heshima kwenu wandugu.
nini chanzo cha fungus katikati ya mapaja (mpakani mwa tool na paja)
je fungus hizi zina uhusiano na magonjwa ya zinaa.
nini tiba yake dawa na tabia(kama kuna vitu vya kufanya ili kuepuka)
nategemea msaada wenu
huyu mume wa josephine akae apumzike mke wako adi aondoke kwako akaishi na mume mwingine we ni bogus.na hawa ni wakristo sasa alivyo ona anatoka na mh ndo anamdai.je angesikia ameolewa manzese na mbeba mizigo angeshitaki? au angetoa talaka haraka.mke si mali kama shamba kufungua madai kwakua...
tatizo watangazaji wanaogopa kuuliza maswali ya maana wanatafuta yasiyo muudhi mh.alafu unakuta mwandishi hajui kama wasira alisha enda upinzani.tatizo wakisha feli shule ndo wanaenda uandishini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.