Search results

  1. NANDERA

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Ikishakuwa ni busara basi ni busara. Unatumia vigezo vyako unaamua. Mfano, huyu alichoiba anacho, nikimfunga atakoma yeye na familia yake na hela alizoiba hazitarudi ila nikimnyang'anya alichoiba nitakuwa nimefaidika na yeye atajibeba; huyu alichoniibia kaishakula, namfukuza ili asiendelee...
  2. NANDERA

    Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

    Watoto kuponzwa hakuondoi ukweli kuwa matokeo husika ni batili, kwa hiyo haiwezekani kuwaachia tu. Waumie lakini tabia hii ife. Kama kuna mwalimu anaona mazingira ya kazi ni magumu hawezi kufundisha mtoto akafaulu, aiachie serikali shule zake badala ya kutufugia wezi. Hakuna shinikizo...
  3. NANDERA

    Ni madhara yapi unayoweza kuyapata ukimrudia msichana uliyeachana naye?

    Maadam huna malengo naye wala nawe vyovyote utakavyofanya ni sawa.
  4. NANDERA

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    jiwekuu770, Una 'anxiety disorder'. Google kwa taarifa zaidi au nenda hospitali kitengo cha magonjwa ya akili. Magonjwa ya akili ni ya kawaida kama yalivyo ya moyo, hivyo usiogope kwenda.
  5. NANDERA

    Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

    Ni swala la kujipa moyo tu. Ni kawaida kuhisi kama ungekuwa na kitu fulani maisha yangekamilika wakati si kweli. Hao wenye watoto nao wana mitihani yao. Wakati mwingine na mara nyingi watu wasio na vitu fulani huwa wanajinyanyapaa wenyewe na kutafsiri kuwa kila kitu kuwa wanasemwa wao. Mnaweza...
  6. NANDERA

    Heko waraka wa Elimu

    Nikiwa na imani kuwa waraka huu wa elimu 2020 ni wa kweli, ninapenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa serikali kwa kuonesha nia ya dhati ya kujali ustawi wa watoto wake. Unyanyasaji wa watoto hasa kwa shule za binafsi umekithiri sana. Watoto hasa wanaoitwa wa madaraasa ya mitihani wamekuwa...
  7. NANDERA

    Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kwa mujibu wa mama wa bibi yangu, wakazi wa asili wa misitu ya Mlima Kilimanjaro - wakoningwa (waliopondwa) waliuawa na wahamiaji na waliobaki walitoweka kiasili na si kwamba walikimbilia misitu ya Congo.
  8. NANDERA

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Kwa hiyo single mother hapo ni wewe au huyo shoga yako au ex wake au mume wake au watoto? Naombeni ufafanuzi kuhusu single mother.
  9. NANDERA

    Pongezi kwenu Single Mothers

    Mkuu mmekutana mwisho wa mwezi wa 9 mwaka huu au mwaka gani?
  10. NANDERA

    Pedi za binti ni jukumu la nani?

    Jukumu la binti
  11. NANDERA

    Wanawake wanaumwa au wamerogwa?

    Kwa hiyo huyo uliyemwacha akienda mlima wa fire kutafuta mume wa kisulisuli hushangai maana juhudi zake kwako zimegonga mwamba. Na washi washi hapo ni aliyetupa bigijii kwa karanga za kuonjeshwa au karanga zenyewe?
  12. NANDERA

    Jamii imempora mwanamke nafasi yake

    Gombeni sana na kulalama sana ila mkumbuke mfumo usio wa haki unaoitwa mfumo dume ndiyo uliomfanya mwanamke kutafuta jinsi ya kujikomboa. Mfumo mpya mnaoulilia kuwa ni mbaya siyo mpya bali ni ule ule sema sasa una jinsi zote mbili na mkuki kwa nguruwe unakuwa mchungu. Huyu Mungu tunayemtaja hapa...
  13. NANDERA

    Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Mufuruki, Mosha, Mayo na wengineo ni Watanzania wekundu? Au unamaanisha kwenye ukoo wenu mkuu? Wapo Watanzania weusi wenye apartments mpaka nje ya Tanzania hata kama hatuwajui.
  14. NANDERA

    Unaodaiwa kuwa wosia wa Reginald Mengi huu hapa, mali zote ni za Jacqueline na watoto wake mapacha

    Mushi ni mtoto wa dada yake na amemlea; Benson ni mtoto wa mdogo wake ambaye amefungua kesi. Wasimamizi si warithi mkuu.
  15. NANDERA

    Sinema ya Lion King na kibwagizo cha hakuna matata: haki yetu ipo wapi?

    Kumbe! Je inaondoa umuhimu wa nchi za ulimwengu wa tatu kulinda miliki zake?
  16. NANDERA

    Sinema ya Lion King na kibwagizo cha hakuna matata: haki yetu ipo wapi?

    Mimi ni mjinga lakini mwenzangu umenizidi.
Back
Top Bottom