Search results

  1. nuruyamnyonge

    Rais wa Tanzania anaweza kutoka Zanzibar, au Tanzania bara. Kwa nini Rais wa Zanzibar hawezi kutoka Tanzania bara?

    Amani kwenu wanaukumbi, Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu muungano wetu nakosa majibu, nimetafakari nikaona ni vema nilete swali langu hapa jukwaani ili nipate kuongezewa maarifa zaidi. Napenda kujifunza mambo mbalimbali bila kuchoka Kwa faida yangu na vizazi vijavyo, Leo nimerejea...
  2. nuruyamnyonge

    Mbao ya mkongolosi na mtunduru ipi bora zaidi kwa milango?

    Amani iwe kwenu wanazengo. Naendelea kukamilisha ujenzi niko hatua ya mwisho ya kuweka milango, kila nikizunguka nakutana na mbao Kwa macho ni nzuri lakini hazina majina kama Mkongo, mninga nk. Kwa yeyote mwenye ufahamu mzuri wa ubao mkongolosi na mtunduru naomba atupe faidi upi ni mzuri na Kwa...
  3. nuruyamnyonge

    Kangi Lugola aburuzwa mahakamani leo, kesi yaahirishwa tena hadi 29/06/2017

    Amani iwe kwenu! Awali ya yote nami nitumie muda huu, kumpongeza Rais wetu Dr. JPM na tume yake ya mchanga wa madini kwa kazi nzuri waliyoifanya kwa taifa letu. Sasa niende kwenye mada; Leo tar.26.05.2017 katika mahakama ya ardhi mjini Musoma "The district land and housing Tribunal Musoma "...
  4. nuruyamnyonge

    Kangi Lugola aikimbia Mahakama ya Musoma

    Amani iwe kwenu! Yule mbunge machachari wa jimbo la mwibara mzee wa kininja,mh.spika;" niruhusu nivae kininja" ili niwatumbue mafisadi wa escrow vizuri bila kuwaonea aibu, naye amejikuta kwenye tuhuma nzito za kutumbuliwa majipu. Mh.Kangi Lugola amekumbwa na kashifa kubwa majuzi tu, kashifa ya...
  5. nuruyamnyonge

    Kangi Lugola kuburuzwa mahakamani

    Amani iwe kwenu. Mbunge wa jimbo la Mwibara; mh. Kangi Lugola, anatakiwa kufika mahakama ya ardhi mjini musoma kujibu tuhuma zinazomkabili. The district land and housing tribunal Musoma. Mh.Mbunge anakabiliwa na tuhuma za kupora ardhi kinyume cha sheria akitumia rushwa kuwahonga viongozi wa...
  6. nuruyamnyonge

    Jiji la Dar es Salaam lasimama, foleni kila sehemu!

    Amani iwe kwenu! Alichokisema kiongozi wa kambi rasmi bungeni F.Mbowe leo kimetokea jijini DSM Ubungo mpaka mbezi. Mbowe alimwambie Magufuli usipoboresha barabara za DSM kwa kujenga njia za michepuko October jiji la DSM linakwenda kusimama. Ndugu zangu tuweke siasa pembeni Magufuli...
  7. nuruyamnyonge

    Tume na jeshi la polisi, wekeni majina elfu 52 kweupe

    Amani idumu kwanza, Ndugu zangu wote nchi nzima, tume imesema zaidi ya watu elfu 52 wamejiandikisha zaidi ya mara moja kwenye BVR. Hii ni hatari sana kama watu hao walifanya hivyo kwa maksudi au ni ushamba wa kutumia BVR ? Zaidi ya watu 52,700 ni wengi sana, je? Ni kweli wamejiandikisha mara...
  8. nuruyamnyonge

    Upendo Peneza Live on Star tv

    Amani iwe kwenu makamanda; Nimepata nguvu mpya nikiwa naomboleza Dr slaa kuachana na siasa ndani ya Chadema. Nimepata upako kumuona Kamanda UPENDO ndani ya tuongee star tv, njooni tumsikilize anasema nini kwa hali ya sasa ndani ya Chadema. Karibuni;
  9. nuruyamnyonge

    Watia nia, Udiwani Kata ya Kibara kuchangia pesa kampeni zao

    Amani iwe kwenu wanaukumbi. Hali ni mbaya ndani ya CCM kifedha baada ya Madiwani 3 wanaoomba ridhaa ya udiwani kata ya Kibara kuwasilisha fomu zao. Mtonyaji wangu ameniambia kuwa, baada ya kukamilisha zoezi la uchukuaji fomu kwa malipo ya sh.50,000/= na kurejesha leo fomu hizo, wamekutana na...
  10. nuruyamnyonge

    Kangi Lugola kumuunga Lowassa; Lowassa ni Serikali 3?

    Heshima kwenu jf; Leo tumeshudia mbwembwe nyingi sana wakati Mzee Lowasa akitangaza nia rasmi ya kuwania nafasi ya urais ndani ya ccm. Mbunge wa mwibara kangi lugola anachukia mafisadi na kuunga mkono katiba ya wananchi yenye serikali 3, je? Lowasa yuko serikali tatu? Sijawahi kumsikia Lowasa...
  11. nuruyamnyonge

    Dr. Slaa amtembelea Gwajima TMJ hospital

    Asalaam aleykum ! Dr slaa ameonesha upendo wa hali ya juu sana alipomtembelea mtumishi wa bwana askofu Gwajima, hali ilikuwa shwari utulivu wa hali ya juu na ulinzi ukiwa umeimarishwa mara dufu. Nimejaribu kudadisi afya ya Gwajima inaonekana inaendelea vema na baadae tutajulishwa zaidi akipata...
  12. nuruyamnyonge

    Dr. George Kahangwa Sera ya elimu naipa "C"

    Mhadhiri wa chuo kikuu cha DSM Dr .George Kahangwa, ameipa daraja la "C" sera mpya ya elimu nakushauri muda bado upo ikaboreshwe upya. Dr Kahangwa ameyasema hayo katika kipindi cha kipima joto ITV kuanzia saa 21:00-23:00 leo tarehe 20.02.2015 Unakaribishwa kuchangia na kutoa mapendekezo mapya.
  13. nuruyamnyonge

    CHADEMA kidedea kisiwa cha Ukara Ukerewe

    Kheri ya mwaka mpya 2015! Dalili za ccm kukabidhi dola kwa ukawa ziko wazi. Kutoka ukerewe mkoani mwanza, nimekuwa na furaha ya ajabu, baada ya kusikia Chadema na Cuf wameitesa ccm katika kisiwa cha UKARA UKEREWE kwenye uchaguzi wa serikali mitaa. Akizungumza na wanachi wa kisiwa hicho naibu...
  14. nuruyamnyonge

    Prof. Magembe unahongwa na huyu Nyoka wa Kimara michungwani!

    Kheri ya krisimasi na mwaka mpya 2015. Nimesikitika sana kuona Waziri wa maji, anakaa kimya bila kufanya operation hata moja siku maji yanapotoka; ili kuona kama kweli wananchi wanapata hata hayo maji ya mgao. Nimefanya tafiti eneo la michungwani kuna bomba la maji kila siku linavuja maji...
  15. nuruyamnyonge

    Mtoto wa Mkulima amuumiza Lowassa

    Asalaam aleykum! Nianze kwa kuwapa hongera wabunge kwa kazi kubwa mlioifanya juu ya wezi wa pesa za umma kwenye account ya Escrow. Kwa maridhiano yenu leo; mmeliweka Taifa kwenye hadhi yake na watanzania tumewaamini, hasa wabunge wa ukawa na ukawa ccm. Mzee Pinda sasa Zingatia ushauri wa...
  16. nuruyamnyonge

    Deus Kibamba rai yako imezingatiwa

    Asalaam aleykum wana nzengo! Niliwahi kumsikia mwenyekiti wa jukwaa la katiba Deus Kibamba akisisitiza kuwa joto la uchaguzi limepanda hivyo mchakato wa katiba usimamishwe kupisha uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Alikwenda mbali zaidi akasema, mchakato huu umeporwa na wanasiasa...
  17. nuruyamnyonge

    Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

    Salaam kwa wote! Naam! Kuna kipindi nilisikia watumishi wa umma hasa walimu wakiagiza gari wanapewa punguzo la kodi, kama kuna mwenye taarifa za uhakika naomba anisaidie ni hatua gani zinatakiwa kufuatwa ili kukamilisha mchakato mzima.
  18. nuruyamnyonge

    NHIF watelekeza wagonjwa wa Dengue

    Salaam kwa wote! Nianze kwa kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kwa kuondokewa na wapendwa wao! waliopoteza maisha kutokana na homa ya Dengi (Dengue Fiver) hasa kwa jiji la Dar es salaam. Nimepata mshituko mkubwa baada ya kupokea taarifa za kifo cha Dr.Buberwa bingwa wa magonjwa ya akili...
  19. nuruyamnyonge

    Dr. Ray Simon Mpina (surgeon) afariki dunia

    Habari za leo ndugu jamaa na marafiki wa jf na poleni kwa huu msiba mkubwa. Nimesikia taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Dr.Ray kafariki dunia akiwa jijini Dar.mwenye kufahamu vizuri kifo chake kimetokea vipi na maeneo gani hapa Dar utujuze maana tumepokea msiba kwa mshituko mkubwa kila...
  20. nuruyamnyonge

    Hongera Job Ndugai

    Leo asubuhi katika kipindi cha nipashe radio one nimemsikia naibu spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania na mjumbe wa bunge la katiba mh.Job Ndugai akisema, hatuwezi kupata katiba mpya kwa misimamo mikali ya kwa pande zote mbili. Job amekwenda mbali saidi na kusema wajumbe wengi wa...
Back
Top Bottom