Search results

  1. Mohamed Ismail

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kila zama huwa zina nyakati zake. Siku zote lila na fila havitangamani na mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Maandishi haya ya wahenga yanafanya Makonda aendelee kuwa suluhisho la watanzania. Makonda ni mwanasiasa wa kisasa ambaye kajitofautisha na viongozi wengi sana...
  2. Mohamed Ismail

    Mtanzania Ahady amepata timu ya Forza Footbal Club ambayo inazalisha wachezaji na kuwauza kwenye mataifa mbalimbali

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati Christopher Columbus akizunguka ulimwengu mzima kwa ajili ya kutafuta makoloni ya kutawala na akiamini kwamba dunia ni duara. Hapa Tanzania kuna kijana mdogo kutokea Muleba ambaye kaamua kufuata nyayo za Columbus lakini kwa mission tofauti. Mission yake ni kuona...
  3. Mohamed Ismail

    Oliver Semuguruka anazaliwa kongole kwa Kagera

    Anaandika Mo Mlimwengu. Oliver ni nani? Oliver ni yupi ? Oliver wa wapi? Hivi kwanini Oliver?. Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au wakapatia kwenye majibu yao. Mh Oliver Semuguruka kwanza kabla ya yote ni mwanadamu mwenye damu lakini...
  4. Mohamed Ismail

    Mauaji ya Kimbari Rwanda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Yule bwana aliyesema mwenda bure si mkaa bure kuna kitu alikiona. Mgagaa na upwa siku zote huwa hali wali mkavu. Mlimwengu mimi nikaona itakuwa dhambi kubwa kwangu kufika Rwanda na nisifike kwenye eneo ambalo kuna historia ya mauaji ya kimbari. Wakati nafika eneo la...
  5. Mohamed Ismail

    Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC. Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu. Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU. "Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni...
  6. Mohamed Ismail

    DOKEZO Muleba inanuka ufisadi, TARURA imeoza

    Anaandika Mo Mlimwengu. Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Muleba punde si punde tena bali punde ni punde kila mtu kaona ni shamba la bibi. Aragobela akacholi...
  7. Mohamed Ismail

    Samia wa Suluhu ni suluhu kweli kweli

    Anaandika Mo Mlimwengu Paukwa! Paukw ! Watoto wangu eeh eeh, Mimi mama yenu eeh Fujo siyo nzuri eeh, Ilimuua babu eeh Na ikamuua bibi eeh Sasa wote njooni kwangu. Ile ndoto aliyokuwa nayo Martine Luther King alifariki kabla hajaiona kwa macho yako. Leo hii naiona ndoto ambayo niliiota kwamba...
  8. Mohamed Ismail

    Chalamila amesema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa...
  9. Mohamed Ismail

    Masasi ya Geofrey Mwambe ni bambam

    Anaandika Mo Mlimwengu. Historia hutusaidia kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda. Mh Geofrey Mwambe Mbunge wa Masasi Mjini anazidi kujipambanua kiutendaji namna ambavyo anajitahidi kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake. Binadamu tumeumbwa kusahau na kuna wakati mtu akifanya mazuri tunaona ni...
  10. Mohamed Ismail

    Asante Mwigulu kwa kutoa funzo la kuwa na moyo wa kusaidia

    Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
  11. Mohamed Ismail

    Mama Yetu, Rais wetu

    Anaandika: Mohamed Ismail Rwabukoba Mbona hasemi, mbona haongei au wanataka tuamini huo nao ni ukorofi? La hasha huo siyo ukorofi bali samaki ana mengi ya kuzungumza ila akifungua kinywa chake itabaki ni historia. Ilishasemwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe. Mama anaupiga mwingi ni maneno...
  12. Mohamed Ismail

    Penzi la zamani

    Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi. Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi. Hakukua...
  13. Mohamed Ismail

    Siku 100 za Rais Samia kwa kasi na viwango

    Kimya kina mshindo, Watu wanasema Mlimwengu huoni? Mbona husemi? Mlimwengu nilichagua kutumia milango yangu ya fahamu vizuri kutathmini yanayofanyika. Baada ya dhiki ni faraja. Tulipata msiba wote, tukahuzunika wote na ikawa hakuna wa kumfuta machozi mwenzake.Baba yetu Hayati Magufuli...
  14. Mohamed Ismail

    Pumzika kwa amani Father Privatus Karugendo

    Huwa sijajua hadi leo kati ya tabia na mazoea ni kipi kilimtangulia mwenzake. Kwenye makuzi yangu nilikua katika mazingira ya usomaji kwa kuwa baba yangu ni mpenzi msomaji wa vitabu pamoja na maandiko mbalimbali. Alikuwa ni msomaji wa gazeti la Rai Mwema ambalo lilikuwa likitoka kila alhamisi...
  15. Mohamed Ismail

    Rais Magufuli utabaki kuwa mfano bora wa maana ya uongozi

    Ilikuwa nikishika simu yangu nilipata mambo mengi ya kuelezea ukuu wako. Ulifanya kile kilichostahili kufanyika na mengine ulifanya mambo makubwa ambayo kwa utamaduni wetu hatukuzoea. Waliochelewa kuelewa ni wale waliozoea mambo kufanyika kwa wastani ila wewe ulitaka kitu kizuri kiwe kizuri...
  16. Mohamed Ismail

    Tusiyumbishwe na wapuuzi wachache, hii Tanzania ni ya kwetu

    Kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuwakera wenzio na kuwaombea wenzio mambo yasiyo ya heri. Kabla sijasema sana mlimwengu mimi naomba ninukuu Kutoka kwenye Azimio la Arusha kama ifuatavyo; 'Katika upande wa ulinzi wa taifa, wananchi wawe macho na vibaraka waliomo nchini ambao wanaweza kutumiwa na...
  17. Mohamed Ismail

    Mpenzi umenisaliti, naomba uende zako

    Sitaki leso wala taulo naomba nilie mpaka machozi yote yakaukie kwenye paji la uso wangu. Siyo siri leo mlimwengu mimi naumia kwa ajili ya mapenzi. Sijaona sifa kukaa nalo kimya moyoni mwangu halafu linitese zaidi. Wakati tunaanza mahusiano yetu sikukuambia ila leo acha niseme nimeumia na...
  18. Mohamed Ismail

    Chuma wa Kaole tunakukumbuka

    Sitakuomba radhi na nitangaze rasmi kuhusu kile ambacho naenda kunena kuhusu wewe. Nikikosea na ndio kawaida ya binadamu mimi ni mwanadamu lazima nikosee na mimi siyo wa kwanza watangulizi wetu Adam na mwenzie walianza kumkosea Mungu sembuse mimi na wewe. Watanzania wanakukosea sana ila na wewe...
  19. Mohamed Ismail

    Historia ya Mwigulu Nchemba yafaa kuwa hamasa kwa vijana

    HISTORIA YA MWIGULU YAFAA KUWA HAMASA KWA VIJANA. Na Mohamed Ismail Rwabukoba. Kila zama na zama zake, Kipindi sera za ujamaa zikitelezeka chini ya utawala wa mwl Nyerere 1975 alizaliwa kijana mmoja kutoka kijiji cha Makunda wilayani Iramba, siku hiyo mvua ilikuwa ikinyesha huku na jua...
  20. Mohamed Ismail

    Yanga hii inakusahaulisha hela ya sikukuu

    Kila kitu na zama zake na huu ni wakati wa Yanga kuwa katika zama zake. Shukrani kwa GSM ambaye anasababisha mashabiki wa yanga tunasonga ugali tu mboga utaipata kwenye mechi yanga wanavyosakata kabumbu. Hizi pasi za Ntibanzoka zinasahaulisha watoto wasikudai nguo za sikukuu. Fei toto...
Back
Top Bottom