Search results

  1. K

    Nani anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani? andika jina hapa chini bila chuki...

    Lawrence Masha. Mheshimiwa Rais amchague kuwa mbunge wa kuteuliwa then amrudishe kwenye baraza lake la mawaziri kama waziri wa mambo ya ndani.
  2. K

    Ramadhani & Zarina Madabida na ARVs FEKI (Miradi ya CCM...?)

    Hawa jamaa wa MSD wanatumiwa kama scape goats tu..as usual..funika kombe mwana haramu apite. Hichi kiwanda kinatakiwa kifungwe kabisa..sio kisimashe kutengeneza hizo dawa feki. Pili,isn't a BIG conflict of interest kwasababu inasemekana Mama Madabida ni board member wa MSD. Hiyo haijakaa vizuri...
  3. K

    Mzee Warioba aanguka ghafla Serena Hotel; yadaiwa ni uchovu; ni mzima

    Mzee Warioba hanywi pombe..his drink/s of choice ni Coke au chai.
  4. K

    Picha wabunge wa CCM wachagua wagombea ubunge wa Afrika Mashariki leo

    Inasemekana Katibu mwenezi 'alijaribu' kuchakachua matokeo ili kumpitisha mmoja wa wagombea kwa maslahi yake binafsi. Wagombea wengine walibaini njama hizo wakaomba kura zihesabiwe tena..ziliporudiwa ndipo zilipogundulika njama hizo. Hizi ni habari za ukweli? Mwenye datazz amwage tafadhali..
  5. K

    In a Land Not Named: A Clowns' Paradise

    Classic! Everything mentioned is true and the sad thing is the clowns have been doing it for so long and they performance have gotten worse with time, now they don't even put any effort in their mockery hence an abysmal performance!
  6. K

    Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

    Habari za kufutwa matokeo ya Kawe si kweli..Kippi Warioba ameshinda.
  7. K

    Kikwete to USA (May 2009)

    Press release ya White House on JK's visit.. THE WHITE HOUSE Office of the Press Secretary ____________________________________________________________ FOR IMMEDIATE RELEASE May 19, 2009 Statement by the Press Secretary on the visit of Tanzanian...
  8. K

    Mengi VS Warioba

    Mkuu.....kwa kawaida huwa nakuaminia sana.....ila kwenye hili...umekosea kabisa! Jaji hajawahi kumtishia balozi yeyote kumlipia mwanaye...rent wala gharama nyingine yeyote... Nafikiri hii ni mojawapo ya zile story za kijiweni..... Ukimjua vizuri hayuko hivyo unavyomdhania kabisa...... Ahsante.
  9. K

    EPA na mambo yake

    Sidhani kama wamekubishia hilo.....wanachosema ni kuwa sio huyo kwenye picha kama wewe ulivyoainisha!
  10. K

    EPA na mambo yake

    Baadhi ya picha za watuhumiwa wakiwa mahakamani ziko.... Hizi hapa: Kutoka kushoto Lavendra Vinod Bhai, Amith Nandi na Jant Kumar wakiwa mahakama ya kisutu mchana huu. Wanatuhumiwa kuchota bilioni 10 kila mmoja. ..hawa nao wamo, kushoto ni Bw. Johnson Mutachukurwa Rwekaza anayedaiwa kuchota...
  11. K

    Caught on Tape: Mkakati wa Mamluki wafichuliwa!

    Hizo nyumba zinazoongelewa hazikuwa ni nyumba za serikali....as in GTZ...ninavyoelewa zilikuwa ni nyumba za mashirika ya umma na wakati anazinunua zilikuwa zinauzwa through public auction na kutolewa zabuni....(baada ya mtindo huo kulalamikiwa) ndiyo ukabadilishwa na sasa wafanyakazi na waliomo...
  12. K

    Makamba afiwa na mtoto

    Pole kwa familia nzima ya Makamba, Mungu awape faraja na kuwatia nguvu katika hiki kipindi kigumu. Pia, Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.
  13. K

    Ziara ya Rais Kikwete Mkoani Tabora

    Mkuu hiyo ziara haijaisha.....kwa mujibu wa ratiba ya ziara yake....anaelekea Sauzi kesho kuhutubia bunge la huko halafu atarudi Tabora kumalizia ziara. HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Kikwete aanza ziara Tabora
  14. K

    Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

    Mwenyezi Mungu amuweke Ndali mahali pema peponi, pia awape nguvu na faraja familia nzima ya Nzaro katika hichi kipindi kigumu....
  15. K

    Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

    Kazi kweli kweli! Kulikuwa na ulazima wa yote haya especially katika wakati huu?? Haya...!!
  16. K

    Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

    Pole kwa Bw. Ndalima na vile vile pole kwa familia nzima ya Nzaro. Sala zetu ziko na nyinyi katika hichi kipindi kigumu cha kuuguliwa.
  17. K

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Msekwa alikuwa CMG na Makamba alifikia nyumbani kwa CMG mwenyewe......labda wameona ngoma imekuwa nzito....na nyumbani hakukaliki. Chadema wanaongoza na matokeo yanakaribia kutangazwa.....watu wa Tarime kamwe hawawezi kukubali kushurutishwa kuchagua viongozi wao....
  18. K

    Perhaps we need such a law in TZ

    Chinese corruption law targets lovers and families of officials Children, spouses and lovers could be jailed for more than seven years as scams reach new levels of sophistication Chinese authorities could put the lovers, spouses and children of corrupt officials on trial under new rules, a...
  19. K

    Kikwete aahirisha ziara ya Mbeya

    Yes! Si kichaka alisema mwenyewe (kuwa anamualika kwenye state visit) walivyokutana Japan.....
  20. K

    Kikwete aahirisha ziara ya Mbeya

    Alivyopata mualiko wa kwenda US on a state visit, inaelekea ilibidi wabadili hiyo mipango mingine maana nafikiri atakuwa huko kwa juma zima la wiki ijayo!
Back
Top Bottom