Search results

  1. middo lulyheart

    Tunauza Mifumo ya ulinzi na usalama ya kisasa

    Habari gani wana jamvi wote humu. Nimekuwa nikiulizwa juu ya Teknolojia hizi za kiulinzi katika maeneo yetu ya biashara na makazi. Nimekuja Jamvini kama ilivyokawaida ya Jamvi letu moja ya sifa yake kuu huku ni kupeana elimu na Updates, basi kwa heshima naomba kufungua chapisho hili na kwa...
  2. middo lulyheart

    Fahamu utofauti uliopo Kati ya CCTV camera aina ya IP CCTV na Analogy CCTV

    Linda Ofisi yako, Nyumba yako na Hata mifugo yako kwa Teknolojia za kisasa. [emoji457] Kwa Tsh. 22,000/ unapata complete Electric Fence kwa Meter. [emoji457] Tsh. 800,000/ unapata Full Set ya 4 CCTV Camera. [emoji457] Tsh. 1,520,000/ unapata Full Set ya Auto Gate Motor. [emoji457] Tsh...
  3. middo lulyheart

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kama huweki utaratibu uliovunjwa maana yake huna hoja ACHA WIVU WA KIJINGA
  4. middo lulyheart

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Ukikazania kusema AMEKIUKA TARATIBU bila kuzitaja na wewe huna tofauti na LOKOLE
  5. middo lulyheart

    Jakaya Kikwete na msafara mkubwa

    Nadhani upo sahihi, ila hii inafanya kwa safari ambayo ni rasmi ila sio kwa matembezi yake binafsi!
  6. middo lulyheart

    Tetesi: Inadaiwa yupo safe house

    Are you formatted, au umeamua kutafuta spying angle kutaka kujua kama watu wanajua aua hawajui ya “corridor” Miaka kadhaa nyuma habari za “WHITE CORRIDORs” zilikuwa ziko exposed kiasi kwamba raia wakapata dada wa taifa na kigogo wa taifa, tetesi za mwendazake kutuacha zilianzia humu though...
  7. middo lulyheart

    Said Hussein Masoro Mkurugenzi mpya Usalama wa Taifa (TISS) ni Nani haswa?

    Sababu yeye ndiye Sponsor wa Idara basi hawana la kumficha
  8. middo lulyheart

    Kwanini ndege hutengenezwa kwa kutumia "material" mepesi?

    Pia kuna uwezekano kama angefanya Basic landing kungekuwa na impact kubwa zaid ya pale, landing za design hiyo ni salama zaidi baharini au hata sehemu yenye surface kubwa kuwezesha ndege ku sink bila ku collide mahali, alichofanya rubani wa precision kilikuwa ni salama kwa 90% kama abiria wote...
  9. middo lulyheart

    Sahau kuhusu Utajiri kama unafuatisha mifumo

    HUU NI UKWELI USIO DHAHIRI ILA NDIO UKWELI. NI UKWELI AMBAO UNAFICHWA NA HUTAKIWI KUFIKIRIWA HATA CHEMBE ILA NDIO UKWELI. UKWELI WENYE KIOO CHA TINTED ILA NDIO UKWELI. VIONGOZI NA MATAJIRI WOOOTE WANATUMIA UKWELI HUU KUFANIKISHA MALENGO YAO YA KISIASA NA KIMAISHA. NJIA NI MBILI TU ZA...
  10. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Kwani mafuta suppier ni mmoja, usafiri je ? lakini hao wote wanapangiwa bei elekezi mkuu hata kwa Bolt na Uber lazima wawekewe bei elekezi
  11. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Kwani mafuta suppier ni mmoja, usafiri je ? lakini hao wote wanapangiwa bei elekezi mkuu hata kwa Bolt na Uber lazima wawekewe bei elekezi
  12. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Mkuu commission inayoongelewa hapa haimuhusu abiria hata kidogo
  13. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    BADO NI BIASHARA HURIA ILA LAZIMA KUWE NA REGULATORS WA BEI HAKUNA UHURU BILA SHERIA, UHURU LAZIMA UJUE UNAANZIA WAPI NA UNAISHIA WAPI. INGEKUWA HIVYO HATA DALADALA WANGEKUWA WANAJIAMULIA TU NAULI ZAO SABABU NI BIASHARA HURIA MKUU.
  14. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    MAKATO GANI HAPO ? IKO HIVI, BOLT HAJAAJIRI MADEREVA WALA HANA MAGARI, MADEREVA NDIO WAMILIKI WA MAGARI YAO WENYEWE NA HUTUMIA MTANDAO WA BOLT KUPATA WATEJA/ABIRIA KILICHOKUWEPO NI KWAMBA MADEREVA WALIANDAMANA KUPINGA COMMISSION AMBAYO BOLT HUWATOZA MADEREVA KWA KILA NAULI/SAFARI WANAYOFANYA...
  15. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    Haijawahi 20, miaka yote iko 25+ kwa miaka zaidi ya minne sasa ukizingatia maisha na vifaa vya magari vinapanda kila siku. Wao bei zao zilikuwa zilezile na na bado wanapandisha commision week tatu au mbili nyuma #Bolt walikuwa wanachukuwa hadi 33% per trip.
  16. middo lulyheart

    Meneja Afrika Mashariki: Bolt inaweza kusitisha huduma Tanzania

    WENGI NAONA HAWAELEWI HII ISSUE, IKO HIVI BOLT HAJAAJIRI MADEREVA WALA HANA MAGARI, MADEREVA NDIO WAMILIKI WA MAGARI YAO WENYEWE NA HUTUMIA MTANDAO WA BOLT KUPATA WATEJA/ABIRIA KILICHOKUWEPO NI KWAMBA MADEREVA WALIANDAMANA KUPINGA COMMISSION AMBAYO BOLT HUWATOZA MADEREVA KWA KILA NAULI/SAFARI...
  17. middo lulyheart

    Biashara gani nzuri na ina faida ya mtaji wa Tsh Milioni 1?

    Mkuu Mshana Jr bado nasubiri ukaribisho wako mkuu.
Back
Top Bottom