Search results

  1. Genekai

    Sitakuwa jamvini kwa muda!

    Wapendwa wana JF, Niwataarifu tu kuwa sitakuwa hewani hapa jamvini kwa muda wa siku chache. Hii ni kutokana na hizi sikukuu tatu za pasaka tunakuwa busy sana jamani. Nitarudi jumatatu kama mchana hivi. Nitalikosa jamvi na wanajamvi, nawapenda sana wote tunaopingana na tunaosupportiana...
  2. Genekai

    Uthibitisho wa Mhe. Lema kuhusu Pinda kuongea uongo Bungeni

    Nendeni hapa walotaka kujisomea yaloandikwa na mh. lema kuhusu Pinda (Waziri mkuu JMT) kuwa muongo http://www.chadema.or.tz/habari/habari.php?id=120 1. UONGO WA KWANZA Mheshimiwa Spika, Waziri Mkuu amenukuliwa kwenye Hansard ya tarehe 10 Februari 2011 akidai kwamba "… tumepoteza maisha...
  3. Genekai

    Elections 2010 Kuna wana JF hawafahamu Uchaguzi Tanzania ni tarehe ngapi ya mwezi huu!

    Mods nadhani sijavunja mashariti ila naquote tu, nsije nkafungiwa katika kipindi hiki muhimu cha kuchangia. Kuna bwana anachangia sana hasa katika jukwaa hili la uchaguzi 2010 lakini hajui siku wala tarehe ya uchaguzi. Hebu mwoneni, au kapitiwa? Au wenzetu sisiemu watapiga kura siku moja...
  4. Genekai

    Mama Ananilea Nkya ni Mkakamavu!

    Kwa ambao wamekuwa wakifuatilia harakati za huyu mama watakubaliana nami kuwa haogopi kulisema linalokuwa moyoni mwake. Nimemikia alivyorekodiwa na EA radio akikemea tamko la wajeshi na kuwaponda waandishi wa habari makanjanja. Haki nimemkubali!
  5. Genekai

    Kwa Wanajamii watz waishio Nairobi-Kenya na wanaotegemea kuja matembezi Nairobi

    Nawakaribisha wanajamii forum wanaokaa Nairobi ili tuweze kukutana na kupeana mawaidha live. Nimekaa hapa Nairobi kwa muda sasa lakini sijawahi kukutana na mtz aliyeko kwenye jamii, kila ninayekutana naye nauuliza kama yuko hapa ananambia hapana. Hata watz wanajamii watakaokuja Nairobi...
  6. Genekai

    Pope's life threatened!

    Gonga hapa! Five Algerians Held In Pope Plot Terror Swoop - Yahoo! News UK Au soma hii Five Algerians Held In Pope Plot Terror Swoop The Best Of Sky News Right Now Armed counter-terror officers swooped on a business premises in central London in the early hours of the morning. The...
  7. Genekai

    China's nine-day traffic jam stretches 100km

    Jamani tunasema kuwa traffic jam za Dar na Nairobi zatisha ila hii ya Uchina imefinika, ni siku ya tisa jam imefikia km 100 sawa na kama mile 66. Inatisha Source: AFP and BBC
  8. Genekai

    Mwalimu Nyerere's philosophy on leadership!

    Natumaini mnaendelea vizuri. Nina shida ya kutaka kujua falsafa ya hayati baba wa taifa kuhusu uongozi. Katika darasa ninalosoma (MBA) yaani Master of business Administration tumepewa assignments kutoka kwenye Unit ya leadership and personal skills development na bahati mbaya au nzuri mi ndo...
  9. Genekai

    Benjamin Willium Mkapa Olympic Stadium?

    Jamani nilikuwa nazurura kwenye net nikakutana na Jina hili;- Benjamin Mkapa National Stadium is a multi-purpose stadium in Dar-es-Salaam, Tanzania. It is currently used mostly for football matches. It currently holds 60,000 people. The stadium opened in 2007. The structure cost TZS 56.4bn/-...
  10. Genekai

    Hivi mradi wa mabasi yaendayo kasi Bongo umefikia wapi?

    Habari za leo wanajamvi? Nilikuwa natoka town traffic ikawa kali sana kwa "jam" ndo nkakumbuka huko nyumbani Bongo. Kuna mradi wa mabasi yaendayo kasi na makubwa ambayo serikali ilikuwa na mpango wa kuyaanzisha hasa Dar kwenye high ways kama Nyerere road, Mandera na Ali Hassan Mwinyi na kufanya...
  11. Genekai

    My Birthday!

    Jamani eeh, mwenzenu kesho itakuwa ni ukumbusho wa siku yangu ya kuzaliwa miaka kadhaa iliyopita. Mamangu(RIP) alinizaa tarehe 03/03/... siku ya jumamosi saa kumi alfajiri. Nawaombeni mzidi kuniombea kwa mungu nizidi kumtumikia vema yeye na wanadamu wenzangu kwa upendo.Sherehe imesogezwa hadi...
  12. Genekai

    Jyoti!

    Jamani huyu mwenzetu anaendeleaje huko hospitali?
  13. Genekai

    AY na Amani

    Jamani wana jamvi, kunakipindi nilikuwa likizo huko home nikasikia umbea kuwa AY na Amani yule mwanamusiki wa Kenya kuwa walikuwa katika harakati za kuoana. Ni kweli?
  14. Genekai

    Mama Maua Daftari

    Jamani huyu mama ni mara chache anaongelewa, sina hakika ila niko tayari kukosolewa. Nadhani huyu mama si wakuwekwa kwenye kundi la mafisadi. Amekuwa naibu waziri kwa muda mrefu na pengine kuliko wote tulo nao. Sasa wanajamvi mnamwonaje. Narudia tena nadhani sio fisadi na kama nimekosea niko...
  15. Genekai

    Bia bei juu katikati ya mwaka wa fedha!

    WANYWAJI wa bia zinazotengenezwa na kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL) sasa itabidi wajitutumue zaidi kugharimia starehe hiyo kutokana na bei ya bidhaa hizo kuongezeka. Afisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu alisema kwamba bei hiyo mpya itaanza kutumika kuanzia leo. Malulu...
  16. Genekai

    Nawatakia usiku mwema.

    Mwenzenu kesho kazi nyingi naomba niwatakie usiku mwema ila onyo kwa mliooa angalieni muda mwingi wa usiku msiutumie kwenye komputa wake zenu hawatafurahia. It is just a polite notice you can take it or discard it. Mwaenzenu niko singo tu hata kama ni kufika asubuhi hakuna wa kuninunia. Alamsiki!
  17. Genekai

    Nawatakia usiku mwema.

    Sasa bwana ametimiza ahadi yake aweza kumruhusu mtumishi wake aende kwa amani maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao juu.ambao ameutayarisha mbele ya watu wake. Mwanga utakao waongoza watu wa mataifa nautukufu kwa watu wako israeli. Jamani God Exists. Good night!
  18. Genekai

    Kujiuzulu na Kustaafu!

    Nimesoma gazeti moja la leo na ilikuwepo picha ya Mh Pinda na Lowassa na Chenge. Gazeti limeandka "WAZIRI MKUU PINDA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU LOWASSA........." swali ni je lowassa ni mstaafu au aliyejiuzuru baada ya kutowajibika? Me nadhani waandishi wengi wa habari ni MAKANJANJA TU hawajui...
Back
Top Bottom