Search results

  1. D

    Elections 2010 CUF yazindua ilani 'ya elimu, matibabu'

    Dubo, CUF yazindua ilani 'ya elimu, matibabu' au CUF yazindua ilani 'ya uchuguzi'. Mbona mnatukanganya?
  2. D

    Ubakaji ndani ya ndoa!

    Serikali ya nchi ya Uganda imepeleka bungeni mswada wa sheria ya ubakaji ndani ya ndoa. Katika mswada huo inapendekezwa kuwa mwanamme atakayembaka mke wake atatozwa faini au kifungo cha mwaka mmoja au vyote. Wana JF, hivi ndo ikoje? naomba nielimishwa jamani.:A S-danger:
  3. D

    Wanandoa wasilale chumba kimoja na watoto wanaweza kuongea!!

    Wanandoa fulani waliendelea kulala chumba kimoja na mtoto mkubwa anayeweza kuongea, labda kwa sababu ya uwezo mdogo wa kupanga chumba cha pili. Huyo mtoto alikuwa na tabia ya kukojoa kitandani kila anapokuwa usingizini. Mama yake alijitahidi kumuonya bila mafanikio. Siku moja mamake aliamua...
  4. D

    Wanandoa wasiobahatika kupata watoto wafanyeje?

    Imetokea mara nyingine kuwepo kwa Wanandoa ambao hawajaliwi kupata (wa/m)toto kwa sababu mbalimbali zaidi sana kwa Ugumba au Utasa. Kutokana na mambo mengi katika jamii inayotuzunguka, Wanandoa hao (baadhi yao) huachana, hutoka nje ya ndoa, huzunguka sana kwa waganga wa jadi, na wachache sana...
  5. D

    Kilimo cha milonge

    Poleni na majukumu ya ujenzi wa nchi ndugu wana-jf. Naomba msaada wa utaalamu wa kilimo cha milonge. Nasikia ni tiba ya mambo mengi sna. Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom