Search results

  1. kunguni wa ulaya

    Huenda Vice President Dkt. Phillip Mpango alikuwa kwenye shambulizi la hatari, akafichwa mahali. Hii ndio maana ya "Alikuwa kwenye kazi maalumu"

    Mzee wa msoga alijitahidi kuwa muwazi alipofanyiwa operesheni ya tezi dume. Na sote tulishiriki kumuombea apone haraka.
  2. kunguni wa ulaya

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Naomba bei ya hizo used UK. Note 10 plus dual sim Note 20utra dual sim S10 plus dual sim
  3. kunguni wa ulaya

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Tungekua na miaka 8 sasa bila ya ajira mpya wa ongezeko la mshqhara!
  4. kunguni wa ulaya

    Share nasi matukio yako ya ukuaji

    Mimi nilikua mpole sana kipindi cha primary tena nilikua mdogo ukilimganisha na wenzangu niliosoma nao kijijini enzi hizo. Kuna wengine walikua wakubwa wananionea sasa mimi siwezi kupambana nao. Hasira zangu ilikua navizia madaftari yao wakiacha darasani nayapiga nyembe tu. Hasira za kuonewa...
  5. kunguni wa ulaya

    Shukrani kwa member aliyenisaidia

    Asante kwa mrejesho. Kama ulivyosema usimuangushe kwa maana asije kujuta akashindwa kuwapa nafasi hata wenye uhitaji wengine. Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
  6. kunguni wa ulaya

    Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha kazi

    Jifariji tu kwa tigo nae. Huyu dada wakumroga tu au mpige ndumba akueletee mwentewe. Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
  7. kunguni wa ulaya

    Kuna Mawaziri Rais Samia hawezi thubutu kuwatengua, hata waharibu vipi

    ila huyu nae. Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
  8. kunguni wa ulaya

    Najuta sana

    Huyo mzee sio Jini kweli? Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
  9. kunguni wa ulaya

    Mchungaji 'Mfalme Zumaridi' adai kuwasiliana na Kanumba, Mama yake azungumza

    keshatoka lupango. Atulie sasa Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
  10. kunguni wa ulaya

    Msaada: Muted conversation zangu za whatsapp zinakuja na 'sound' meseji ikiingia

    Wakuu salama? Miezi 3 nyuma nimebadilisha simu na kununua simu mpya ya Samsung S9+. Kawaida magrupu yangu yote huwa na yawake katika silent mode 'mute'. Ili kuepusha kusumbuliwa na muito wa meseji za Whatsapp kila wakati. Ila kwa simu hii imeshindikana. Zipo kwenye mute lakini bado zinakuja...
  11. kunguni wa ulaya

    Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Jibu la tatizo lako ni hili hapa[emoji115][emoji115][emoji115]
  12. kunguni wa ulaya

    Kiswahili: Methali, Vitendawili, nahau, Misemo n.k

    Mkuu naomba jibu la hiki kitendawili chako.
  13. kunguni wa ulaya

    Napata maumivu ya korodani

    Pale Agakhan palikua na dokta mmoja anaitwa Zaher Akbar. Amenitibia mara nyingi nikapona. Ila kwa sasa naambiwa ameshaondoka nchini. Pole sana mkuu. Hata mimi huwa nasumbuliwa na hili tatizo.
  14. kunguni wa ulaya

    Mbowe anaenda kubadilisha historia ya Tanzania

    Hakuna ajuae kesho yake.
  15. kunguni wa ulaya

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    Hii sijawahi isikia popote. Ndio kwanza naiona leo aisee. Hongera kwa bwana Iqbal Dar.
  16. kunguni wa ulaya

    Changamoto za Mtandao wa TTCL kwa wateja wake

    Zile namba za matapeli nyingi za huu mtandao..
Back
Top Bottom