Search results

  1. Mohamed Ismail

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    Ndio ukweli wenyewe
  2. Mohamed Ismail

    Kwani Makonda? Makonda ni Makonda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kila zama huwa zina nyakati zake. Siku zote lila na fila havitangamani na mwenda tezi na omo marejeo ngamani. Maandishi haya ya wahenga yanafanya Makonda aendelee kuwa suluhisho la watanzania. Makonda ni mwanasiasa wa kisasa ambaye kajitofautisha na viongozi wengi sana...
  3. Mohamed Ismail

    Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati Rais wetu Dr Samia Suluhu akipambana usiku na mchana kuhakikisha nchi yetu inakua kiuchumi. Kuna baadhi ya watu na wao wanapambana kuhakikisha wanajifaidisha wao kutokana na ubinafsi wao. Ofisi zao wanazitumia vibaya kuhakikisha wananchi wanazidi kuteseka. Rais wa...
  4. Mohamed Ismail

    Mtanzania Ahady amepata timu ya Forza Footbal Club ambayo inazalisha wachezaji na kuwauza kwenye mataifa mbalimbali

    Anaandika Mo Mlimwengu. Wakati Christopher Columbus akizunguka ulimwengu mzima kwa ajili ya kutafuta makoloni ya kutawala na akiamini kwamba dunia ni duara. Hapa Tanzania kuna kijana mdogo kutokea Muleba ambaye kaamua kufuata nyayo za Columbus lakini kwa mission tofauti. Mission yake ni kuona...
  5. Mohamed Ismail

    Oliver Semuguruka anazaliwa kongole kwa Kagera

    Unawakilisha kizazi cha watu ambao ni waoga na hawafai kwenye jamii. Ndio maana mnatumia fake account kuelezea mambo yenu. Kama kweli mwanaume unasimama na kile unachokisimamia kwa identity yako. Kutokana na ulichokisema na unachokiwazia niite Chawa niite whatever you like lakini mwisho wa siku...
  6. Mohamed Ismail

    Oliver Semuguruka anazaliwa kongole kwa Kagera

    Uchawa ni dhana tu ambayo mtu anaifikiria kulingana na mtazamo wake.
  7. Mohamed Ismail

    Oliver Semuguruka anazaliwa kongole kwa Kagera

    Anaandika Mo Mlimwengu. Oliver ni nani? Oliver ni yupi ? Oliver wa wapi? Hivi kwanini Oliver?. Ni maswali ambayo watu wanajiuliza wakati mwingine wanajijibu wenyewe huenda wakakosea au wakapatia kwenye majibu yao. Mh Oliver Semuguruka kwanza kabla ya yote ni mwanadamu mwenye damu lakini...
  8. Mohamed Ismail

    Mauaji ya Kimbari Rwanda

    Anaandika Mo Mlimwengu. Yule bwana aliyesema mwenda bure si mkaa bure kuna kitu alikiona. Mgagaa na upwa siku zote huwa hali wali mkavu. Mlimwengu mimi nikaona itakuwa dhambi kubwa kwangu kufika Rwanda na nisifike kwenye eneo ambalo kuna historia ya mauaji ya kimbari. Wakati nafika eneo la...
  9. Mohamed Ismail

    Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC. Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu. Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU. "Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni...
  10. Mohamed Ismail

    DOKEZO Muleba inanuka ufisadi, TARURA imeoza

    Anaandika Mo Mlimwengu. Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni. Muleba punde si punde tena bali punde ni punde kila mtu kaona ni shamba la bibi. Aragobela akacholi...
  11. Mohamed Ismail

    Samia wa Suluhu ni suluhu kweli kweli

    Anaandika Mo Mlimwengu Paukwa! Paukw ! Watoto wangu eeh eeh, Mimi mama yenu eeh Fujo siyo nzuri eeh, Ilimuua babu eeh Na ikamuua bibi eeh Sasa wote njooni kwangu. Ile ndoto aliyokuwa nayo Martine Luther King alifariki kabla hajaiona kwa macho yako. Leo hii naiona ndoto ambayo niliiota kwamba...
  12. Mohamed Ismail

    Chalamila amesema watu wa Kagera wanaongoza kwa fitina na majungu kuliko mikoa yote

    Anaandika Mo Mlimwengu. Kagera ni mojawapo ya mikoa ambayo inajulikana katika nchi ya Tanzania. Mkoa wa Kagera umekuwa ukijulikana siku zote kwa sifa ya kuwa mkoa wenye mandhari nzuri na hali ya hewa nzuri ambayo ni nzuri kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Mbali na hivyo imezungukwa na Ziwa...
  13. Mohamed Ismail

    Masasi ya Geofrey Mwambe ni bambam

    Anaandika Mo Mlimwengu. Historia hutusaidia kujua tulipotoka, tulipo na tunapoenda. Mh Geofrey Mwambe Mbunge wa Masasi Mjini anazidi kujipambanua kiutendaji namna ambavyo anajitahidi kusukuma maendeleo kwenye jimbo lake. Binadamu tumeumbwa kusahau na kuna wakati mtu akifanya mazuri tunaona ni...
  14. Mohamed Ismail

    Ofisi ya Mbunge Muleba Kusini wajichukulia fedha za mikopo ya halmashauri ya vijana kwa njia zisizo halali

    Vijana jasho lao watapata lakini mambo mengine umeongeza chumvi. Huyu katibu anaitwa Delly inabidi awajibishwe kwa kosa lake.
  15. Mohamed Ismail

    Nikiomba tena ajira niiteni mbwa nimekaa paleee

    NIKIOMBA AJIRA TENA NIITE MBWA NIMEKAA PALE. Anaandika Mo Mlimwengu. Asubuhi ya alfajiri nikiwa tayari nimepanda basi la Happy Nation ambalo linang’aa kutokana na upya wake. Nilipendezwa na gari hilo kutokana na kuwa na sehemu ya kuchajia simu yangu. Nikiwa kwenye siti ambayo pembeni nilikaa...
  16. Mohamed Ismail

    Asante Mwigulu kwa kutoa funzo la kuwa na moyo wa kusaidia

    Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
  17. Mohamed Ismail

    Mama Yetu, Rais wetu

    Anaandika: Mohamed Ismail Rwabukoba Mbona hasemi, mbona haongei au wanataka tuamini huo nao ni ukorofi? La hasha huo siyo ukorofi bali samaki ana mengi ya kuzungumza ila akifungua kinywa chake itabaki ni historia. Ilishasemwa ya Ngoswe tumuachie Ngoswe mwenyewe. Mama anaupiga mwingi ni maneno...
  18. Mohamed Ismail

    Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Waswahili wana msemo wao kwamba ukitaka kuruka hakikisha unaagana na nyonga yako. Watanzania tulio wengi tunapenda kuyasikia maendeleo mazuri lakini hatuko tayari kuyagharamia. Waingereza wana msemo wao kwamba No Free Lunch. Bajeti kuu ya serikali ya mwaka 2021/2022 imetengeneza mazingira ya...
  19. Mohamed Ismail

    Penzi la zamani

    Alikupa desa hutalisahau katika makuzi yako[emoji23]
Back
Top Bottom