Search results

  1. Bangila

    Changamoto ya kujifunza UDSM

    Bado safari ndefu unayo. Ukimaliza hapo ukibahatika kupata kazi unapangiwa kwenye halmashauri, huko unakutana na kichefu zaidi
  2. Bangila

    Matokeo ya hii shule ni ya ajabu zaidi kuwahi kuyaona ni private school

    Dr Michael Kadeghe yupo wapi siku hizi?
  3. Bangila

    Kuna ubaya wowote kulala hotelini au lodge badala ya kulala msibani pasipo na malazi ya kutosha?

    Hakuna ubaya mkuu. Nenda kalale penye usalama asubuhi unarudi msibani
  4. Bangila

    Pongezi za nini ilhali ni haki ya kikatiba?

    Inabidi tu apongezwe kwani miaka ile ya mwendazake hakukuwa na ruhusa hiyo.
  5. Bangila

    TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

    Bunda huku hawa TANESCO kila siku ni maumivu alafu bado kuna watu wanachekewa! Umeme huku ni mgao na mvua zipo nyingi
  6. Bangila

    Rais Samia ampigia simu Makonda amtaka achape kazi

    Aanze na TANESCO hii taasisi ni hovyo kabisa. Huku wilaya ya Bunda wanakata kata umeme. Wanaacha nusu saa wanakata tena zaidi ya mara kumi kwa siku. Mchezo ndio huo huo kutwa na usiku mzima. Bora waseme kuna mgao kuliko kuunguza vifaa vyetu
  7. Bangila

    TANESCO imetosha, tukutane mahakamani

    Wameshaunguza dikoda yangu tayari. Kwa siku wanakata na kurudisha zaidi ya mara kumi huku wilaya ya Bunda. TANESCO shida ipo wapi? Serikali ichukue hatua dhidi ya haya maumivu tunayopata. Hasara imekuwa nyingi
  8. Bangila

    Salamu za Netanyahu: Hii Vita itachukua miezi ni ngumu na ndefu, haiishi hadi Hamas ifutike na Mateka waokolewe Dunia ituelewe!

    Mwenyezi Mungu awape amani na suluhisho la kudumu wote Israeli na Wapalestina.....amin
  9. Bangila

    Mbege ifanywe pombe ya Taifa tu hakuna namna

    Konyagi wao wamechukua ideas ya pombe za Kizaramo (Gongo) wakazalisha hii. Ni vyema makampuni mengine yakaiga. Sikosei zile pombe za Banana ndio idea ya mbege
  10. Bangila

    Hivi ni kwaninni kuwasiliana na michepuko ni kutamu zaidi na kunanoga?

    Weka hizo mbuzi ndani uone balsa lake!
  11. Bangila

    NAHITAJI IST 1290 cc

  12. Bangila

    NAHITAJI IST 1290 cc

    Nataka ya anayomiliki mtu sio ya show room au kuagiza nje
  13. Bangila

    Ku pollute kila wakati ni dalili ya ugonjwa gani?

    Inawezekana ukawa na lactose intolerant...epuka kunywa maziwa au mazao ya maziwa
Back
Top Bottom