Search results

  1. U

    TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    Jitahidi kuacha nafasi kati ya neno moja na jengine ili kurahisisha usomaji wa mabandiko yako, Asante!
  2. U

    Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Hilo mbona liko wazi, ni kama kusema sangara akitolewa majini hawezi kuishi
  3. U

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Hii taarifa inanikumbusha kiki za mzee wetu Hashim Rungwe Spunda!
  4. U

    Kumekuwa na wimbi la wauza maziwa mitaani na barabarani, Je maziwa hayo ni salama?

    Usinunue hayo maziwa kama mchuuzi hana leseni kutoka mamlaka husika, hususan Bodi ya maziwa!
  5. U

    Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Hivi huyu mwamba min -me ye ni kulike tu mwanzo mwisho
  6. U

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Shida na kwa upande wa watoa huduma ipo, wanaweza kukupa dawa ya India lakini mfuko wa NHIF ukadaiwa bei ya dawa ya ujerumani. Mungu tuokoe waja wako kwani mboga na ugali vyote vya moto!
  7. U

    Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

    Ukae siku zote hizo bila kula alafu uachiwe na kuweza kutenbea?
  8. U

    Kumewahi kuwepo au kuna vyoo vya shule za sekondari ukiingia lazima uvue nguo nje

    M Miaka hiyo tulikuwa tunaviita Beto, yaani vilikuwa siyo poa kabisa! RIP Bob White!
  9. U

    Bei ya kitunguu ikoje mtaani kwako?

    Mvua zimezidi kiongozi
  10. U

    Mganga aliyedaiwa kuwalewesha na kisha kuwaibia watu 16 akamatwa

    Kiongozi ungetaja majina angalau mawili kuepusha mkanganyiko usio wa lazima!
  11. U

    Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

    Sie mayahudi wa matombo maeneo ya msalabani haturuhusiwi kutia neno?
  12. U

    Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Ha Hapana chezea PhD wewe. Ulitegemea mtu wa shahada ya uzamivu acheue pumba?
  13. U

    Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

    Mambo gani tena? Mswalie Mtume.
  14. U

    Msafara wa Makonda wapata ajali

    Wahenga wanaweza sema marehemu hajapendezwa na ujio wa hao waliopota ajali kwenye shughuli yake ya mwisho. Hiyo ni kihenga zaidi.
  15. U

    Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Stori za aina hii enzi zile za 2007 hazikuwepo. Kila enzi na kitabu chake. Wakati ule waliokuwa na uwezo wa kuingia mtandaoni walikuwa watu makini kidogo.
  16. U

    Njia gani nitumie kumtisha jirani yangu?

    Fanya juu chini umvue ubingwa, hatakuogopa tu bali atakuabudu pia
  17. U

    Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

    Kiongozi naona umerudi ulingoni baada ya hili tukio, uliadimika sana!
  18. U

    HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

    Hivi ndugu yetu 254 ameiona hii habari?
Back
Top Bottom