Search results

  1. Kerosine Bal

    Msaada: Nina kwikwi kwa wiki mbili sasa, naomba kufahamu dawa yake

    Habari, kwikwi inanisumbua siku ya pili sasa. Nimekunywa maji mengi, sukari nimeramba lakini bado tuu. Naombeni msaada
  2. Kerosine Bal

    Je, JamiiForums imekusaidia nini kutatua changamoto zako au kupata maarifa zaidi/kujifunza?

    Kama uzi unavyojieleza Nianze na mimi binafsi nilijiunga JF miaka kadhaa nyuma kwa mkumbo wa washkaji. Niliendelea kujifunza kwa kuuliza maswali hasa changamoto zilizonikabili; 1. TANESCO Changamoto yangu ya kwanza ilikuwa kuweka umeme nyumbani kwangu. Kama mjuavyo enzi zile umeme unakaa miezi...
  3. Kerosine Bal

    Payoneer Verification Document

    Wanajamvi nawasalimu .... Katika pitapita zangu za utafutaji nitokea hapa kwa hawa jamaa PAYONEER wallet. Nimefungua akaunt vizuri ishu ikaanza kwenye kuverify document kati ya hizi utility bill bank document Nimejaribu kuattach bank statement ya nmb ikagoma zaidi ya mara 5 na sasa equity bank...
  4. Kerosine Bal

    Kanoute PUTIN mechi tatu bila kadi

    Wakurungwa wapenda soka namleta kwenu mwamba, chinja chinja Sadio Kanoute a.k.a PUTIN. Jina la Putin alipewa kutokana na soka lake la roho mbaya, hacheki wala kutabasamu hizi ni tabia za mwenye jina rais wa Russia Vladimir Putin. Tangu ajiunge na Mnyama alikuwa mchezaji wa kadi, karibu kila...
  5. Kerosine Bal

    Mold/flemu za kutengenezea mikanda ya gypsum

    Habari wakuu, nahitaji flemu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba akomenti nitamfuata inbox. Asanteni sana.
  6. Kerosine Bal

    Nahitaji Mold/ fremu za kutengeneza mikanda ya gypsum

    Habari wakuu, nahitaji fremu za kutengeneza mikanda ya gypsum. Anayefahamu inapatikana wapi na ikiwezekana na bei yake akoment nitamfuata inbox tuyajenge. Pia, anayetengeneza hii mikanda naomba akomenti nitamfuata inbox. Asanteni sana.
  7. Kerosine Bal

    Viungo Mzamiru na Kanoute

    Hongereni Simba kwa kusonga mbele group stage. Leo mechi niliiangalia kwa hawa viungo wa kati wa simba Mzamiru Yasin na Kanoute a.k.a Putin. Kwanza majina yao ya utani yanaakisi wanachokifanya uwanjani (Kiungo Punda, punda kweli kweli na Vladimir Putin roho ya paka ukizubaa anakutoa roho)...
  8. Kerosine Bal

    Mapromota wa ndondi wananufaikaje

    Itifaki imezingatiwa, wazee naomba kuuliza hivi mapromota wa ndondi/ngumi kama MOBOXING wananufaikaje na kuandaa mapambano? Asanteni
  9. Kerosine Bal

    Uwanja wa Azam Complex ukubwa wake ni sawa na Uwanja wa Ben Mkapa?

    Wakurungwa salamaaa, naomba kujua ukubwa wa Uwanja wa Azam Complex (sehemu ya kucheze - Pitch) ni sawa na Uwanja wa Mkapa?
  10. Kerosine Bal

    Namba ya kubadili password kwenye modem/router ya smile

    Tafadhali naomba kwenye kujua namna ya kubadili password katika modem/router ya smile. Asanteni
  11. Kerosine Bal

    Jinsi ya ku-lock channel katika king'amuzi cha Azam

    Waungwana, mada hapo juu yajieleza. Naomba msaada namna ya kulock baadhi ya chaneli katika king'amuzi cha Azam. Asanteni
  12. Kerosine Bal

    TALA ni salama kwa afya ya mifuko yetu

    Waungwana hongereni kwa uhai hadi muda huu...... mara kwa mara napata notification ya app ya TALA. Wanahusika na kutoa mikopo. Ila ukitaka kujiunga unaweka namba yako ya simu sasa wananitisha kupekuwa simu yangu na wanasema..."Tla haitakupigia simu wala kutumaia SMS watu wa kwenye phonebook...
  13. Kerosine Bal

    Makampuni ya kubashiri/betting

    Waungwana Kristu/Asalyaleykum.... Waungwana mi ni mgeni kiasi katika biashara hii ya kubeti. Naombeni mnijuze kampuni gani zuri kwa ajili ya kubet ni lini? Kati ya MBET, SPORTPESA, MERIDIAN na mengineyo.
  14. Kerosine Bal

    Tukumbushane pea ya wachezaji watukutu wakikutana ilikiwa ni vita haswa

    Kwa haraka haraka tuu hapa lazima uanze na Roy Keane na Patrick Viera couple nyingine ndo zifuate..... Tukumbushane pea nyingine .....
  15. Kerosine Bal

    Huyu ni nani?

    We KAMBAYA huyu jamaa anayeonekana kwe video clip anaingia kwe mkutano wa CUF na kuanza kupiga watu si ndo huyu aliyesagwa na raia wema? Na ni mfuasi wa pro. Sasa unatuambiaje eti waliovamia ni vijana wa CHADEMA? Nimechukua siku kadhaa kujiridhisha kabla sijakurupuka kuwalaumu CHADEMA. Kumbe...
  16. Kerosine Bal

    Marekani lazima akae, vita hakuna tena

    Sasa vita hakuna tena; baada ya Putin kuonesha wazi yupo upande wa Mapanki lazima Trump arudishe jeshi lake.... WATCH: Russia claims it can WIPE OUT US Navy with ‘ELECTRONIC bomb’ amid WW3 fears express.co.uk Apr 19, 2017 4:24 AM RUSSIA has claimed it can disable the entire US Navy using the...
  17. Kerosine Bal

    Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

    Taarifa ya habari itv naikubali sana kwa sababu wanajitahidi kutupatia taarifa kila kona ya nchi na kwa ufafanuzi mzuri kuliko vituo vingine hapa nchini. Ila kuna ripota, sam mahela ananiboa sana anaporipoti... Mfano leo alikuwa anaripoti bomoa bomoa ya KIVULE MAGOLE kwa mbwembwe ni kama...
  18. Kerosine Bal

    TANESCO Dodoma badilikeni

    Ingawa tulijisikia ahuweni kutokana na kasi ya awamu hii ya 5 lakini mambo bado magumu hapa Dodoma hasa kwa wanaohitaji huduma ya kuunganishiwa umeme ikiwemo mimi. Kwa kifupi tuu nina mwezi wa pili sasa nafatilia kuunganishiwa umeme hata kufanyiwa saveyi tu bado. Nilipo nahitaji nguzo 2 tuu...
  19. Kerosine Bal

    Kuagiza gari Vs kununua yadi hapa bongo

    Naomba kwa wenye uzoefu wa kununua magari, kununua kwa kuagiza nje/japan na kununua hapa bongo yadi ipi nafuu?
  20. Kerosine Bal

    Naomba: Tofauti kati ya mhasibu na mgavi

    Tafadhalini kwa wanaojua hivi vitu, uhasibu na ugavi naomba tofauti zake.
Back
Top Bottom