Search results

  1. City Owl

    Nifundisheni kuwa bahili wa kutupwa!

    Ndugu wanajamii, salaam! Naomba mnipe mbinu mbalimbali za kuwa bahili. Kwa kweli nina-struggle sana kubania fedha zangu nazosisaka kwa juhudi kubwa. Najitahidi kujibania mwenyewe, ila tatizo ni watu wangu wa karibu wanaponieleza changamoto zao, huwa nalazimika kusaidia panapo uwezo na nafsi...
  2. City Owl

    Ni kweli BAHATI NJEMA ipo?

    Heshima kwenu wakuu.. Naamini mara kwa mara umewahi kuambiwa maneno kama vile "Nakutakia usiku mwema" 'Nakuombea safari njema' 'Kila la kheri' "Asubuhi njema" n.k. yote kwa lengo la kukutakia Bahati nzuri/hali njema.. Sasa Je, 1.Hizi wishes huwa na impact yoyote kwenye maisha ya kawaida? Mf...
  3. City Owl

    Wateja wa Ras Simba; yule mwalimu wa English language

    [emoji2] [emoji23] [emoji23] .. Nisaidieni kumpatia Rasi Wateja wengine humu humu JF.
  4. City Owl

    The stolen gender identity: Story of David Reimer

    David Reimer, the Canadian man raised as a girl for most of the first 14 years of his life in a highly touted medical experiment that seemed to resolve the debate over the cultural and biological determinants of gender, has died at 38. He committed suicide May 4 in his hometown of Winnipeg...
  5. City Owl

    20,000 ya TCU

    Ndugu wanaJF, Kama kuna mtu wa TCU humu au anayejua naomba anieleze sababu za msingi zilizosababisha TCU kuamua kututwisha wanafunzi wa vyuo vikuu mzigo wa kuwalipa 20,000/=. Mikopo yenyewe hakuna, hali ya maisha ngumu hata ada zinasumbua kwa continuous students halafu bado mnatuongeza mizigo...
  6. City Owl

    Logic rahisi Itakayoamua kura yangu iende wapi Oct 25.

    Ukitakiwa uchague moja kati ya makundi mawili ya mbwa kumi kumi wa kukusaidia kuwinda, kundi moja likiwa na mbwa tisa vichaa na wadokozi na mmoja mwenye ahueni kidogo halafu kundi la pili lina Mbwa tisa wazima kabisa na mmoja aliyewahi kuwa kichaa na mdokozi, Je utachagua lipi..? Magufuli ni...
  7. City Owl

    Onyo kwa wasanii wanaofuatana na wanasiasa

    Hivi karibuni kumezuka wimbi la wasanii wanaofuatana na wanasiasa kwenye michakato yao ya kutangaza nia. Wao wanadai eti ndio Kazi yao. hawaoni kwamba wanatumiwa kuleta watu walishwe uongo wa mafisadi. Ninyi wasanii nani kawaroga?? Naomba mjue kwamba mnazorotesha jitihada za sisi mashabiki...
Back
Top Bottom