Search results

  1. schizoid-man

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, umejaribu kutumia mfumo wa ESS kuomba transfer?
  2. schizoid-man

    Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

    Kama unamaanisha foreign award verification, basi aende ofisi za TCU ili awaeleze hiyo changamoto, sometimes hua wanachelewa kutoa hiyo assessment, ni bora ufike physically pale.
  3. schizoid-man

    Aliyefanya interview ya oral ya Utumishi wa Mahakama vipi majibu tayari?

    Mapambano yaendelee mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. schizoid-man

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yes.. hamna kulaza damu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. schizoid-man

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Labda extra duty, au training ambazo ni nadra kupata. Cha muhimu ni mtu uingie kwenye system uwe na check number, halafu tafuta namna ya kuchomoka kwenda taasisi nzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. schizoid-man

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Zile za mwaka jana walikua specific wanataka fresh graduate au mwenye uzoefu usiozidi miaka mitatu.. Hua wana specify kila kada wanataka mtu wa aina gani
  7. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Nilivyomaliza nikaona nimepata hizo badges 3 Nafikiri ukiangalia video zote, ukijibu maswali yote unapata attendance
  8. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Aisee.. nahisi ni kwenye zile video ila sina uhakika, uliangalia zote kwa ukamilifu?
  9. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Kweli kabisa mkuu.. na kuhusu Algebraic Expressions wametoa introductory part tu, hamna calculations labda module zijazo.. binafsi hata sina background ya science nafosi mambo tu [emoji16]
  10. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Sjapata maswali yote, part ya welcome nimepata maswali mawili kati ya manne, Swali 1 @ 25 marks, nimepata 50 marks Algebraic Expressions nimepata yote, 100 marks Attendance, 100 marks Jumla nimepata 250 marks na 3 badges.
  11. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    Ingia kwenye browser, type moja kwa moja hiyo website, usifungulie kupitia hapa jf, inagoma kama hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. schizoid-man

    Tunaofuatilia kazi za bomba la mafuta Uganda -Tanzania (EACOP) DIT tukutane hapa

    eacopmooc.com Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom