA ILI KULIUNDA UPYA. sehemu kubwa ya jeshi hili si waadilifu, hata yule kijana HAMZA aliyewamiminia risasi polisi , inasemekena pia walimzurumu madini na fedha.
  12. sinafungu

    Nani kamtuma Zitto Kabwe kuomba Mbowe aachiwe huru?

    UKIUNGANISHA NUKTA UTAKUTA KANA KWAMBA LILE SWALI NA JIBU , VILIRATIBIWA MAPEEMA , NA ZZK NDIO MAANA HAAMINIKI KWANI ALIULIZA SWALI SAWA....!! LKN MBONA JIBU TOKA KWA SSH, LILIKUWA LIKO KWENYE MAANDISHI....................?? ALIKUWA ANAMJIBU KWA KUSOMA KARATASI , ULE...
  13. sinafungu

    Huyu Diwani wa Kigamboni aliyemdindia Rais Samia na kugomea hafla ya utiaji saini ni nani?

    kumbe fukuzafukuza ya wafanyabiashara ndogo ndogo mtaani ina baraka yako.................? mlipowakatisha vitambulisho ilikuwa ni hadaaa..................? MAISHA YAMEKUWA SIO MHE RAIS hii ni dhima kubwa , swahaba IMAMU ALI ZAMA ZA UONGOZI WAKE ALIFIKIKA HATA KUMPIKIA...
  14. sinafungu

    Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

    WAZO ZURI , NA HATA INGELIPATAIKANA ILE KATIBA PENDEKEZWA YA MZEE SINDE WARIOBA. ILIKUWA INAUNAFUU KWA KUNDI HILI LA WALA JASHO LA WATANZANIA BILA TIJA KWA SEHEMU KUBWA.
  15. sinafungu

    Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

    dunia inazunguuka, iko siku watatoka na ninyi wenye roho mbaya kwa binaadamu wenzenu pasi na kisa mtabaki mkichukia zaidi. ila ukumbuke hujafa hujaumbika.
  16. sinafungu

    Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    mjibu hoja nakupongeza , hii ni taabu ya kuwa na waandishi wasio waandishi. TAALUMA HII IMEVAMIWA . na biashara ya magazeti imekuwa ngumu kwa sasa kutokana na teknolojia. huyo muandishi uchara anatakiwa kujua KUNA UISLAMU , NA MUISLAMU.
  17. sinafungu

    Askofu Gwajima: Rais Samia Suluhu ni Konki Fire

    uko makili timamu ........? wapi huyo muhuni aliwahi kufufua na nani aliyewahi kumfufua , angeleikuwa na uwezo huo asingeliacha kanisa na kukimbilia siasa.
  18. sinafungu

    Katika hiki kigezo cha Urais CCM hakifai kabisa

    UMEZALIWA MWAKA GANI...................?
Back
Top Bottom