Search results

  1. U

    Wakubwa Kitoabu na mbwichichi

    Wakubwa zangu nawaomba sana mfanye mje na simulizi nyingine za kusisimua. Hili jukwaa halinogi bila michango yenu viongozi. Jukwaa limepoa mno!
  2. U

    Afrika kusini kunani kwenye soka?

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Hii nchi mara baada ya kwisha ubaguzi wa rangi ilikuwa moto kwenye soka. Ilishiriki fainali za mataifa ya Africa na kombe la Dunia. Ilikuwa na wachezaji nguli kama Siyabonga Nonvete, Mark Fish, Quintone Fortune na baba lao Lucas Radebe. Lakini siku hizi...
  3. U

    Bei ya mbaazi

    Wakuu mwenye taarifa za bei na mwenendo wa soko la mbaazi msimu huu naomba azimwage hapa.
  4. U

    Kesi ya uamsho vipi?

    Jamani kama kuna mtu mwenye update kuhusu hii kitu naomba taarifa!
Back
Top Bottom