Search results

  1. E

    Nunua kifaa hiki kuongeza uwezo wako wa kusikia ( Behind the ear hearing aid)

    nitafute kupia no 0767869939 ili niweze kupa hicho kifaa icje ikawa siasa hp
  2. E

    Nunua kifaa hiki kuongeza uwezo wako wa kusikia ( Behind the ear hearing aid)

    weka picture na ueleze kinapatikanaje ama toa no zako za cm, fanya jambo kisomi km umeamua kuelimisha na kutoa msaafa kwa wale tunaoitaji tutakipataje hicho kifaa
  3. E

    Mchumba kakataliwa kisa shepu

    niikuulize swali km wewe unataka kuoa dada zako wanakushauli uachane na huyo mchumba wako, swali langu kwako ni hili cku dada yako akija na mchumba wake unadiliki kumwambia dada yako kuwa ujampenda bwanake? atimaye atafute mwingine acha ujinga wewe ni mtoto wa kiume na anayeoa ni wewe na c dada...
  4. E

    Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

    elezeza sababu za kukuchulia tofauti
  5. E

    Tanzania: Tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa sana, lisifanyiwe masihara!

    tatizo hili ni kubwa sana linaitaji utalaam wa kitabibu zaidi
  6. E

    Natafuta kiwanja mwanza

    uko wapi kaka
  7. E

    Natafuta marafiki wa kiume

    mbona haujatoa no yako
  8. E

    Dada zetu, hii maana yake nini?

    mbona hatuoni kitu
  9. E

    nahitaji marafiki

    marafiki wa namna gani?
  10. E

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    michilizi ni hali ya kawaida ya mwanadamu haina dawa hiyo
  11. E

    Natafuta kazi

    njoo kahamaa mining ukubari kuishi mbali na familia yako km kweli uko sriou
  12. E

    Mbunge Jimbo la Bahi afikishwa kwa Katibu wa Bunge

    nyie ccm hamtaki mtu asemwe mabaya yake wote karibia ni mazuzu kwhiyo kp walichomsingizia na juu ya ubunge sawa hatushangai kwakuwa hamna kawaida ya kuwaadhibu watu kama hawa ktk chama chenu na nyie ndie mnaorudisha nyuma tanzania yetu
  13. E

    Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

    sasa kama kurugenzi ya habari bado hawajatoa wewe nini kilichokuwasha au ndio uzuzu!
  14. E

    Aibu ya Mwaka kuwakuta chadema chalinze

    hujuwi ulitendalo muuombe mungu akupe ufaham wa kujua na kutambua ya maana sawa zuzu
Back
Top Bottom