Search results

  1. fungi

    Elon Musk aonesha satelite zitakazo sambaza interanet dunia nzima

    Jana CEO wa kampuni ya maswala ya anga Space X,Elon Musk alionesha satellite 60 ambazo kampuni hiyo itazirusha angani wiki ijayo zikiwa tayari zimepangwa kwenye rocket aina ya falcon 9. Satellites hizi zitakuwa za kwanza kwenye mpango wa kampuni hiyo wa kusambaza internet yenye kasi dunia nzima...
  2. fungi

    Natafuta kioo cha samsung s8 plus

    Wakuu natafuta kiooo cha samsung s8 plus kilicho clean hela ipo mfuko wa shati ni pm au nicheck kwa 0719573444
  3. fungi

    Mabingwa watetezi EPL, Leicester City wamtimua manager wao

    Club ya Leicester city imemfukuza kazi manager wake Claudio Ranieri ikiwa ni miezi 9 tu baada ya kuwaongoza kuchukua ubingwa wa EPL “Claudio, appointed City manager in July 2015, led the Foxes to the greatest triumph in the Club’s 133-year history last season, as we were crowned champions of...
  4. fungi

    FIFA kuondoa offiside na kubadili upigaji wa penati

    Raisi mpya wa FIFA Gianni Infantino anaonekana kutaka kubadili sola kabisa.Infantino anaonekana kuondoa kila kitu cha Sepp Blatter na kuleta vyake.Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki kombe la dunia 2026 kufikia timu 48 sasa Infantino amekuja na mpya.Kwa kumtumia mkurugenzi wa mambo ya ufundi...
  5. fungi

    Ronaldo atoa msaada wa fedha kwa familia za wachezaji waliofia katika ajali ya ndege

    Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia. Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha huku 72 kati ya hao walikuwa ni sehemu ya...
  6. fungi

    Mchungaji atumia dawa ya kuua wadudu kuwaponya watu

    Mchungaji wa Afrika kusini ambaye aliwapulizia dawa ya kuua wadudu inayoitwa Doom waumini amelaaniwa vikali. Katika taarifa aliyoituma kwenye ukurasa wa Facebook,mchungaji aliyejitangaza kama nabii Lethebo Rabalago alidai dawa ya kuua wadudu inayojulikana kama Doom inaweza kuwaponya wengi...
  7. fungi

    TCU yashusha minimum entry qualification kutoka gpa 3.5 mpaka 3.0

    RE: REVISED DECISION ON MINIMUM ADMISSION ENTRY QUALIFICATIONS FOR UNDERGRADUATE STUDENTS The Tanzania Commission for Universities (TCU) through the earlier public notice issued on 11th July, 2016 notified the General Public and all Prospective applicants for...
  8. fungi

    Used but in good condition Samsung N7000

    Samsung N7000 imetumika kidogo inauzwa Kwa mawasiliano nicheck whatsapp 0719573444
  9. fungi

    Yanga yadaiwa Sh Bilioni 5

    TAARIFA ya mapato na matumizi ya klabu ya Yanga inaonyesha kwamba deni la klabu hiyo sasa limefikia Sh 5.4 Bilioni. Taarifa hiyo kwa mwaka 2016 imeonyesha kuwa Yanga alikopa kiasi cha Sh 1.5 Bilioni kwa msimu wa 2015/16 ili kuziba pengo lilijitokeza katika bajeti yao kitendo ambacho kimefanya...
  10. fungi

    Tatu bora mchezaji bora Europe, Messi aachwa. Mshindi kutangazwa Agosti 25

    List ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora Europe imetolewa leo huku Messi alieshinda tuzo hiyo mwaka jana akiachwa. Ronaldo,Bale,Griezman ndio wanaowania tuzo hiyo. Ronaldo anaonekana kuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda tuzo hiyo.
  11. fungi

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Kwa wale wahitimu wa kidato cha sita mfumo umeshafunguliwa Link TCU CAS | Home Kwa tatizo lolote tukutane hapa Guide book link http://www.tcu.go.tz/images/documents/Undergraduare_Admission_Guidebook_2016_2017.pdf Kumbuka kuwa makini kwenye uchaguzi wa course ya kusoma kwani kwa kiasi kikubwa...
  12. fungi

    Mwanaye Osama aapa kulipiza mauaji ya babake

    Mwanaye aliyekuwa kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al Qaeda Osama bin Laden, ameapa kulipiza kisasi kwa mauaji ya babake. Katika ujumbe wa sauti uliochapishwa katika mitandao Hamza bin Laden ameapa kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua babake 2011 huko Pakistan. Ujumbe huo wa dakika 21...
  13. fungi

    DIT na UDSM vyatengeneza mfumo kutabiri matetemeko ya ardhi

    CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kupitia Idara yake ya Uhandisi wa Umeme na Mawasiliano kwa kushirikiana na Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), wamefanikiwa kutengeneza mfumo wa kutabiri matetemeko ya ardhi yanayotokea nchini. Mhadhiri Msaidizi wa UDSM, Eva Shayo alisema hayo alipokuwa...
  14. fungi

    Panya wa SUA kutumika kugundua TB maeneo mbalimbali duniani

    Wanasayansi katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine nchini Tanzania wanapanga kuwatuma panya waliopokea mafunzo kwenda kutumiwa kugundua kifua kikuu nchi za nje. Panya hao, ambao awali walitumiwa kugundua mabomu yaliyoachwa chini ya ardhi, kwa miaka kadha sasa wamekuwa wakitumiwa kugundua watu...
  15. fungi

    Alikiba: Unaweza Nichukia, Ukapenda Muziki Wangu

    Msanii Alikiba amefunguka na kusema kuwa muziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani unaweza kuwa una chuki na yeye lakini akiimba muziki mzuri ukapenda kazi yake na kuimba. Alikiba alizidi kutoa ufafanuzi kuwa kama binadamu inawezekana ukatoa labda humpendi mtu fulani au...
  16. fungi

    Couple mpya mjini, Aslay na Rubi

    Kama wewe ni mmoja wa watu wanaotumia mitandao ya kijamii hususani instagram, najua huenda ukawa umekutana na post za mastaa wa Bongofleva Ruby na Aslay ambazo zinatafsirika kama wapo kwenye mahusiano. Haijajulikana kwa mara moja kama ni kiki au ni serious ni wapenzi ila hii ndio ishu inayo...
  17. fungi

    TANZIA: Kocha na mchezaji wa zamani wa Nigeria Stephen Keshi afariki ghafla

    Mchezaji wa zamani wa Nigeria Stephen O. Keshi a.k.a the Boss amekufa ghafla kwa shambulio la moyo. Kwa maelezo ya wanafamilia na marafiki wa karibu kocha huyo wa zaman wa super eagles hakuonyesha dalili zozote za kuumwa. Alikuwa akiishi na mama yake na watoto wake wa nne Keshi ni kocha pekee...
  18. fungi

    Justin Beiber a "mind" baada ya kutoswa nominations za Bet Awards

    Ameandika haya instagram "I don't know about these award shows.. No disrespect to anybody at any of the shows or the people running it. Nothing but love for you guys and your support. But I don't feel good when I'm there A lot of people in the audience When I'm doing a regular show I feel they...
  19. fungi

    Makanisa kuwekwa wi-fi nchini Ujerumani

    Makanisa ya Kiprotestanti maeneo ya kati nchini Ujerumani yatakuwa yakiwapa waumini fursa ya kuingia katika mtandao, kwa kuwawekea huduma ya wi-fi bila malipo. Huduma hiyo itapatikana katika maeneo ambayo, kwa kufuata ‘hostpots’ ambalo ni jina la vitovu vya huduma, yamepewa jina "Godspots"...
  20. fungi

    Kwa wenyeji wa Arusha, lodge gani ni nzuri na affordable?

    Habarin wakuu Nitakuwa Arusha kwa siku kumi Budget yangu kwa ajili ya malazi haizid lak 2 na nusu Natanguliza Shukurani......
Back
Top Bottom